Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Kiasi cha juu zaidi cha kushinda Mkekabet ni shilingi ngapi?
Kwa tiketi moja kiasi cha juu kushinda ni Tsh 20,000,000 (shilingi milioni ishirini).
Kwa tiketi moja kiasi cha juu kushinda ni Tsh 20,000,000 (shilingi milioni ishirini).
See lessNawezaje kujisajili SportPesa?
Kujisajili mtandaoni, fuata hatua hizi nyepesi: Hatua ya 1 Tafadhali tembelea www.sportpesa.co.tz na bofya kwenye "Jisajili Sasa!" Link ipo kwenye kona ya upande wa juu KULIA wa tovuti(Kama tovuti ipo katika lugha ya kiingereza na unataka kutumia kiswahili bonyeza kwenye 'language' juu upande wa kulRead more
Kujisajili mtandaoni, fuata hatua hizi nyepesi:
Hatua ya 1
Tafadhali tembelea http://www.sportpesa.co.tz na bofya kwenye “Jisajili Sasa!” Link ipo kwenye kona ya upande wa juu KULIA wa tovuti(Kama tovuti ipo katika lugha ya kiingereza na unataka kutumia kiswahili bonyeza kwenye ‘language’ juu upande wa kulia)
Tafadhali soma Vigezo na Masharti na ujaze maeneo yote kisha bofya kitufe cha “Pata namba ya usajili” au vinginevyo “Je, una namba tayari?” Kama umeshapokea NAMBA YA USAJILI
Hatua ya 2
Jaza namba yako ya Simu na Namba ya Usajili ILIYOTUMWA KWENYE NAMBA YAKO YA SIMU, na bofya kitufe cha “Maliza Kikamilifu”
Hatua ya 3
Ujumbe wa uthibitisho utatokea, utakao thibitisha usajili wako kikamilifu.
Furahia Mchezo!
See lessNawezaje kutoa pesa BetPawa?
1. Ingia: betpawa.co.tz 2. Chagua 'login'. 3. Weka namba yako na password kuingia katika akaunti yako. 4. Chagua 'Menu' upande wa juu kulia. 5. Bonyeza ‘Withdrawal’ 6. Kama ukiulizwa jaza jina la kwanza na la mwisho kwenye first name na last name. 7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kutoa (kiwango cRead more
1. Ingia: betpawa.co.tz
2. Chagua ‘login’.
3. Weka namba yako na password kuingia katika akaunti yako.
4. Chagua ‘Menu’ upande wa juu kulia.
5. Bonyeza ‘Withdrawal’
6. Kama ukiulizwa jaza jina la kwanza na la mwisho kwenye first name na last name.
7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kutoa (kiwango cha chini ni 1,000/=)
8. Bonyeza ‘Request Payout’
Utapata pesa yako ndani ya dakika 10
See lessNamba ya kubet Mkekabet kwa USSD ni ipi?
USSD code ya Mkekabet ni *149*87#
USSD code ya Mkekabet ni *149*87#
See lessNimesahau password yangu ya BetPawa, nitaipataje?
Fuata hatua hizi kutengeneza neno jipya la siri kwa ajili ya BetPawa. 1. Ingia: betpawa.co.tz 2. Ikifunguka bonyeza palipoandikwa 'login'. 3. Weka namba yako ya simu(uliyotumia wakati wa kujiunga)Ethen bonyeza kwenye ‘forgot password’ 4. Utapokea SMS katika simu yako yenye PIN. 5. Weka pin uliyotumRead more
Fuata hatua hizi kutengeneza neno jipya la siri kwa ajili ya BetPawa.
1. Ingia: betpawa.co.tz
See less2. Ikifunguka bonyeza palipoandikwa ‘login’.
3. Weka namba yako ya simu(uliyotumia wakati wa kujiunga)Ethen bonyeza kwenye ‘forgot password’
4. Utapokea SMS katika simu yako yenye PIN.
5. Weka pin uliyotumiwa katika website ya BetPawa kisha chagua password yako mpya.
Bonasi ya kubet zaidi ya mchezo mmoja Mkekabet inafanyaje kazi?
Unapocheza michezo kuanzia mitano (5) na kuendelea kwenye tiketi moja una nafasi ya kupata bonasi ya kuanzia 10% hadi 25% kwenye ushindi wako. Unaweza kuona kiasi cha ushindi wa bonasi kwa asilimia baada ya kuweka dau lako na kabla hujatuma beti yako. Mgawanyo wa hesabu za Asilimia za Bonasi kwa idaRead more
Unapocheza michezo kuanzia mitano (5) na kuendelea kwenye tiketi moja una nafasi ya kupata bonasi ya kuanzia 10% hadi 25% kwenye ushindi wako.
