Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Sportpesa namba kwa simu za kawaida ni ipi?
Sportpesa namba ya malipo ni 150888 Sportpesa namba za mawasiliano ni 0764-115588 0685-115588 0677-115588
Sportpesa namba ya malipo ni 150888
Sportpesa namba za mawasiliano ni
0764-115588
See less0685-115588
0677-115588
Nawezaje kurudisha file la SportPesa?
Ukisema file la sportpesa unamaanisha nini? Kama ni app ya sportpesa kwenye simu yako unaweza kuipata kupitia link hii https://sportpesa.co.tz/app?_locale=sw
Ukisema file la sportpesa unamaanisha nini? Kama ni app ya sportpesa kwenye simu yako unaweza kuipata kupitia link hii https://sportpesa.co.tz/app?_locale=sw
See lessNawezaje kuwasiliana na SportPesa?
Hizi ndizo contracts za Sportpesa Email Adress>> care@sportpesa.com Customer Care Mobile phone Contacts: 0685-115588 or 0692-115588. Twitter Sportpesa Tanzania: @TZSportPesa.
Hizi ndizo contracts za Sportpesa
Email Adress>> care@sportpesa.com
Customer Care Mobile phone Contacts: 0685-115588 or 0692-115588.
Twitter Sportpesa Tanzania: @TZSportPesa.
See lessNamba ya simu ya SportPesa ni ipi?
0764-115588 0685-115588 0692-115588 0677-115588
0764-115588
See less0685-115588
0692-115588
0677-115588
Namba ya malipo ya SportPesa ni ipi?
150888
150888
See lessNawezaje kubet mechi nyingi kwa pamoja kwenye SportPesa?
Hakikisha kwanza umejisajili na ume log in katika akaunti yako ya SportPesa. Tovuti ya SportPesa ni rahisi kutumia, unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaopendelea yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi unazotaka kuwekea bet nyingi. Read more
Hakikisha kwanza umejisajili na ume log in katika akaunti yako ya SportPesa.
Tovuti ya SportPesa ni rahisi kutumia, unachotakiwa kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaopendelea yaani, Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi unazotaka kuwekea bet nyingi.
Ili kuweka bet nyingi, bofya kwenye timu ambayo unatabiri itashinda ama timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au Timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili)
Kama utataka kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchaguwa X (SULUHU)
Kama unatka kutabiri kwenye masoko zaidi, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi lilioonyeshwa kama (+12, +2, +8 n.k) zaidi ya michezo unayotaka kuwekea bet ili upate chaguzi zaidi za kubet.
Mara baada ya kuchagua tabiri zako, Mkeka utaoneka ukionesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha fedha chini ya mkeka, ambacho kinaweza kubadilishwa kulingana na kiasi ambacho ungependa kubet.
Kumbuka kuwa unaweza kuhariri bet zako zilizopo kwenye mkeka kuhakikisha kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.
Kama utataka kutoa bet yote na kuanza upya, bofya kwenye ONDOA ZOTE
Bofya kwenye ‘WEKA BET’ ili kuweka bet yako.
Ujumbe utatokea utakaokuomba ku “THIBITISHA BET YAKO”. Sasa unaweza kubofya kwenye “FUTA” na kurudi kwenye mkeka wako, au kubofya “SAWA”.
Baada ya kubofya “SAWA” ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:
Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kweye Historia ya Bet yako kwa kubofya kwenye “Tazama Historia”
Pia utapata ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako kutoka 15888 kuthibitisha hilo.
See lessNawezaje kuweka bet moja SportPesa?
Kwanza kabisa inabidi ujisajili au uingie katika akaunti yako kama ulishajisajili. Soma jinsi ya kujisajili Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kuitumia, unachohitaji kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaokuvutia yaani Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi ambazoRead more
Kwanza kabisa inabidi ujisajili au uingie katika akaunti yako kama ulishajisajili. Soma jinsi ya kujisajili
Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kuitumia, unachohitaji kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaokuvutia yaani Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi ambazo unataka kuwekea bet.
Kuweka bet moja, bofya kwenye timu unayotabiri kushinda. Bofya ama kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyowekwa ya pili).
Kama ungependa kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchagua X (SULUHU).
Kama ungependa kutabiri masoko ya ziada, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi ambalo huoneshwa kama (+12, +2, +8 nk) mbali na mchezo unaotaka kuwekea bet, ili kupata chaguzi za kubet zilizopo.
Mara baada ya kuchagua utabiri wako, Mkeka utajitokeza kukuonesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha kubet chini ya mkeka, ambayo inaweza kurekebishwa kulingana na kiasi unachopenda kufanyia bet.
