Nawezaje kujisajili SportPesa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Kujisajili mtandaoni, fuata hatua hizi nyepesi:
Hatua ya 1
Tafadhali tembelea http://www.sportpesa.co.tz na bofya kwenye “Jisajili Sasa!” Link ipo kwenye kona ya upande wa juu KULIA wa tovuti(Kama tovuti ipo katika lugha ya kiingereza na unataka kutumia kiswahili bonyeza kwenye ‘language’ juu upande wa kulia)
Tafadhali soma Vigezo na Masharti na ujaze maeneo yote kisha bofya kitufe cha “Pata namba ya usajili” au vinginevyo “Je, una namba tayari?” Kama umeshapokea NAMBA YA USAJILI
Hatua ya 2
Jaza namba yako ya Simu na Namba ya Usajili ILIYOTUMWA KWENYE NAMBA YAKO YA SIMU, na bofya kitufe cha “Maliza Kikamilifu”
Hatua ya 3
Ujumbe wa uthibitisho utatokea, utakao thibitisha usajili wako kikamilifu.
Furahia Mchezo!