Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
What's your question?
  • Recent Questions
  • Answers
  1. Asked: January 8, 2020In: Betting, MkekaBet

    Nawezaje kubet mchezo zaidi ya mmoja kwa njia ya SMS katika Mkekabet?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 8, 2020 at 6:04 pm

    Event Code Event 1 X 2 5555 Liverpool vs Chelsea 2.00 3.00 3.20 6666 Man Utd vs Arsenal 3.2 3.1 2 Timu ya nyumbani kushinda = (1), Sare = (X), Timu ya ugenini = (2) Mfano: Liverpool na Arsenal Washinde; Andika Neno Bet(AchaNafasi)Code ya Mechi#Ubashiri+Code ya Mechi#Ubashiri*kiasi cha pesa kisha TUMRead more

    Event CodeEvent1X2
    5555Liverpool vs Chelsea2.003.003.20
    6666Man Utd vs Arsenal3.23.12

    Timu ya nyumbani kushinda = (1), Sare = (X), Timu ya ugenini = (2)

    Mfano: Liverpool na Arsenal Washinde;
    Andika Neno Bet(AchaNafasi)Code ya Mechi#Ubashiri+Code ya Mechi#Ubashiri*kiasi cha pesa kisha TUMA KWENDA 15739

    Mfano :Bet 5555#1+6666#2*1000 TUMA KWENDA 15739

    “5555” na “6666” = Ni Code za Mechi, “1” na “2” = Ubashiri, “1000” = kiasi cha pesa.

    Idadi ya mwisho kucheza ni michezo 15 kwa tiketi moja

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Asked: January 7, 2020In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 7, 2020 at 1:14 pm

    Kufuta bet, tuna neno "Futa" ikifuatiwa na '#' na ID ya Bet (ambayo ni namba ya tarakimu 4 uliyotumiwa katika ujumbe wa kuthibitisha) kwenda 15888 Kumbuka kuwa unaweza kufuta bet ndani ya dakika 10 za kuweka bet na kabla mchezo wowote uliowekea bet haujaanza). Mfano. FUTA#2345 (ambapo 2345 ni ID yaRead more

    Kufuta bet, tuna neno “Futa” ikifuatiwa na ‘#’ na ID ya Bet (ambayo ni namba ya tarakimu 4 uliyotumiwa katika ujumbe wa kuthibitisha) kwenda 15888

    Kumbuka kuwa unaweza kufuta bet ndani ya dakika 10 za kuweka bet na kabla mchezo wowote uliowekea bet haujaanza).

    Mfano. FUTA#2345 (ambapo 2345 ni ID ya Bet)

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  3. Asked: January 6, 2020In: BetPawa, Betting

    Nawezaje kutengeneza account ya BetPawa?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 6, 2020 at 5:50 pm

    Jinsi ya kufungua akaunti ya kubashiri ya BetPawa 1. Ingia katika browser yako kisha andika : betpawa.co.tz au tumia link HII 2. Page ya betPawa ikishafunguka bonyeza kwenye  'Create account'. 3. Weka namba yako ya simu kisha weka neno la siri (lisipungue herufi sita). 4. Akaunti yako itakua tayari.Read more

    Jinsi ya kufungua akaunti ya kubashiri ya BetPawa

    1. Ingia katika browser yako kisha andika : betpawa.co.tz au tumia link HII

    2. Page ya betPawa ikishafunguka bonyeza kwenye  ‘Create account’.

    3. Weka namba yako ya simu kisha weka neno la siri (lisipungue herufi sita).

    4. Akaunti yako itakua tayari.

    Muhimu: Chagua neno la siri utakalolikumbuka ili ukitaka kuingia tena betPawa uweze kutumia account yako.

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Asked: January 6, 2020In: Betting, MkekaBet

    Nawezaje kubet na Mkekabet mtandaoni?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 6, 2020 at 5:42 pm
    This answer was edited.

