Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?
Jinsi ya kufungua akaunti ya betpawa ili kuanza kucheza. Bonyeza Link ya kujiunga hapo chini Ingiza namba yako na tengeneza neno lako la siri lisilopungua tarakimu/herufi nne Kubaliana na vigezo na masharti na kisha bonyeza Wasilisha Kumbuka: Neno la siri utakalochagua wakati wa kujiunga ndilo utakaRead more
Jinsi ya kufungua akaunti ya betpawa ili kuanza kucheza.
Kumbuka: Neno la siri utakalochagua wakati wa kujiunga ndilo utakalokuwa unatumia kila mara unapohitaji kuingia katika akaunti yako ya betPawa.
Link ya kujiunga => Bonyeza Hapa Kujiunga
See lessNawezaje kutoa pesa BetPawa?
1. Ingia: betpawa.co.tz 2. Chagua 'login'. 3. Weka namba yako na password kuingia katika akaunti yako. 4. Chagua 'Menu' upande wa juu kulia. 5. Bonyeza ‘Withdrawal’ 6. Kama ukiulizwa jaza jina la kwanza na la mwisho kwenye first name na last name. 7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kutoa (kiwango cRead more
1. Ingia: betpawa.co.tz
2. Chagua ‘login’.
3. Weka namba yako na password kuingia katika akaunti yako.
4. Chagua ‘Menu’ upande wa juu kulia.
5. Bonyeza ‘Withdrawal’
6. Kama ukiulizwa jaza jina la kwanza na la mwisho kwenye first name na last name.
7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kutoa (kiwango cha chini ni 1,000/=)
8. Bonyeza ‘Request Payout’
Utapata pesa yako ndani ya dakika 10
See lessNimesahau password yangu ya BetPawa, nitaipataje?
Fuata hatua hizi kutengeneza neno jipya la siri kwa ajili ya BetPawa. 1. Ingia: betpawa.co.tz 2. Ikifunguka bonyeza palipoandikwa 'login'. 3. Weka namba yako ya simu(uliyotumia wakati wa kujiunga)Ethen bonyeza kwenye ‘forgot password’ 4. Utapokea SMS katika simu yako yenye PIN. 5. Weka pin uliyotumRead more
Fuata hatua hizi kutengeneza neno jipya la siri kwa ajili ya BetPawa.
1. Ingia: betpawa.co.tz
See less2. Ikifunguka bonyeza palipoandikwa ‘login’.
3. Weka namba yako ya simu(uliyotumia wakati wa kujiunga)Ethen bonyeza kwenye ‘forgot password’
4. Utapokea SMS katika simu yako yenye PIN.
5. Weka pin uliyotumiwa katika website ya BetPawa kisha chagua password yako mpya.
Nawezaje kudownload app ya BetPawa?
Unaweza kuipata app ya betpawa kupitia tovuti yao. Au tumia link hii https://www.betpawa.co.tz/android-app
Unaweza kuipata app ya betpawa kupitia tovuti yao.
Au tumia link hii https://www.betpawa.co.tz/android-app
See lessNawezaje kuweka bet katika tovuti ya BetPawa?
Kubet kwa kutumia BetPawa mtandaoni tumia hatua hizi. 1. Fungua browser yako kisha andika : betpawa.co.tz 2. Ukurasa wa betpawa ukishafunguka bonyeza 'login'. 3. Weka namba yako na password/neno la siri kuendelea katika akaunti yako. 4. Chagua mchezo katika menyu mfano 'football'. 5. Tumia menyu yaRead more
Kubet kwa kutumia BetPawa mtandaoni tumia hatua hizi.
1. Fungua browser yako kisha andika : betpawa.co.tz
2. Ukurasa wa betpawa ukishafunguka bonyeza ‘login’.
3. Weka namba yako na password/neno la siri kuendelea katika akaunti yako.
4. Chagua mchezo katika menyu mfano ‘football’.
5. Tumia menyu ya michezo iliyopo upande wa kushoto wa screen yako kutafuta ligi na nchi unayopenda.
6. Chagua mechi zako. Kiwango cha mwisho cha mechi ni 30.
7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kubetia.
