Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Kufungua account ya betpawa download faili la betpawa hapa
http://www.appcreator24.com/app815097
Baada ya kudownload gusa faili halafu install.
Faili litakua kwenye sklini tayari. Ingia kwenye faili lako gusa MENU ikifunguka gusa JOIN hapo utaulizwa namba ya simu, jina na password halafu gusa join. UtaambiwA tayari umejiunga. Kuingia kwenye account yako gusa menu, sign in, ingiza namba yako na password tayari. Na utapewa 500 kianzio Cha kubeti. Bahati njema