Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Ni kampuni gani za kubet TZ?
Premier Bet Premier Bet ni moja ya kampuni namba moja ya kubeti nchini Tanzania. Inatoa betting nyingi za mpira wa miguu ili kuongeza mshawasha wa kufuatilia mchezo unaopendwa zaidi nchini. Unaweza kuangalia uteuzi wao wa kila siku wa michezo halisi ya mpira wa miguu kutoka duniani kote na kujaribuRead more
Premier Bet
Premier Bet ni moja ya kampuni namba moja ya kubeti nchini Tanzania. Inatoa betting nyingi za mpira wa miguu ili kuongeza mshawasha wa kufuatilia mchezo unaopendwa zaidi nchini. Unaweza kuangalia uteuzi wao wa kila siku wa michezo halisi ya mpira wa miguu kutoka duniani kote na kujaribu kutabiri matokeo.
Unaweza kubeti full time result, half time result,, idadi ya magoli katika mchezo na mengi mengi zaidi. Bet online kwa kutumia kompyuta yako au kutembelea moja ya vituo vyao. – https://www.premierbet.co.tz/
WinPrincess Bet
WinPrincess Bet ni kampuni mpya ya betting, wamejipanga kutoa huduma za uhakika huku wale watakaoshinda mikeka hiyo wakipata pesa zao bila longolongo yoyote. Huduma zao ni bora, mteja ataweza kubeti sehemu yoyote huku akipata pesa yake muda huo huo tofauti na sehemu nyingine.
Wamejipanga kufanya mageuzi kwenye michezo hiyo ya kubeti na mteja anawezwa kulipwa kwa Tigo Pesa, M pesa au Airtel Money. –http://winprincessbet.co.tz/
1xbet
Kampuni hii ni ya kimataifa zaidi, hii ndio inaongoza kwa kuwa na masoko mengi na michezo mingi zaidi kwa ajili ya kuweka ubashiri wako. Kama unataka kupata namna nyingi na tofautitofauti za kufurahia ubashiri wako basi 1xbet nduio chaguo bara zaidi. – 1xbet.com
Meridianbet
Meridianbet.co.tz inamilikiwa kiukamilifu na Kampuni ya Gaming Africa (T) LTD iliyosajiliwa Dar es Salaam, Tanzania. Nayo pia ina odds nzuri, meridianbet.co.tz pia inawezesha wateja wake kufurahia kubashiri na kucheza bahati nasibu kupitia kampuni hiyo. Imejikita katika kutoa huduma ambayo ni ya kujitosheleza, iliyo salama, iliyo ya haki na ambayo inawajibika na kukubalika kwa jamii nzima. Meridianbet ina maduka sehemu mbalimbali pia unaweza kubet kupitia tovuti yao – Meridianbet.co.tz
M-Bet
Kampuni hii ina odds nzuri kabisa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pia hutoa bonasi kwa wateja wake wanaoingia kwenye betting. M Bet inapendwa sana. Ni moja ya kampuni za betting ambazo zinakuhakikishia usalama wa fedha zako, tovuti yake ni moja ya tovuti zilizoongoza kwa kutembelewa mwaka huu imeshika nafasi ya nne. Kuwa sehemu ya mchezo, chagua timu yako uipendayo kufanya ubashiri wako na kushinda fedha kupitia M-BET.Unaweza kupata huduma ya M-BET kupitia simu yako, tablet au pc (kompyuta) – m-bet.co.tz
SportPesa
SportPesa ni jukwaa namba moja la kubet Afrika! SportPesa inakuwezesha kutabiri na kuweka bet kwenye mechi unayoipenda. Inatoa nafasi ya kutabiri kwa michezo ya kitaifa na kimataifa.
Unaweza kuweka bet zako kwa njia ya sms kwenda 15888, au kupitia Programu ya android ya SportPesa, au mtandaoni kwenye http://www.sportpesa.co.tz au kupitia USSD kwa kupiga 15087#. Unaweza kuweka bet zako ukiwa mahali popote, kabla ya filimbi ya kwanza ya mwamuzi kwa ajili ya masoko ya kabla ya mechi au kucheza moja kwa moja kwenye masoko ya kubet mubashara.
