Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
What's your question?
  • Recent Questions
  • Answers
  1. Asked: December 21, 2019In: Betting, MkekaBet

    Mkekabet ni nini?

    Bet1
    Bet1
    Added an answer on February 29, 2020 at 1:36 pm
    This answer was edited.

    Mkekabet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali. Baadhi ya michezo inayopatikana ni American Football, Baseball, Mpira wa kikapu, Ndondi, Cricket, Mpira wa Miguu, Golf, Handball, Ice Hockey, Tennis na Volleyball.

    Mkekabet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali. Baadhi ya michezo inayopatikana ni American Football, Baseball, Mpira wa kikapu, Ndondi, Cricket, Mpira wa Miguu, Golf, Handball, Ice Hockey, Tennis na Volleyball.

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Asked: February 19, 2019In: Betting, MkekaBet

    Nitafanyaje nishinde Mkekabet?

    Bet1
    Bet1
    Added an answer on February 22, 2020 at 12:46 pm
    This answer was edited.

    Katika kupitapita kwenye internet nikaona hii imeandikwa na mwandishi wa tandikamikeka kuhusu vitu vya kuzingatia ili ushinde 1. Usiweke mechi nyingi kwa mkeka mmoja/ticket. Hii ni kwa sababu unapoweka mechi nyingi katika mkeka mmoja unapunguza uwezekano wa wewe kushinda. Japo kuwa wengi wanawaza kuRead more

    Katika kupitapita kwenye internet nikaona hii imeandikwa na mwandishi wa tandikamikeka kuhusu vitu vya kuzingatia ili ushinde

    1. Usiweke mechi nyingi kwa mkeka mmoja/ticket. Hii ni kwa sababu unapoweka mechi nyingi katika mkeka mmoja unapunguza uwezekano wa wewe kushinda. Japo kuwa wengi wanawaza kupata hela nyingi lakini wanasahau kuangalia uwezekano wa kushinda. Ni kweli kwamba ukiweka mechi nyingi ndio hela inaongezeka ila uwezekano wakushinda unapungua, ndiyo maana wenye makampuni hawaruhusu kubeti/kutandika mkeka wa mechi moja.

    2. Zijue timu unazozibetia / ambazo unazitabiria : kujua timu kabla ya kubeti ni jambo muhimu sana kwa sababu kuna timu ni mahasimu sana katika ligi fulani. Kwa mfano ligi kuu vodacom wakicheza Simba na Yanga, hata kama Simba akiwa anashika nafasi za mwishoni katika ligi hatakubali kufungwa kirahisi na Yanga kwa hiyo mechi itakua naupinzani mkali. Mara nyingi zikikutana timu kama hizi matokeo huishia kuwa droo/draw au utofauti mdogo wa magoli kwa mfano mechi inaweza kuisha 0-0, 1-1, 2-2, na sare nyinine au 1-0, 0-1, 2-1, 3-2. Kwa hiyo kwa timu kama hizi usibeti kwamba timu fulani itashinda kwa tofauti ya magoli mawili au zaidi. Pia kingine atika kuzijua timu jaribu kuangalia kama kuna timu ni kibonde wa mwingine. Kwa mfano Arsenal ni mteja wa Man United mara kwa mara, kwahiyo jaribu kuangalia nani anamfunga mwenzake mara kwa mara kisha mpe.

    3.Usibetie timu kwa sababu ya ushabiki: hiki ni kitu cha kuzingatia kwani wengi wamekua wakibet kwa sababu tu ya mapenzi ya katika timu fulani. Ushauri ni bora usibetie timu unayoipenda kama uwezi kazuia hisia zako, kwani hisia zinamzuia mtu kuichambua timu anayo ishabikia

    4.Angalia goal differences/ tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa: ni vizuri kuangalia tofauti ya magoli kwa zile timu ambazo unataka kuzibetia na hii ni nzuri hususani kwa wale ambao watakua wanabeti kama timu zote zitafunga. Kwa mfano kama timu inamagoli mengi ya kufunga kuliko ya kufungwa ni wazi kwamba timu hii haifungwi mara kwa mara kwa hiyo ikikikutana/kucheza na timu ambayo ina magoli mengi sana ya kufugwa kuliko ya kufunga, hii inaonyesha kuwa hii timu itafungwa bila yenyewe kufunga kwahiyo kama uliweka both team will score “yes” huo mkeka utakua umechanika.

    NB: hii haimanishi kwamba itakua hivyo kwa mechi zote ila ni kwamba uwezekano mkubwa / possibility ipo hivyo

    5. Cheza kwa kiasi mchezo huu. Usiwe na tamaa kwamba unaweza pata pesa nyingi kwa mara moja kwahiyo ukacheza hovyo bila mpangilio, utaumia. Jaribu kuweka mikakati na mipangilio juu ya uchezaji wako, hakika hutajuta. Cheza mechi chache kwa siku unazoamini zinaweza kukupatia ushindi sio lazima ubashiri mechi nyingi kwa mkupuo. Hii itakusaidia wewe kukupa ushindi mara nyingi

    6. Usibashiri kwa mapenzi ama ushabiki, eti kwa kuwa mimi ni mshabiki wa Liverpool Fc basi ndo nakuwa naitabiria ushindi kila mara, angalia uwezo wa timu yako dhidi ya timu pinzani kama inaweza shinda na hii itakuwa rahisi endapo utakuwa mfuatiliaji mzuri pia wa ligi ama mchezo unaobashiri.

