Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
Home»Betting»SportPesa»Page 2
  • Recent Questions
  • Answers
  • No Answers
  • Most Visited
  1. Asked: January 7, 2020In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 7, 2020 at 1:14 pm

    Kufuta bet, tuna neno "Futa" ikifuatiwa na '#' na ID ya Bet (ambayo ni namba ya tarakimu 4 uliyotumiwa katika ujumbe wa kuthibitisha) kwenda 15888 Kumbuka kuwa unaweza kufuta bet ndani ya dakika 10 za kuweka bet na kabla mchezo wowote uliowekea bet haujaanza). Mfano. FUTA#2345 (ambapo 2345 ni ID yaRead more

    Kufuta bet, tuna neno “Futa” ikifuatiwa na ‘#’ na ID ya Bet (ambayo ni namba ya tarakimu 4 uliyotumiwa katika ujumbe wa kuthibitisha) kwenda 15888

    Kumbuka kuwa unaweza kufuta bet ndani ya dakika 10 za kuweka bet na kabla mchezo wowote uliowekea bet haujaanza).

    Mfano. FUTA#2345 (ambapo 2345 ni ID ya Bet)

    See less
      • 6
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Asked: January 6, 2020In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kubet jackpot ya SportPesa?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 6, 2020 at 5:36 pm
    This answer was edited.

    Kwa njia ya SMS fuata hatua hizi Hatua ya 1 Jackpot ina mechi 13 zilizochaguliwa awali ambazo huchezwa katikati ya wiki Zawadi ya fedha kwa Jackpot huanzia TZS 200,000,000 na kiwango huendelea kuongezeka kila wiki endapo mshindi hajapatikana. Kuweka bet kwenye Jackpot, tuma SMS kwenda 15888 "JP" ikiRead more

    Kwa njia ya SMS fuata hatua hizi

    Hatua ya 1

    Jackpot ina mechi 13 zilizochaguliwa awali ambazo huchezwa katikati ya wiki

    Zawadi ya fedha kwa Jackpot huanzia TZS 200,000,000 na kiwango huendelea kuongezeka kila wiki endapo mshindi hajapatikana.

    Kuweka bet kwenye Jackpot, tuma SMS kwenda 15888 “JP” ikifuatiwa na ‘#’ kisha tabiri 13 za michezo ya Jackpot iliyochaguliwa awali.

    e.g. JP#12121XX1212X1

    Kumbuka: Hulazimiki kuweka dau kwasababu kiasi cha Jackpot ni TZS 2000.

    Hatua ya 2

    Utapokea ujumbe wa kuthibitisha kutoka 15888 ukionyesha Bet namba ya Jackpot, tabiri zote 13 ulizofanya, kiasi na salio la akaunti yako ya SportPesa.

    Kumbuka: Unashinda endapo tabiri zako zote 13 zitalingana na matokeo ya michezo

    Jackpot hugawanywa sawa sawa kwa washindi wote.

    Bonasi zinatolewa kwa tabiri sahihi 10, 11 na 12

    Unaweza kuweka bet nyingi kwenye Jackpot kadri utakavyo na kila bet itagharimu TZS 2000

    Hatua ya 3

    Bet za mchanganyiko mara mbili hufanya urahisi kuweka bet nyingi wakati mmoja badala ya kurudia mlolongo ule ule mara nyingi endapo utataka kuweka bet za Jackpot (JP) zaidi ya moja kwa njia ya sms.

    Hii inakuruhusu kuweka bet yenye tabiri mbili kwenye mchezo mmoja, kwa mpaka michezo 7 iliyopo kwenye orodha ya michezo 13 ya Jackpot katika bet moja!

    Kwa mfano: kama unataka kuweka tabiri 2 kwenye michezo 3 ya JP, utakuwa umeweka bet 8 kwa ujumla, yani 2^3 (2*2*2 = bet 8 za JP)

    Mfano JP#1X#X#2#12#2#X#X#X#X#1#1#2X#1

    Katika mfano hapo juu, tabiri 2 zipo katika mchezo wa kwanza, wa nne na wa kumi na mbili

    Bet hii ni sawa na bet 8 za JP:

    JP#1X212XXXX1121

    JP#1X222XXXX1121

    JP#1X222XXXX11X1

    JP#1X212XXXX11X1

    JP#XX212XXXX1121

    JP#XX222XXXX1121

    JP#XX212XXXX11X1

    JP#XX222XXXX11X1

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  3. Asked: January 5, 2020In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kuweka multi bet kwenye SportPesa kwa njia ya ujumbe?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 5, 2020 at 9:18 am

    Fuata hatua hapo chini ili kuweka Multi Bet kwa njia ya sms Hatua ya 1 Tuma Game ID uliyochagua kwa njia ya SMS kwenda 15888, utabiri wako kwa ajili ya michezo hii, na kiasi unachotaka kubet. (Kumbuka kwamba Multi bet ina kiwango cha chini cha michezo miwili na kiwango cha juu cha michezo 20). Mfn.Read more

    Fuata hatua hapo chini ili kuweka Multi Bet kwa njia ya sms

    Hatua ya 1

    Tuma Game ID uliyochagua kwa njia ya SMS kwenda 15888, utabiri wako kwa ajili ya michezo hii, na kiasi unachotaka kubet. (Kumbuka kwamba Multi bet ina kiwango cha chini cha michezo miwili na kiwango cha juu cha michezo 20).