Kumbuka kwamba unaweza kuhariri bet yako iliyopo kwenye kikapu ili kujithibitishia kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.
Kama unataka kuondoa bet yote na kuanza upya, bonyeza “ONDOA ZOTE”
Bonyeza kwenye “WEKA BET” ili kuweka bet.
Ujumbe wa kukuomba ku “THIBITISHA BET YAKO” utaonekana. Unaweza ku “FUTA” na kurudi nyuma kwenye mkeka wako, au kubofya “SAWA”.
Baada ya kubofya “SAWA” ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:
Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kwenye Historia ya Kubet kwa kubofya kwenye “Tazama Historia”. Pia utapokea ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako ya kiganjani kutoka 15888 kuthibitisha bet ile ile.
See lessNawezaje kujisajili SportPesa?
Kujisajili mtandaoni, fuata hatua hizi nyepesi: Hatua ya 1 Tafadhali tembelea www.sportpesa.co.tz na bofya kwenye "Jisajili Sasa!" Link ipo kwenye kona ya upande wa juu KULIA wa tovuti(Kama tovuti ipo katika lugha ya kiingereza na unataka kutumia kiswahili bonyeza kwenye 'language' juu upande wa kulRead more
Kujisajili mtandaoni, fuata hatua hizi nyepesi:
Hatua ya 1
Tafadhali tembelea http://www.sportpesa.co.tz na bofya kwenye “Jisajili Sasa!” Link ipo kwenye kona ya upande wa juu KULIA wa tovuti(Kama tovuti ipo katika lugha ya kiingereza na unataka kutumia kiswahili bonyeza kwenye ‘language’ juu upande wa kulia)
Tafadhali soma Vigezo na Masharti na ujaze maeneo yote kisha bofya kitufe cha “Pata namba ya usajili” au vinginevyo “Je, una namba tayari?” Kama umeshapokea NAMBA YA USAJILI
Hatua ya 2
Jaza namba yako ya Simu na Namba ya Usajili ILIYOTUMWA KWENYE NAMBA YAKO YA SIMU, na bofya kitufe cha “Maliza Kikamilifu”
Hatua ya 3
Ujumbe wa uthibitisho utatokea, utakao thibitisha usajili wako kikamilifu.
Furahia Mchezo!
See lessNawezaje kuangalia salio langu la SportPesa kwa njia ya SMS?
Kuangalia salio tuma SMS neno "SALIO" kwenda 15888 kuona una kiasi gani kwenye akaunti yako ya SportPesa. Utapokea ujumbe unaoonyesha salio la akaunti yako. Mfano. Salio lako la S-PESA ni: TZS 2000/= Kumbuka: Kama una muamala unaosubiri, salio la akaunti yako ya SportPesa halitojumuisha kiasi unachoRead more
Kuangalia salio tuma SMS neno “SALIO” kwenda 15888 kuona una kiasi gani kwenye akaunti yako ya SportPesa. Utapokea ujumbe unaoonyesha salio la akaunti yako.
Mfano. Salio lako la S-PESA ni: TZS 2000/=
Kumbuka: Kama una muamala unaosubiri, salio la akaunti yako ya SportPesa halitojumuisha kiasi unachotaka kutoa.
See lessNawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?
Kutoa pesa zako ni rahisi kama kuweka pesa zako ndani. Kwa mfano kama unataka kutoa TZS 1200 kutoka kwenye akaunti yako ya SportPesa, uta: Tuma sms kwenda 15888: W#1200#8888 - ambapo W inasimama kama Kutoa; 1200 ni kiasi cha pesa unachotaka kutoa na 8888 ni namba yako ya siri ya SportPesa uliyopokeaRead more
Kutoa pesa zako ni rahisi kama kuweka pesa zako ndani.
Kwa mfano kama unataka kutoa TZS 1200 kutoka kwenye akaunti yako ya SportPesa, uta:
- Tuma sms kwenda 15888: W#1200#8888 – ambapo W inasimama kama Kutoa; 1200 ni kiasi cha pesa unachotaka kutoa na 8888 ni namba yako ya siri ya SportPesa uliyopokea wakati wa kujisajili. Kumbuka: Mfumo wa kutoa ni ule ule kwa mitandao ya watoa huduma wote wa simu, yaani, Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa.
- Utapokea ujumbe wenye uthibitisho kutoka 15888 na Akaunti yako ya simu (Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa, etc) itaingiziwa pesa, utatumiwa ujumbe wa pili wenye uthibitisho kutoka kwa mtoa huduma wako.
See less