Nawezaje kubet mechi nyingi kwa pamoja kwenye SportPesa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Hakikisha kwanza umejisajili na ume log in katika akaunti yako ya SportPesa.
Tovuti ya SportPesa ni rahisi kutumia, unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaopendelea yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi unazotaka kuwekea bet nyingi.
Ili kuweka bet nyingi, bofya kwenye timu ambayo unatabiri itashinda ama timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au Timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili)
Kama utataka kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchaguwa X (SULUHU)
Kama unatka kutabiri kwenye masoko zaidi, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi lilioonyeshwa kama (+12, +2, +8 n.k) zaidi ya michezo unayotaka kuwekea bet ili upate chaguzi zaidi za kubet.
Mara baada ya kuchagua tabiri zako, Mkeka utaoneka ukionesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha fedha chini ya mkeka, ambacho kinaweza kubadilishwa kulingana na kiasi ambacho ungependa kubet.
Kumbuka kuwa unaweza kuhariri bet zako zilizopo kwenye mkeka kuhakikisha kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.
Kama utataka kutoa bet yote na kuanza upya, bofya kwenye ONDOA ZOTE
Bofya kwenye ‘WEKA BET’ ili kuweka bet yako.
Ujumbe utatokea utakaokuomba ku “THIBITISHA BET YAKO”. Sasa unaweza kubofya kwenye “FUTA” na kurudi kwenye mkeka wako, au kubofya “SAWA”.
Baada ya kubofya “SAWA” ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:
Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kweye Historia ya Bet yako kwa kubofya kwenye “Tazama Historia”
Pia utapata ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako kutoka 15888 kuthibitisha hilo.