    Anza kubeti sasa kwa kutumia BetWinner , BetWay au MeridianBet

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  3. Asked: January 16, 2020In: Betting, SportPesa

    Namba ya simu ya SportPesa ni ipi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 16, 2020 at 1:13 pm
    This answer was edited.

    0764-115588  0685-115588  0692-115588  0677-115588

    0764-115588 
    0685-115588 
    0692-115588 
    0677-115588

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Asked: January 16, 2020In: Betting, SportPesa

    Namba ya malipo ya SportPesa ni ipi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 16, 2020 at 1:11 pm

    150888

    150888

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  5. Asked: January 16, 2020In: Betting, MkekaBet

    Cash out ya Mkekabet inamaanisha nini?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 16, 2020 at 1:02 pm
    This answer was edited.

    Cash Out ni njia inayokuwezesha kuwa na muongozo kwa beti zako na inakupa nafasi ya kutoa sehemu ya dau lako baada ya kubeti kabla mchezo haujakamilika. Huitaji kusubiri hadi mwisho wa mchezo kumalizika na kupoteza dau lako ikiwa unahisi unaweza kupoteza hio beti unaweza kupata sehemu ya dau lako kwRead more

    Cash Out ni njia inayokuwezesha kuwa na muongozo kwa beti zako na inakupa nafasi ya kutoa sehemu ya dau lako baada ya kubeti kabla mchezo haujakamilika.

    Huitaji kusubiri hadi mwisho wa mchezo kumalizika na kupoteza dau lako ikiwa unahisi unaweza kupoteza hio beti unaweza kupata sehemu ya dau lako kwa kufanya cash out kabla mchezo hujamalizika kuepuka hasara ya kupoteza dau lako lote.

     

    NAWEZA KUFANYA CASH OUT KWA NJIA ZIPI?

     

    Cash out mchezo unaoendelea

    Unaweza kufanya cash out kwa bet ambayo michezo inaendelea. Hii inakuruhusu kufanya cash out ikiwa una michezo imefanya vizuri lakini mmoja kati ya mchezo umefanya vibaya na bado unaendelea unaweza kufanya cash out . mfano una michezo 10 kwenye tiketi na michezo 9 imefanya vizuri isipokuwa mchezo mmoja ambao unaoneka utapoteza na mchezo unaendelea unaweza kufanya cash out.

     

    Kabla ya mchezo cash out

    Unaweza kufanya cash out hata kabla michezo haijaanza ikiwa umebadili mawazo kuhusu michezo au mchezo husika.

     

    NAWEZAJE KUFANYA CASH OUT?

     

    Cash out mtandaoni

    Ukiwa kwenye akaunti yako bofya profile sehemu ambayo ina jina /namba yako ya simu na utapata orodha, nenda sehemu ya cash out na utaona beti zote zilizopo kwenye orodha na unaweza kufanya cash out mara moja.

    Kumbuka beti ambayo imefanywa kwa dau la bonasi au beti ya bure huwezi kufanya cash out.

     

    Natashinda kiasi gani?

    Kiasi cha Cash out yako kinategemeana na uwezekano wa matokeo ya beti yako kadri unapokuwa na uwezekano wa kushinda ndio kiasi cha cash out kinakuwa kikubwa.

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  6. Asked: January 15, 2020In: Betting, MkekaBet

    Nawezaje kujua salio langu la Mkekabet?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 15, 2020 at 7:09 am

    Kuangalia salio Tuma neno SALIO kwenda 15739 utapata ujumbe wa salio lako la akaunti ya mkekabet

    Kuangalia salio Tuma neno SALIO kwenda 15739 utapata ujumbe wa salio lako la akaunti ya mkekabet

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  7. Asked: January 14, 2020In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kubet mechi nyingi kwa pamoja kwenye SportPesa?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 14, 2020 at 7:32 am
    This answer was edited.

    Hakikisha kwanza umejisajili na ume log in katika akaunti yako ya SportPesa.   Tovuti ya SportPesa ni rahisi kutumia, unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaopendelea yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi unazotaka kuwekea bet nyingi.  Read more

    Hakikisha kwanza umejisajili na ume log in katika akaunti yako ya SportPesa.

     

    Tovuti ya SportPesa ni rahisi kutumia, unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaopendelea yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi unazotaka kuwekea bet nyingi.

     

    Ili kuweka bet nyingi, bofya kwenye timu ambayo unatabiri itashinda ama timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au Timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili)

    Kama utataka kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchaguwa X (SULUHU)

     

    Kama unatka kutabiri kwenye masoko zaidi, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi lilioonyeshwa kama (+12, +2, +8 n.k) zaidi ya michezo unayotaka kuwekea bet ili upate chaguzi zaidi za kubet.

