Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nawezaje kuweka pesa BetPawa kwa kutumia TigoPesa?
Piga *150*01# Chagua 5 - Lipa bili Chagua 2 - Lipa kwa Masterpass QR Weka 60124815 Weka kiasi Andika PIN yako Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa
- Piga *150*01#
- Chagua 5 – Lipa bili
- Chagua 2 – Lipa kwa Masterpass QR
- Weka 60124815
- Weka kiasi
- Andika PIN yako
- Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa
See lessNawezaje kuweka pesa BetPawa kwa kutumia MPesa?
Piga *150*00# Chagua 4 - Lipa kwa M-Pesa Choose 4 - Weka namba ya kampuni Weka 122122 Weka 60124815 kama kumbukumbu namba Ingiza kiasi Weka PIN yako Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa
- Piga *150*00#
- Chagua 4 – Lipa kwa M-Pesa
- Choose 4 – Weka namba ya kampuni
- Weka 122122
- Weka 60124815 kama kumbukumbu namba
- Ingiza kiasi
- Weka PIN yako
- Utapokea SMS ya kuthibitisha, na pesa itakua ishaingia katika akaunti yako ya BetPawa
See lessBetPawa ni nini?
BetPawa ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayofanya kazi zake katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania. Kwa kutumia BetPawa unaweza kubet bila nyongeza ya ada na kuweka bet ndogondogo na unaweza kupata bonus ya hadi asilimia 250. Michezo inayopatikana ni Mpira wa miguu, Mpira wa kikapu, AmericanRead more
BetPawa ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayofanya kazi zake katika nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania. Kwa kutumia BetPawa unaweza kubet bila nyongeza ya ada na kuweka bet ndogondogo na unaweza kupata bonus ya hadi asilimia 250.
Michezo inayopatikana ni Mpira wa miguu, Mpira wa kikapu, American football, Volleybal na Cricket.
See less