    Mfn. 1234 # 2 # 4534 # 1 # 7180 # X # 1350 ambapo 1,234 ni Game ID ya kwanza, 2 ni utabiri, 4534 ni Game ID ya pili, 1 ni utabiri, 7180 ni Game ID ya tatu na X ni utabiri. TZS 1350 ni kiasi cha bet kwa Multi bet.

    Hatua ya 2

    Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka 15888 kuonyesha namba ya Multi Bet, kiasi cha kushinda na salio la akaunti yako ya SportPesa. Kiasi cha kushinda kinahesabiwa kwa kuzidisha jumla ya Odds zako kwa kiasi cha kubet. (E.g.2.36 * 1.22 * 3.12 * 2000 = TZS 8980)

    Mfn: Umeweka namba Multi bet 6955, Kiasi TZS 2000. Kiasi cha KUSHINDA: TZS 8980 Salio lako la S-PESA ni: TZS37958

    Hatua ya 3

    Bet yako imefanikiwa kuwekwa, unachotakiwa kufanya ni kukaa na kufurahia mchezo!

    Kumbuka:

    Ili kufuta bet, tuma neno “FUTA” ikifuatiwa na “#” na utapokea Bet namba ambayo ni tarakimu ya namba 4 katika ujumbe wa kuthibitisha, kwenda 15888. Kumbuka kwamba unaweza tu kufuta bet ndani ya dakika 10 baada ya kuiweka na kabla mchezo wowote wa bet yako kuanza.

    Mfano: FUTA#2345 (ambapo 2345 ni Bet namba)

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Asked: January 4, 2020In: Betting, SportPesa

    Ni namna gani ya kuweka bet moja SportPesa kwa njia ya ujumbe?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 4, 2020 at 6:33 am

    Fuata hatua hizi Hatua ya 1 Tuma SMS kwenda 15888, Game ID ambayo unataka kuwekea bet, utabiri wako na kiasi unachotaka kubet. Mfano: 8692#2#2000 ambapo "8692" ni Game ID, "2" ni utabiri wako kwa timu ya Ugenini kushinda, na "2000" ni kiasi cha kubet Hatua ya 2 Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutokaRead more

    Fuata hatua hizi

    Hatua ya 1
    Tuma SMS kwenda 15888, Game ID ambayo unataka kuwekea bet, utabiri wako na kiasi unachotaka kubet.

    Mfano: 8692#2#2000 ambapo “8692” ni Game ID, “2” ni utabiri wako kwa timu ya Ugenini kushinda, na “2000” ni kiasi cha kubet

    Hatua ya 2
    Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka 15888 kuonyesha namba ya Bet, kiasi cha kushinda na salio la akaunti yako ya SportPesa. Kiasi unachoweza kushinda kinahesabiwa kwa kuzidisha jumla ya Odds zako kwa kiasi cha kubet. (Mfan0 2.36 x 100 = TZS 2360)

    Mfano. Uliweka Bet namba 6934 ya Crystal Palace vs FC West Ham, 2. Kiasi: TZS 2000. KIASI UNACHOWEZA KUSHINDA TZS 2360. Salio la S-PESA: TZS 38093.

    Hatua ya 3
    Umeweka bet yako na unachohitaji kufanya sasa ni kukaa pembeni na kufurahia mchezo uliowekea bet yako.

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  5. Asked: December 31, 2019In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 31, 2019 at 1:25 pm

    Ukishamaliza kujisajili(Kama bado haujajisajili, Soma jinsi ya kujisajili), kuweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa ni rahisi, fuata hatua zifuatazo: Hatua ya kwanza Fungua menu ya kutuma pesa kwenye simu yako kisha tuma pesa kwa kutumia namba ya biashara iliyotumwa kwako wakati wa kujisajili.Read more

    Ukishamaliza kujisajili(Kama bado haujajisajili, Soma jinsi ya kujisajili), kuweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa ni rahisi, fuata hatua zifuatazo:

    Hatua ya kwanza
    Fungua menu ya kutuma pesa kwenye simu yako kisha tuma pesa kwa kutumia namba ya biashara iliyotumwa kwako wakati wa kujisajili.

    Vodacom M-Pesa: 150888
    Airtel Money: 150888
    Tigo Pesa: 150888
    Halopesa: 150888

    Hatua ya pili
    Akaunti yako ya SportPesa itaongezewa pesa moja kwa moja. Kisha utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka SportPesa kwa muamala huo

    Mf. TZS 2000 imepokelewa! Salio kwenye akaunti yako ya S-PESA ni: TZS 2000.

