Ni kampuni gani za kubet TZ?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Premier Bet
Premier Bet ni moja ya kampuni namba moja ya kubeti nchini Tanzania. Inatoa betting nyingi za mpira wa miguu ili kuongeza mshawasha wa kufuatilia mchezo unaopendwa zaidi nchini. Unaweza kuangalia uteuzi wao wa kila siku wa michezo halisi ya mpira wa miguu kutoka duniani kote na kujaribu kutabiri matokeo.
Unaweza kubeti full time result, half time result,, idadi ya magoli katika mchezo na mengi mengi zaidi. Bet online kwa kutumia kompyuta yako au kutembelea moja ya vituo vyao. – https://www.premierbet.co.tz/
WinPrincess Bet
WinPrincess Bet ni kampuni mpya ya betting, wamejipanga kutoa huduma za uhakika huku wale watakaoshinda mikeka hiyo wakipata pesa zao bila longolongo yoyote. Huduma zao ni bora, mteja ataweza kubeti sehemu yoyote huku akipata pesa yake muda huo huo tofauti na sehemu nyingine.
Wamejipanga kufanya mageuzi kwenye michezo hiyo ya kubeti na mteja anawezwa kulipwa kwa Tigo Pesa, M pesa au Airtel Money. –http://winprincessbet.co.tz/
1xbet
Kampuni hii ni ya kimataifa zaidi, hii ndio inaongoza kwa kuwa na masoko mengi na michezo mingi zaidi kwa ajili ya kuweka ubashiri wako. Kama unataka kupata namna nyingi na tofautitofauti za kufurahia ubashiri wako basi 1xbet nduio chaguo bara zaidi. – 1xbet.com
Meridianbet
Meridianbet.co.tz inamilikiwa kiukamilifu na Kampuni ya Gaming Africa (T) LTD iliyosajiliwa Dar es Salaam, Tanzania. Nayo pia ina odds nzuri, meridianbet.co.tz pia inawezesha wateja wake kufurahia kubashiri na kucheza bahati nasibu kupitia kampuni hiyo. Imejikita katika kutoa huduma ambayo ni ya kujitosheleza, iliyo salama, iliyo ya haki na ambayo inawajibika na kukubalika kwa jamii nzima. Meridianbet ina maduka sehemu mbalimbali pia unaweza kubet kupitia tovuti yao – Meridianbet.co.tz
M-Bet
Kampuni hii ina odds nzuri kabisa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pia hutoa bonasi kwa wateja wake wanaoingia kwenye betting. M Bet inapendwa sana. Ni moja ya kampuni za betting ambazo zinakuhakikishia usalama wa fedha zako, tovuti yake ni moja ya tovuti zilizoongoza kwa kutembelewa mwaka huu imeshika nafasi ya nne. Kuwa sehemu ya mchezo, chagua timu yako uipendayo kufanya ubashiri wako na kushinda fedha kupitia M-BET.Unaweza kupata huduma ya M-BET kupitia simu yako, tablet au pc (kompyuta) – m-bet.co.tz
SportPesa
SportPesa ni jukwaa namba moja la kubet Afrika! SportPesa inakuwezesha kutabiri na kuweka bet kwenye mechi unayoipenda. Inatoa nafasi ya kutabiri kwa michezo ya kitaifa na kimataifa.
Unaweza kuweka bet zako kwa njia ya sms kwenda 15888, au kupitia Programu ya android ya SportPesa, au mtandaoni kwenye http://www.sportpesa.co.tz au kupitia USSD kwa kupiga 15087#. Unaweza kuweka bet zako ukiwa mahali popote, kabla ya filimbi ya kwanza ya mwamuzi kwa ajili ya masoko ya kabla ya mechi au kucheza moja kwa moja kwenye masoko ya kubet mubashara.
Cheza kwenye Jackpot kwa TZS 2000 tu. Sasa, TZS 2000 ni DONGE NONO kwani unaweza kushinda angalau TZS 200,000,000 unapocheza kwenye Jackpot. – http://www.sportpesa.co.tz
MojaBet
MojaBet imeletwa kwenu na Lucky Games Ltd. Ndio kampuni ya kwanza kwa wapenzi wa Michezo ya Bahati nasibu na Michezo ya Kubashiri, ina lengo la kuwa namba moja kwa wapenzi wa kubeti nchini Tanzania, hasa katika mikoa ambayo haijawahi kufikiwa na huduma ya betting. Kampuni hii inaatumia teknolojia ya juu na imeweka nguvu kwenye ufanisi wa biashara ya michezo ya kubahatisha. – https://mojabet.co.tz/
Sokabet
Sokabet maarufu kwa jina la Wababe wa Kubet wanaendelea kuteka soko la washiriki wa mchezo huo kwa nguvu. Unaweza kushiriki ili kupata fedha ndani ya muda mfupi pindi unapotabiri na kupatia matokeo ya michezo mbalimbali. Ikiwa unaamua kufungua akaunti na kampuni hii na kuweka fedha zako, fedha hizo ni salama. Kwa sababu wanashikilia pesa yako kwa uaminifu kwako kwa malipo ya haraka wakati unashinda au unataka fedha yako kurejeshwa. –https://www.sokabet.co.tz/
Throne Bet
ThroneBet, pamoja na PlayMaster Bet ni waendeshaji wapya ambao wanaoweka nguvu katika mazingira yaliyo tawaliwa na kumpuni nyingi za kubet nchini Tanzania – wanafanya kazi kwa bidii kubwa kuimarisha thamani yao kwenye soko. Wanaweza kuwa na thamani ya kujaribu!
Throne Bet ilianzishwa mwezi Aprili 2015. Tangu wakati huo, maduka zaidi ya 26 yamefunguliwa jijini Dar es Salaam na bado yanapanuliwa. –https://thronebettanzania.com/
Kampuni za kubet za Tanzania zina kiwango sawa na Kampuni yoyote ya kimataifa ya kubet . Unaweza kuweka bets kwenye michezo yote ya kimataifa. Na kwenye baadhi ya tovuti hizi unaweza hata kuweka bet wakati wa michezo (live betting). Baadhi pia zina ruhusu aina zote za michezo, Soka, mpira wa kikapu nk.
Mkekabet
Tanzania kwa sasa mkekabet ndio kampuni kubwa inayojihusisha na mchezo wa bahati nasibu ya kubashiri matokeo ya michezo mbali mbali [betting]. Mkekabet wamerahisisha namna ya kubet kwa mtandao kupitia tovuti yao ya http://www.mkekabet.co.tz na wana machaguo [options] mengi katika michezo mbali mbali hivyo kukupatia uwanja mpana wewe mchezaji kuchagua unachotaka. Pia wamerahisisha namna ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako kwani unaweza kutumia hata njia ya M-Pesa ambayo ni rahisi zaidi ya kuweka na kutoa pesa katika akaunti yako ya mkekabet – mkekabet.co.tz
credit: fmgswahili blog