Cash out ya Mkekabet inamaanisha nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Cash Out ni njia inayokuwezesha kuwa na muongozo kwa beti zako na inakupa nafasi ya kutoa sehemu ya dau lako baada ya kubeti kabla mchezo haujakamilika.
Huitaji kusubiri hadi mwisho wa mchezo kumalizika na kupoteza dau lako ikiwa unahisi unaweza kupoteza hio beti unaweza kupata sehemu ya dau lako kwa kufanya cash out kabla mchezo hujamalizika kuepuka hasara ya kupoteza dau lako lote.
NAWEZA KUFANYA CASH OUT KWA NJIA ZIPI?
Cash out mchezo unaoendelea
Unaweza kufanya cash out kwa bet ambayo michezo inaendelea. Hii inakuruhusu kufanya cash out ikiwa una michezo imefanya vizuri lakini mmoja kati ya mchezo umefanya vibaya na bado unaendelea unaweza kufanya cash out . mfano una michezo 10 kwenye tiketi na michezo 9 imefanya vizuri isipokuwa mchezo mmoja ambao unaoneka utapoteza na mchezo unaendelea unaweza kufanya cash out.
Kabla ya mchezo cash out
Unaweza kufanya cash out hata kabla michezo haijaanza ikiwa umebadili mawazo kuhusu michezo au mchezo husika.
NAWEZAJE KUFANYA CASH OUT?
Cash out mtandaoni
Ukiwa kwenye akaunti yako bofya profile sehemu ambayo ina jina /namba yako ya simu na utapata orodha, nenda sehemu ya cash out na utaona beti zote zilizopo kwenye orodha na unaweza kufanya cash out mara moja.
Kumbuka beti ambayo imefanywa kwa dau la bonasi au beti ya bure huwezi kufanya cash out.
Natashinda kiasi gani?
Kiasi cha Cash out yako kinategemeana na uwezekano wa matokeo ya beti yako kadri unapokuwa na uwezekano wa kushinda ndio kiasi cha cash out kinakuwa kikubwa.