    Kwanza kabisa inabidi ujiunge. Tumia link hii kujiunga ⇒Mkekabet 1. Ingia tumia namba yako ya simu na pin namba uliyopewa baada ya kujisajili (usianze na sifuri) 2. Ukisha ingia chagua michezo unayohitaji kwa kuangalia ligi na aina ya michezo kwenye menu upande wa kushoto. 3. Fanya machaguo yako kwaRead more

    Kwanza kabisa inabidi ujiunge. Tumia link hii kujiunga ⇒Mkekabet

    1. Ingia tumia namba yako ya simu na pin namba uliyopewa baada ya kujisajili (usianze na sifuri)

    2. Ukisha ingia chagua michezo unayohitaji kwa kuangalia ligi na aina ya michezo kwenye menu upande wa kushoto.

    3. Fanya machaguo yako kwa kubofya moja kati ya vibox vitatu ambavyo vina odds ndani yake na utapata betslip upande wa kulia kwa wanaotumia mfumo wa kompyuta na kwa mfumo wa simu utaiona upande wa chini kulia.

    4. Ukimaliza utaweka dau lako na kubofya sehemu imeandikwa “Bet now”

    5. Unaweza kupitia na kuangalia beti ulizofanya kwa kubofya sehemu yenye namba yako ya simu au jina lako hapo juu utapata menyu na utaenda sehemu ya “Bet History”

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  5. Asked: January 6, 2020In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kubet jackpot ya SportPesa?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 6, 2020 at 5:36 pm
    This answer was edited.

    Kwa njia ya SMS fuata hatua hizi Hatua ya 1 Jackpot ina mechi 13 zilizochaguliwa awali ambazo huchezwa katikati ya wiki Zawadi ya fedha kwa Jackpot huanzia TZS 200,000,000 na kiwango huendelea kuongezeka kila wiki endapo mshindi hajapatikana. Kuweka bet kwenye Jackpot, tuma SMS kwenda 15888 "JP" ikiRead more

    Kwa njia ya SMS fuata hatua hizi

    Hatua ya 1

    Jackpot ina mechi 13 zilizochaguliwa awali ambazo huchezwa katikati ya wiki

    Zawadi ya fedha kwa Jackpot huanzia TZS 200,000,000 na kiwango huendelea kuongezeka kila wiki endapo mshindi hajapatikana.

    Kuweka bet kwenye Jackpot, tuma SMS kwenda 15888 “JP” ikifuatiwa na ‘#’ kisha tabiri 13 za michezo ya Jackpot iliyochaguliwa awali.

    e.g. JP#12121XX1212X1

    Kumbuka: Hulazimiki kuweka dau kwasababu kiasi cha Jackpot ni TZS 2000.

    Hatua ya 2

    Utapokea ujumbe wa kuthibitisha kutoka 15888 ukionyesha Bet namba ya Jackpot, tabiri zote 13 ulizofanya, kiasi na salio la akaunti yako ya SportPesa.

    Kumbuka: Unashinda endapo tabiri zako zote 13 zitalingana na matokeo ya michezo

    Jackpot hugawanywa sawa sawa kwa washindi wote.

    Bonasi zinatolewa kwa tabiri sahihi 10, 11 na 12

    Unaweza kuweka bet nyingi kwenye Jackpot kadri utakavyo na kila bet itagharimu TZS 2000

    Hatua ya 3

    Bet za mchanganyiko mara mbili hufanya urahisi kuweka bet nyingi wakati mmoja badala ya kurudia mlolongo ule ule mara nyingi endapo utataka kuweka bet za Jackpot (JP) zaidi ya moja kwa njia ya sms.

    Hii inakuruhusu kuweka bet yenye tabiri mbili kwenye mchezo mmoja, kwa mpaka michezo 7 iliyopo kwenye orodha ya michezo 13 ya Jackpot katika bet moja!

