Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nawezaje kupata timu za kuaminika kwenye kubeti?
Wasafi beti
Wasafi beti
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppTafsiri ya jicho la kushoto kucheza ni nini?
Lameck Alen
Watu wengi huwa wanahusianisha swala la jicho kucheza na maswala ya imani, mfano kwenye blog ya asilizetu.wordpress.com ameandika kwamba Huko India inaaminika jicho la kushoto likicheza ni kiashirio cha jambo zuri la wanawake na la upande wa kulia likicheza ni kiashirio cha jambo zuri kwa wanaume. NSoma Zaidi
Watu wengi huwa wanahusianisha swala la jicho kucheza na maswala ya imani, mfano kwenye blog ya asilizetu.wordpress.com ameandika kwamba
Huko India inaaminika jicho la kushoto likicheza ni kiashirio cha jambo zuri la wanawake na la upande wa kulia likicheza ni kiashirio cha jambo zuri kwa wanaume.
Nchini China inaaminika kuwa jicho la kushoto likicheza ni kiashiria cha jambo baya, na likicheza la upande wa kulia basi ni kiashiria cha jambo zuri bila kuangalia jinsia.
Ukiachana na maswala ya imani kwenye upande wa afya jicho linaweza kucheza kama utakua na
-uchovu au kukosa usingizi
-stress
-au matumizi ya vinywaji vyenye caffeine kama soda
Maanake suluhisho ni kupumzika na kupunguza stress. Kama tatizo linakuwa ni la muda mrefu basi ni bora kumuona daktari.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kupiga simu kwa kutumia PC?
Ndio unaweza kupiga simu
Ndio unaweza kupiga simu
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNani alianzisha Uislamu?
Muanzilishi ni ALLAH
Muanzilishi ni ALLAH
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNamba ya Polisi Tanzania ni ipi?
112
112
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppKirefu cha LUKU ni nini?
LUKU = Lipa Umeme Kadri Unavyotumia
LUKU = Lipa Umeme Kadri Unavyotumia
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppKwa nini jiwe kubwa wanaliita jiwe fatuma?
"Jiwe kubwa linaitwa jiwe Fatuma Kwa sababu jina Fatuma ni jina la Mwanamke, na utafiti unaonesha wanawake wengi wenye jina Fatuma Wana maumbile makubwa (wanene). Hivyo jiwe lenye umbilie kubwa pia huitwa Fatuma." Baraka Nkatura
“Jiwe kubwa linaitwa jiwe Fatuma Kwa sababu jina Fatuma ni jina la Mwanamke, na utafiti unaonesha wanawake wengi wenye jina Fatuma Wana maumbile makubwa (wanene). Hivyo jiwe lenye umbilie kubwa pia huitwa Fatuma.” Baraka Nkatura
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppMofimu ni nini?
mofimu. ni kipashio kidogo Cha lugha chenye maana ya kisarufi au kileksia. Mfano; anakula. A-na-kul-a
mofimu. ni kipashio kidogo Cha lugha chenye maana ya kisarufi au kileksia.
Mfano; anakula. A-na-kul-a
Promo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNini maana ya lugha?
Lugha..ni mfumo wa sauti za nasibu zenye maana zilizokubaliwa na wanajamii wenye utamaduni Mmoja wenye kufanana Kwa lengo la mawasiliano baina Yao.
Lugha..ni mfumo wa sauti za nasibu zenye maana zilizokubaliwa na wanajamii wenye utamaduni Mmoja wenye kufanana Kwa lengo la mawasiliano baina Yao.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppApp gani inatumika kutengeneza jingo?
Kwa KUTENGENEZA jingle app bomba Ni Adobe addition 1.5 Ni nzuri
Kwa KUTENGENEZA jingle app bomba Ni Adobe addition 1.5 Ni nzuri
See less