8. Bonyeza kwenye “place bet”
Kumbuka: Kama itaandika ‘price has changed’, bonyeza kwenye ‘proceed’ kukubali na bet yako itakuwa tayari au unaweza kuondoa kwa ku bonyeza ‘remove’.
See lessNawezaje kutengeneza account ya BetPawa?
Jinsi ya kufungua akaunti ya kubashiri ya BetPawa 1. Ingia katika browser yako kisha andika : betpawa.co.tz au tumia link HII 2. Page ya betPawa ikishafunguka bonyeza kwenye 'Create account'. 3. Weka namba yako ya simu kisha weka neno la siri (lisipungue herufi sita). 4. Akaunti yako itakua tayari.Read more
Jinsi ya kufungua akaunti ya kubashiri ya BetPawa
1. Ingia katika browser yako kisha andika : betpawa.co.tz au tumia link HII
2. Page ya betPawa ikishafunguka bonyeza kwenye ‘Create account’.
3. Weka namba yako ya simu kisha weka neno la siri (lisipungue herufi sita).
4. Akaunti yako itakua tayari.
Muhimu: Chagua neno la siri utakalolikumbuka ili ukitaka kuingia tena betPawa uweze kutumia account yako.
See lessNawezaje kuwasiliana na BetPawa?
Simu namba Vodacom: 0768 141904 Halotel: 0622 004681 WhatsApp +255677062998 Facebook m.me/betPawa.co.tz Email tz@betpawa.com Ofisi jijini Dar es Salaam Tanzanite Park, Victoria. Floor no. 5 Ofisi zinaunguliwa kuanzia 9am - 5pm, Jumatatu mpaka Ijumaa Ukitaka kupigiwa simu na BetPawa Tembelea tovutiRead more
Simu namba
Vodacom: 0768 141904
Halotel: 0622 004681
WhatsApp
+255677062998
Facebook
m.me/betPawa.co.tz
Email
tz@betpawa.com
Ofisi jijini Dar es Salaam
Tanzanite Park, Victoria. Floor no. 5
Ofisi zinaunguliwa kuanzia 9am – 5pm, Jumatatu mpaka Ijumaa
Ukitaka kupigiwa simu na BetPawa
Tembelea tovuti yao HAPA kisha weka namba yako ya simu mahali palipoandikwa ‘Request a call’ alafu bonyeza ‘Call Me’
See lessNawezaje kuweka pesa BetPawa?
MPesa Piga *150*00# Chagua 4 - Lipa kwa M-Pesa Choose 4 - Weka namba ya kampuni Weka 122122 Weka 60124815 kama kumbukumbu namba Ingiza kiasi Weka PIN yako Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa TigoPesa Piga *150*01# Chagua 5 - Lipa bili Chagua 2Read more
MPesa
TigoPesa
AirtelMoney
HaloPesa
- Piga *150*88#
- Chagua 5 – Lipa bili
- Chagua 3 – Selcom Pay/Masterpass
- Weka 60124815
- Weka kiasi
- Andika PIN yako
- Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa.
See lessNawezaje kuweka pesa BetPawa kwa kutumia HaloPesa?
Piga *150*88# Chagua 5 - Lipa bili Chagua 3 - Selcom Pay/Masterpass Weka 60124815 Weka kiasi Andika PIN yako Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa.
- Piga *150*88#
- Chagua 5 – Lipa bili
- Chagua 3 – Selcom Pay/Masterpass
- Weka 60124815
- Weka kiasi
- Andika PIN yako
- Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa.
See lessNawezaje kuweka pesa BetPawa kwa kutumia Airtel Money?
Piga *150*60# Chagua 5 - Fanya Malipo Chagua 1 - Lipa bili Chagua 1 - Lipa kwa SelcomPay/Masterpass Weka kiasi Weka 60124815 Andika PIN yako Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa
- Piga *150*60#
- Chagua 5 – Fanya Malipo
- Chagua 1 – Lipa bili
- Chagua 1 – Lipa kwa SelcomPay/Masterpass
- Weka kiasi
- Weka 60124815
- Andika PIN yako
- Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa
See less