Cheza kwenye Jackpot kwa TZS 2000 tu. Sasa, TZS 2000 ni DONGE NONO kwani unaweza kushinda angalau TZS 200,000,000 unapocheza kwenye Jackpot. – http://www.sportpesa.co.tz
MojaBet
MojaBet imeletwa kwenu na Lucky Games Ltd. Ndio kampuni ya kwanza kwa wapenzi wa Michezo ya Bahati nasibu na Michezo ya Kubashiri, ina lengo la kuwa namba moja kwa wapenzi wa kubeti nchini Tanzania, hasa katika mikoa ambayo haijawahi kufikiwa na huduma ya betting. Kampuni hii inaatumia teknolojia ya juu na imeweka nguvu kwenye ufanisi wa biashara ya michezo ya kubahatisha. – https://mojabet.co.tz/
Sokabet
Sokabet maarufu kwa jina la Wababe wa Kubet wanaendelea kuteka soko la washiriki wa mchezo huo kwa nguvu. Unaweza kushiriki ili kupata fedha ndani ya muda mfupi pindi unapotabiri na kupatia matokeo ya michezo mbalimbali. Ikiwa unaamua kufungua akaunti na kampuni hii na kuweka fedha zako, fedha hizo ni salama. Kwa sababu wanashikilia pesa yako kwa uaminifu kwako kwa malipo ya haraka wakati unashinda au unataka fedha yako kurejeshwa. –https://www.sokabet.co.tz/
Throne Bet
ThroneBet, pamoja na PlayMaster Bet ni waendeshaji wapya ambao wanaoweka nguvu katika mazingira yaliyo tawaliwa na kumpuni nyingi za kubet nchini Tanzania – wanafanya kazi kwa bidii kubwa kuimarisha thamani yao kwenye soko. Wanaweza kuwa na thamani ya kujaribu!
Throne Bet ilianzishwa mwezi Aprili 2015. Tangu wakati huo, maduka zaidi ya 26 yamefunguliwa jijini Dar es Salaam na bado yanapanuliwa. –https://thronebettanzania.com/
Kampuni za kubet za Tanzania zina kiwango sawa na Kampuni yoyote ya kimataifa ya kubet . Unaweza kuweka bets kwenye michezo yote ya kimataifa. Na kwenye baadhi ya tovuti hizi unaweza hata kuweka bet wakati wa michezo (live betting). Baadhi pia zina ruhusu aina zote za michezo, Soka, mpira wa kikapu nk.
Mkekabet
Tanzania kwa sasa mkekabet ndio kampuni kubwa inayojihusisha na mchezo wa bahati nasibu ya kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali [betting]. Mkekabet wamerahisisha namna ya kubet kwa mtandao kupitia tovuti yao ya http://www.mkekabet.co.tz na wana machaguo [options] mengi katika michezo mbali mbali hivyo kukupatia uwanja mpana wewe mchezaji kuchagua unachotaka. Pia wamerahisisha namna ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako kwani unaweza kutumia hata njia ya M-Pesa ambayo ni rahisi zaidi ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako ya mkekabet – mkekabet.co.tz
credit: fmgswahili blog
See lessNitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?
Jinsi ya kufungua akaunti ya betpawa ili kuanza kucheza. Bonyeza Link ya kujiunga hapo chini Ingiza namba yako na tengeneza neno lako la siri lisilopungua tarakimu/herufi nne Kubaliana na vigezo na masharti na kisha bonyeza Wasilisha Kumbuka: Neno la siri utakalochagua wakati wa kujiunga ndilo utakaRead more
Jinsi ya kufungua akaunti ya betpawa ili kuanza kucheza.
Kumbuka: Neno la siri utakalochagua wakati wa kujiunga ndilo utakalokuwa unatumia kila mara unapohitaji kuingia katika akaunti yako ya betPawa.
Link ya kujiunga => Bonyeza Hapa Kujiunga
See lessNawezaje kutoa pesa Bikosports?
Nenda sehemu iliyoandikwa My Account Bonyeza Withdraw Chagua njia ya malipo Andika kiasi Toa pesa
Nenda sehemu iliyoandikwa My Account
Bonyeza Withdraw
Chagua njia ya malipo
Andika kiasi
Toa pesa
See lessSportpesa namba kwa simu za kawaida ni ipi?
Sportpesa namba ya malipo ni 150888 Sportpesa namba za mawasiliano ni 0764-115588 0685-115588 0677-115588
Sportpesa namba ya malipo ni 150888
Sportpesa namba za mawasiliano ni
0764-115588
See less0685-115588
0677-115588
Kampuni za kubeti soka Tanzania ni zipi?
Kampuni za kubet soka Tanzania zipo nyingi sana. Nitakutajia hapa na link za kujiungia katika kampuni hizo Premierbet Meridianbet WinPrincess Wasafibet Mkekabet PMBet(PlayMaster bet) BikoSports M bet PariMatch Gal Sports Betting BetPawa SportPesa Princessbet 1xbet Thronebet Melbet Fastbet BetWinnerRead more
Kampuni za kubet soka Tanzania zipo nyingi sana. Nitakutajia hapa na link za kujiungia katika kampuni hizo
Premierbet
Meridianbet
WinPrincess
Wasafibet
Mkekabet
PMBet(PlayMaster bet)
BikoSports
M bet
PariMatch
Gal Sports Betting
BetPawa
SportPesa
Princessbet
1xbet
Thronebet
Melbet
Fastbet
BetWinner
Supabets
BetFair
Bet9ja
Betin
Wakabet
Bingwabet
Bwin
Mcheza
BetWay
Bet365
Tbet
Sokabet
See lessKampuni bora ya kubashiri mpira ni ipi?
Kampuni bora ya kubashiri mpira ni Mkekabet Kikubwa zaidi ni urahisi wa kucheza. Unaweza kucheza kuanzia sh 200. Utapata ofa kibao kama free bet ukikosea mchezo mmoja. Pia kuna price boosts ambayo inaongeza uwezekano wa kushinda pesa nyingi zaidi na unaweza kutoa hela katika baadhi ya bet hata kamaRead more
Kampuni bora ya kubashiri mpira ni Mkekabet
Kikubwa zaidi ni urahisi wa kucheza. Unaweza kucheza kuanzia sh 200. Utapata ofa kibao kama free bet ukikosea mchezo mmoja. Pia kuna price boosts ambayo inaongeza uwezekano wa kushinda pesa nyingi zaidi na unaweza kutoa hela katika baadhi ya bet hata kama mechi haijaisha.
Baadhi ya ofa zinazopatikana Mkekabet ni kama
Jiunge sasa Upate ofa
See lessKampuni gani ya kubet ambayo haina kodi?
Hakuna kampuni ya kubet ambayo haina kodi kwa sababu kodi inalipwa kutokana na sheria za nchi hivyo kutokuweka kodi itakua ni kosa kwa kampuni husika kisheria
Hakuna kampuni ya kubet ambayo haina kodi kwa sababu kodi inalipwa kutokana na sheria za nchi hivyo kutokuweka kodi itakua ni kosa kwa kampuni husika kisheria
See lessKubet na kushinda ni kujua au ni bahati tu?
Kubet ni kubashiri, maana yake ni kama kutabiri kwa iyo lolote linaweza kutokea matokeo yakawa sawa na utabiri au yasiwe sawa. Kwa hiyo kubet na kushinda ni bahati tu lakini ukiweka umakini na kuzingatia mambo muhimu katika kubashiri unaongeza nafasi yako ya kuwa na bahati Mambo ya kuzingatia ili kuRead more
Kubet ni kubashiri, maana yake ni kama kutabiri kwa iyo lolote linaweza kutokea matokeo yakawa sawa na utabiri au yasiwe sawa.
Kwa hiyo kubet na kushinda ni bahati tu lakini ukiweka umakini na kuzingatia mambo muhimu katika kubashiri unaongeza nafasi yako ya kuwa na bahati
Mambo ya kuzingatia ili kuongeza bahati/nafasi ya ushindi ni kama
- Usiwe na papara kwenye kuchagua timu, chagua kwa umakini
- Weka mkeka wa timu chache, wingi wa mechi unapunguza nafasi ya kushinda
- Fuatilia habari na mienendo ya ligi au timu unazozitumia kubet
- Kumbuka mikeka iliyopita ili kufahamu unapatia wapi au unakosea wapi
- Usichague timu kwa kuangalia matokeo ya muda mfupi
- Usichague timu kwa sababu unaishabikia/unaikubali bora usiweke hiyo mechi kwenye mkeka
- Kuwa na kiasi katika kucheza. Cheza kwa kujifurahisha, usigeuze kuwa ajira
See lessJinsi gani ya kucheza mchezo wa Biko?
BIKO ni mchezo wa kubahatisha unaokuwezesha kushinda mpaka milioni 100. Unaweza kucheza kwa MPesa, TigoPesa, na AirtelMoney. Huu ni mchezo ambao mwenye bahati ndio atashinda, ni tofauti na BikoSport, ambayo ni kwa ajili ya kubahiri matokeo ya michezo Jinsi ya kucheza biko 1.Amua mtandao utakaotumiaRead more
BIKO ni mchezo wa kubahatisha unaokuwezesha kushinda mpaka milioni 100. Unaweza kucheza kwa MPesa, TigoPesa, na AirtelMoney. Huu ni mchezo ambao mwenye bahati ndio atashinda, ni tofauti na BikoSport, ambayo ni kwa ajili ya kubahiri matokeo ya michezo
Jinsi ya kucheza biko
1.Amua mtandao utakaotumia kati ya Vodacom,Tigo au Airtel
See less2.Piga menu ya mtandao wako kama inavyoonekaana katika picha chini.
3.Chagua lipa bili kisha weka namba ya kampuni 505050
4.Weka kumbukumbu ya malipo 2456
5.Weka kiasi unachotaka kuchezea (kiasi ni kuanzia 1000 kwenda juu)
Namba ya kubet ya soka bet ni ipi?
*148*89# Namba ya huduma - 0659077077
*148*89#
Namba ya huduma – 0659077077
See less