Unaweza kuona kiasi cha ushindi wa bonasi kwa asilimia baada ya kuweka dau lako na kabla hujatuma beti yako.
Mgawanyo wa hesabu za Asilimia za Bonasi kwa idadi ya michezo;
Nawezaje kuangalia salio langu la SportPesa kwa njia ya SMS?
Kuangalia salio tuma SMS neno "SALIO" kwenda 15888 kuona una kiasi gani kwenye akaunti yako ya SportPesa. Utapokea ujumbe unaoonyesha salio la akaunti yako. Mfano. Salio lako la S-PESA ni: TZS 2000/= Kumbuka: Kama una muamala unaosubiri, salio la akaunti yako ya SportPesa halitojumuisha kiasi unachoRead more
Kuangalia salio tuma SMS neno “SALIO” kwenda 15888 kuona una kiasi gani kwenye akaunti yako ya SportPesa. Utapokea ujumbe unaoonyesha salio la akaunti yako.
Mfano. Salio lako la S-PESA ni: TZS 2000/=
Kumbuka: Kama una muamala unaosubiri, salio la akaunti yako ya SportPesa halitojumuisha kiasi unachotaka kutoa.
See lessNawezaje kudownload app ya BetPawa?
Unaweza kuipata app ya betpawa kupitia tovuti yao. Au tumia link hii https://www.betpawa.co.tz/android-app
Unaweza kuipata app ya betpawa kupitia tovuti yao.
Au tumia link hii https://www.betpawa.co.tz/android-app
See lessNawezaje kuweka bet katika tovuti ya BetPawa?
Kubet kwa kutumia BetPawa mtandaoni tumia hatua hizi. 1. Fungua browser yako kisha andika : betpawa.co.tz 2. Ukurasa wa betpawa ukishafunguka bonyeza 'login'. 3. Weka namba yako na password/neno la siri kuendelea katika akaunti yako. 4. Chagua mchezo katika menyu mfano 'football'. 5. Tumia menyu yaRead more
Kubet kwa kutumia BetPawa mtandaoni tumia hatua hizi.
1. Fungua browser yako kisha andika : betpawa.co.tz
2. Ukurasa wa betpawa ukishafunguka bonyeza ‘login’.
3. Weka namba yako na password/neno la siri kuendelea katika akaunti yako.
4. Chagua mchezo katika menyu mfano ‘football’.
5. Tumia menyu ya michezo iliyopo upande wa kushoto wa screen yako kutafuta ligi na nchi unayopenda.
6. Chagua mechi zako. Kiwango cha mwisho cha mechi ni 30.
7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kubetia.
8. Bonyeza kwenye “place bet”
Kumbuka: Kama itaandika ‘price has changed’, bonyeza kwenye ‘proceed’ kukubali na bet yako itakuwa tayari au unaweza kuondoa kwa ku bonyeza ‘remove’.
See lessNawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?
Kutoa pesa zako ni rahisi kama kuweka pesa zako ndani. Kwa mfano kama unataka kutoa TZS 1200 kutoka kwenye akaunti yako ya SportPesa, uta: Tuma sms kwenda 15888: W#1200#8888 - ambapo W inasimama kama Kutoa; 1200 ni kiasi cha pesa unachotaka kutoa na 8888 ni namba yako ya siri ya SportPesa uliyopokeaRead more
Kutoa pesa zako ni rahisi kama kuweka pesa zako ndani.
Kwa mfano kama unataka kutoa TZS 1200 kutoka kwenye akaunti yako ya SportPesa, uta:
- Tuma sms kwenda 15888: W#1200#8888 – ambapo W inasimama kama Kutoa; 1200 ni kiasi cha pesa unachotaka kutoa na 8888 ni namba yako ya siri ya SportPesa uliyopokea wakati wa kujisajili. Kumbuka: Mfumo wa kutoa ni ule ule kwa mitandao ya watoa huduma wote wa simu, yaani, Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa.
- Utapokea ujumbe wenye uthibitisho kutoka 15888 na Akaunti yako ya simu (Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa, etc) itaingiziwa pesa, utatumiwa ujumbe wa pili wenye uthibitisho kutoka kwa mtoa huduma wako.
See less