    Hatua ya tatu
    Sasa upo tayari kucheza. Anza sasa!

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  6. Asked: December 27, 2019In: Betting, SportPesa

    Kiwango cha juu zaidi cha pesa unachoweza kubetia Sportpesa ni sh ngapi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 27, 2019 at 9:45 am

    Majukwaa yote ya SportPesa yana kikomo cha kiwango cha juu cha TZS 500,000 kwa bet moja.

    Majukwaa yote ya SportPesa yana kikomo cha kiwango cha juu cha TZS 500,000 kwa bet moja.

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  7. Asked: December 25, 2019In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kudownload SportPesa app?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 25, 2019 at 8:45 am

    Kudownload App ya SportPesa tumia link hizi hapa chini Android App ios App

    Kudownload App ya SportPesa tumia link hizi hapa chini

    Android App

    ios App

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  8. Asked: December 23, 2019In: Betting, SportPesa

    Ofisi za Sportpesa ziko wapi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 23, 2019 at 6:25 am

    Ofisi za Sportpesa nchini Tanzania zipo Peninsula House, Plot 251, Toure Drive, Dar es Salaam, Tanzania.

    Ofisi za Sportpesa nchini Tanzania zipo Peninsula House, Plot 251, Toure Drive, Dar es Salaam, Tanzania.

    See less
      • 1
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  9. Asked: December 20, 2019In: Betting, SportPesa

    SportPesa ni nini?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 21, 2019 at 5:43 am
    This answer was edited.

    Umeiona katika jezi za Simba na Yanga. Umeona mabango mengi yaliyoandikwa Sportpesa, lakini hiyo ni nini hasa mpaka inaandikwa sehemu nyingi. SportPesa ni mtandao wa kubashiri. Na unafanya matangazo mengi sana ili kuzidi kujulikana na watu wengine waweze kujiunga nao katika kubashiri michezo. Kwa kuRead more

    Umeiona katika jezi za Simba na Yanga. Umeona mabango mengi yaliyoandikwa Sportpesa, lakini hiyo ni nini hasa mpaka inaandikwa sehemu nyingi.

    SportPesa ni mtandao wa kubashiri. Na unafanya matangazo mengi sana ili kuzidi kujulikana na watu wengine waweze kujiunga nao katika kubashiri michezo.

    Kwa kutumia Sportpesa unaweza kuweka pesa na kisha kutabiri matokeo na matukio ya michezo yenye uwezekano wa kutokea na kama ubashiri wako utakuwa sahihi utashinda pesa nyingi zaidi na ukikosea utapoteza kiasi cha pesa ulichoweka. Dau la kuchezea linaanzia Sh 500. Unaweza kubashiri mechi kila siku tena kwenye michezo kibao kama vile Soka, Masumbwi, Tennis, Volleyball, Cricket, Raga na mingine mingi.

    Kujiunga na Sportpesa unaweza tumia njia ya simu yako ya kawaida au kwa kutumia app yao au tovuti yao iliyopo mtandaoni.

    See less
      • 1
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  10. Asked: December 20, 2019In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kujisajili SportPesa kwa njia ya SMS?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 20, 2019 at 8:23 am
    This answer was edited.

    Kujisajili kwa njia ya SMS, fuata hatua hizi tatu rahisi: Hatua ya 1 Kujisajili kwa njia ya sms tuma "Mchezo" kwenda 15888. Utapokea ujumbe wa uthibitisho wenye link itakayokupeleka kusoma Vigezo na Masharti kwenye tovuti ya SportPesa. Mara baada ya kusoma na kuelewa Vigezo na Masharti, tuma "KUBALIRead more

    Kujisajili kwa njia ya SMS, fuata hatua hizi tatu rahisi:
    Hatua ya 1
    Kujisajili kwa njia ya sms tuma “Mchezo” kwenda 15888. Utapokea ujumbe wa uthibitisho wenye link itakayokupeleka kusoma Vigezo na Masharti kwenye tovuti ya SportPesa. Mara baada ya kusoma na kuelewa Vigezo na Masharti, tuma “KUBALI” kwenda 15888 kukamilisha usajli.
    Hatua ya 2
    Baada ya kutuma “Kubali” kwenda 15888, utapokea ujumbe wa uthibitisho utakaokupa jina la mtumiaji, ambayo ni namba yako ya simu, namba ya siri yenye tarakimu 4 na namba ya Pay bill.

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Load More Answers

Sidebar

ChuiTec

Contact us for Website Design, Ads, SEO and Digital Marketing

Popular Questions

  • Ni kampuni gani za kubet TZ?

  • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

  • Unajua app za kubet Tanzania?

  • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

  • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

  • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

  • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

  • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

  • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

  • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

Explore

  • Home
  • Maswali
  • Miongozo

MojaSky