     

    Mara baada ya kuchagua tabiri zako, Mkeka utaoneka ukionesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha fedha chini ya mkeka, ambacho kinaweza kubadilishwa kulingana na kiasi ambacho ungependa kubet.

     

    Kumbuka kuwa unaweza kuhariri bet zako zilizopo kwenye mkeka kuhakikisha kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.

    Kama utataka kutoa bet yote na kuanza upya, bofya kwenye ONDOA ZOTE

    Bofya kwenye ‘WEKA BET’ ili kuweka bet yako.

    Ujumbe utatokea utakaokuomba ku “THIBITISHA BET YAKO”. Sasa unaweza kubofya kwenye “FUTA” na kurudi kwenye mkeka wako, au kubofya “SAWA”.

     

    Baada ya kubofya “SAWA” ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:

    • Michezo uliyochagua
    • Utabiri wako
    • Aina ya bet ulizoweka – Bet Nyingi
    • Kiasi unachotaka kubet
    • ID ya Bet yako
    • Uwezekano wako wa kushinda
    • Salio la akaunti yako ya SportPesa

    Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kweye Historia ya Bet yako kwa kubofya kwenye “Tazama Historia”

    Pia utapata ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako kutoka 15888 kuthibitisha hilo.

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  8. Asked: January 14, 2020In: Betting, MkekaBet

    Nawezaje kutoa pesa katika akaunti yangu ya Mkekabet?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 14, 2020 at 7:26 am

    Kutoa pesa kutoka akaunti ya mkekabet kwenda mpesa/tigopesa/airtel money andika neno TOA acha nafasi kisha kiasi tuma kwenda 15739 MFANO: Toa 2000 Kwenda kwa 15739.

    Kutoa pesa kutoka akaunti ya mkekabet kwenda mpesa/tigopesa/airtel money andika neno TOA acha nafasi kisha kiasi tuma kwenda 15739

    MFANO: Toa 2000 Kwenda kwa 15739.

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  9. Asked: January 12, 2020In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kuweka bet moja SportPesa?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 12, 2020 at 7:21 am
    This answer was edited.

    Kwanza kabisa inabidi ujisajili au uingie katika akaunti yako kama ulishajisajili. Soma jinsi ya kujisajili   Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kuitumia, unachohitaji kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaokuvutia yaani Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi ambazoRead more

    Kwanza kabisa inabidi ujisajili au uingie katika akaunti yako kama ulishajisajili. Soma jinsi ya kujisajili

     

    Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kuitumia, unachohitaji kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaokuvutia yaani Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi ambazo unataka kuwekea bet.

     

    Kuweka bet moja, bofya kwenye timu unayotabiri kushinda. Bofya ama kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyowekwa ya pili).

     

    Kama ungependa kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchagua X (SULUHU).

     

    Kama ungependa kutabiri masoko ya ziada, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi ambalo huoneshwa kama (+12, +2, +8 nk) mbali na mchezo unaotaka kuwekea bet, ili kupata chaguzi za kubet zilizopo.

     

    Mara baada ya kuchagua utabiri wako, Mkeka utajitokeza kukuonesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha kubet chini ya mkeka, ambayo inaweza kurekebishwa kulingana na kiasi unachopenda kufanyia bet.

     

    Kumbuka kwamba unaweza kuhariri bet yako iliyopo kwenye kikapu ili kujithibitishia kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.

     

    Kama unataka kuondoa bet yote na kuanza upya, bonyeza “ONDOA ZOTE”

     

    Bonyeza kwenye “WEKA BET” ili kuweka bet.

     

    Ujumbe wa kukuomba ku “THIBITISHA BET YAKO” utaonekana. Unaweza ku “FUTA” na kurudi nyuma kwenye mkeka wako, au kubofya “SAWA”.

     

    Baada ya kubofya “SAWA” ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:

    • Mchezo uliochagua
    • Utabiri wako
    • Aina ya bet ulizoweka – Multibet
    • Kiasi cha bet ulichoweka
    • Bet namba yako
    • Kiasi unachoweza kushinda
    • Salio lako la akaunti ya Sportpesa

     

    Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kwenye Historia ya Kubet kwa kubofya kwenye “Tazama Historia”. Pia utapokea ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako ya kiganjani kutoka 15888 kuthibitisha bet ile ile.

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  10. Asked: January 12, 2020In: Betting, MkekaBet

    Kiasi cha chini cha kuchezea Mkekabet ni kipi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 12, 2020 at 6:45 am

    Kiasi cha chini kucheza ni Tsh. 200 (shilingi mia mbili).

    Kiasi cha chini kucheza ni Tsh. 200 (shilingi mia mbili).

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Load More Answers

Sidebar

Promo

  • Popular Questions

    • Ni kampuni gani za kubet TZ?

    • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

    • Unajua app za kubet Tanzania?

    • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

    • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

    • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

    • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

    • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

    • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

    • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Miongozo

    MojaSky