Nawezaje kutoa pesa BetPawa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
1. Ingia: betpawa.co.tz
2. Chagua ‘login’.
3. Weka namba yako na password kuingia katika akaunti yako.
4. Chagua ‘Menu’ upande wa juu kulia.
5. Bonyeza ‘Withdrawal’
6. Kama ukiulizwa jaza jina la kwanza na la mwisho kwenye first name na last name.
7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kutoa (kiwango cha chini ni 1,000/=)
8. Bonyeza ‘Request Payout’
Utapata pesa yako ndani ya dakika 10