Unachezaje Tatu Mzuka kwa Airtel?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
HATUA YA 1: Bonyeza *150*60#
HATUA YA 2 : Chagua namba 5 (Lipia Bili)
HATUA YA 3 : Chagua 4 kisha weka namba ya Biashara (555111)
HATUA YA 4 : Weka kiasi (kuanzia shilingi 500 hadi 30,000)
HATUA YA 5 : Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati) zikifuatiwa na neno “WEB”, mfano 637 WEB
HATUA YA 6: Ingiza namba yako ya Siri
HATUA YA 7: Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako.