Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
Home»Questions»Q 30000
In Process

1Sky Latest Questions

1sky
Asked: February 19, 20192019-02-19T09:53:15+03:00 2019-02-19T09:53:15+03:00In: Betting, MkekaBet

Nitafanyaje nishinde Mkekabet?

Nitafanyaje nishinde Mkekabet?
  • 11
  • 1,119
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
Answer
  • Report

1 Answer

  • Voted
  • Oldest
  • Recent
  1. Bet1
    Bet1
    2020-02-22T12:46:25+03:00Added an answer on February 22, 2020 at 12:46 pm
    This answer was edited.

    Katika kupitapita kwenye internet nikaona hii imeandikwa na mwandishi wa tandikamikeka kuhusu vitu vya kuzingatia ili ushinde

    1. Usiweke mechi nyingi kwa mkeka mmoja/ticket. Hii ni kwa sababu unapoweka mechi nyingi katika mkeka mmoja unapunguza uwezekano wa wewe kushinda. Japo kuwa wengi wanawaza kupata hela nyingi lakini wanasahau kuangalia uwezekano wa kushinda. Ni kweli kwamba ukiweka mechi nyingi ndio hela inaongezeka ila uwezekano wakushinda unapungua, ndiyo maana wenye makampuni hawaruhusu kubeti/kutandika mkeka wa mechi moja.

    2. Zijue timu unazozibetia / ambazo unazitabiria : kujua timu kabla ya kubeti ni jambo muhimu sana kwa sababu kuna timu ni mahasimu sana katika ligi fulani. Kwa mfano ligi kuu vodacom wakicheza Simba na Yanga, hata kama Simba akiwa anashika nafasi za mwishoni katika ligi hatakubali kufungwa kirahisi na Yanga kwa hiyo mechi itakua naupinzani mkali. Mara nyingi zikikutana timu kama hizi matokeo huishia kuwa droo/draw au utofauti mdogo wa magoli kwa mfano mechi inaweza kuisha 0-0, 1-1, 2-2, na sare nyinine au 1-0, 0-1, 2-1, 3-2. Kwa hiyo kwa timu kama hizi usibeti kwamba timu fulani itashinda kwa tofauti ya magoli mawili au zaidi. Pia kingine atika kuzijua timu jaribu kuangalia kama kuna timu ni kibonde wa mwingine. Kwa mfano Arsenal ni mteja wa Man United mara kwa mara, kwahiyo jaribu kuangalia nani anamfunga mwenzake mara kwa mara kisha mpe.

    3.Usibetie timu kwa sababu ya ushabiki: hiki ni kitu cha kuzingatia kwani wengi wamekua wakibet kwa sababu tu ya mapenzi ya katika timu fulani. Ushauri ni bora usibetie timu unayoipenda kama uwezi kazuia hisia zako, kwani hisia zinamzuia mtu kuichambua timu anayo ishabikia

    4.Angalia goal differences/ tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa: ni vizuri kuangalia tofauti ya magoli kwa zile timu ambazo unataka kuzibetia na hii ni nzuri hususani kwa wale ambao watakua wanabeti kama timu zote zitafunga. Kwa mfano kama timu inamagoli mengi ya kufunga kuliko ya kufungwa ni wazi kwamba timu hii haifungwi mara kwa mara kwa hiyo ikikikutana/kucheza na timu ambayo ina magoli mengi sana ya kufugwa kuliko ya kufunga, hii inaonyesha kuwa hii timu itafungwa bila yenyewe kufunga kwahiyo kama uliweka both team will score “yes” huo mkeka utakua umechanika.

    NB: hii haimanishi kwamba itakua hivyo kwa mechi zote ila ni kwamba uwezekano mkubwa / possibility ipo hivyo

    5. Cheza kwa kiasi mchezo huu. Usiwe na tamaa kwamba unaweza pata pesa nyingi kwa mara moja kwahiyo ukacheza hovyo bila mpangilio, utaumia. Jaribu kuweka mikakati na mipangilio juu ya uchezaji wako, hakika hutajuta. Cheza mechi chache kwa siku unazoamini zinaweza kukupatia ushindi sio lazima ubashiri mechi nyingi kwa mkupuo. Hii itakusaidia wewe kukupa ushindi mara nyingi

    6. Usibashiri kwa mapenzi ama ushabiki, eti kwa kuwa mimi ni mshabiki wa Liverpool Fc basi ndo nakuwa naitabiria ushindi kila mara, angalia uwezo wa timu yako dhidi ya timu pinzani kama inaweza shinda na hii itakuwa rahisi endapo utakuwa mfuatiliaji mzuri pia wa ligi ama mchezo unaobashiri.

    Anza kubeti sasa kwa kutumia BetWinner , BetWay au MeridianBet

      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report

Leave an answer
Cancel reply

You must login to add an answer.


Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Sidebar

Promo

  • Related Questions

    • Namna gani ya kuangalia beti yako kwenye biko sport

    • Nahitaji kubashiri mpira wa miguu je nifanyeje?

    • Mkekabet ni kampuni bora ya kubet?

    • Premier bet ni kampuni bora ya kubet?

    • Kwa nini nitumie Mkekabet kubet?

    • Kampuni bora ya kubashiri mpira ni ipi?

    • Namba ya simu ya SportPesa ni ipi?

    Popular Questions

    • Ni kampuni gani za kubet TZ?

    • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

    • Unajua app za kubet Tanzania?

    • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

    • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

    • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

    • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

    • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

    • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

    • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Miongozo

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.