    Kwa mfano: kama unataka kuweka tabiri 2 kwenye michezo 3 ya JP, utakuwa umeweka bet 8 kwa ujumla, yani 2^3 (2*2*2 = bet 8 za JP)

    Mfano JP#1X#X#2#12#2#X#X#X#X#1#1#2X#1

    Katika mfano hapo juu, tabiri 2 zipo katika mchezo wa kwanza, wa nne na wa kumi na mbili

    Bet hii ni sawa na bet 8 za JP:

    JP#1X212XXXX1121

    JP#1X222XXXX1121

    JP#1X222XXXX11X1

    JP#1X212XXXX11X1

    JP#XX212XXXX1121

    JP#XX222XXXX1121

    JP#XX212XXXX11X1

    JP#XX222XXXX11X1

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  6. Asked: December 24, 2019In: Betting, M-Bet

    App ya M bet inapatikana wapi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 5, 2020 at 9:46 am

    Download App ya M Bet HAPA

    Download App ya M Bet HAPA

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  7. Asked: January 5, 2020In: Betting

    Contacts za BetPawa ni zipi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 5, 2020 at 9:39 am

    Simu namba Vodacom: 0768 141904 Halotel: 0622 004681 WhatsApp +255677062998 Facebook m.me/betPawa.co.tz Email tz@betpawa.com Ofisi jijini Dar es Salaam Tanzanite Park, Victoria. Floor no. 5 Ofisi zinaunguliwa kuanzia  9am - 5pm, Jumatatu mpaka Ijumaa

    Simu namba
    Vodacom: 0768 141904
    Halotel: 0622 004681

    WhatsApp
    +255677062998

    Facebook
    m.me/betPawa.co.tz

    Email
    tz@betpawa.com

    Ofisi jijini Dar es Salaam

    Tanzanite Park, Victoria. Floor no. 5
    Ofisi zinaunguliwa kuanzia  9am – 5pm, Jumatatu mpaka Ijumaa

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  8. Asked: January 5, 2020In: BetPawa, Betting

    Nawezaje kuwasiliana na BetPawa?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 5, 2020 at 9:39 am
    This answer was edited.

    Simu namba Vodacom: 0768 141904 Halotel: 0622 004681 WhatsApp +255677062998 Facebook m.me/betPawa.co.tz Email tz@betpawa.com Ofisi jijini Dar es Salaam Tanzanite Park, Victoria. Floor no. 5 Ofisi zinaunguliwa kuanzia  9am - 5pm, Jumatatu mpaka Ijumaa Ukitaka kupigiwa simu na BetPawa  Tembelea tovutiRead more

    Simu namba
    Vodacom: 0768 141904
    Halotel: 0622 004681

    WhatsApp
    +255677062998

    Facebook
    m.me/betPawa.co.tz

    Email
    tz@betpawa.com

    Ofisi jijini Dar es Salaam

    Tanzanite Park, Victoria. Floor no. 5
    Ofisi zinaunguliwa kuanzia  9am – 5pm, Jumatatu mpaka Ijumaa

    Ukitaka kupigiwa simu na BetPawa 

    Tembelea tovuti yao HAPA kisha weka namba yako ya simu mahali palipoandikwa ‘Request a call’ alafu bonyeza ‘Call Me’

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  9. Asked: January 5, 2020In: Betting, MkekaBet

    Nawezaje kujisajili Mkekabet?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 5, 2020 at 9:21 am

    Namna ya kwanza Weka pesa kwa: Tigo pesa (*150*01#) au Vodacom m-pesa (*150*00#) au Airtel Money (*150*60#) Namba ya Kampuni : 238844 Namba ya kumbukumbu : 12345/MKEKA. Utapokea PIN kwa njia ya ujumbe mfupi (SMS) Ukipokea ujumbe utaingia kwenye tovuti yetu www.mkekabet.com sehemu ya log in utaweka nRead more

    Namna ya kwanza

    Weka pesa kwa:

    Tigo pesa (*150*01#) au Vodacom m-pesa (*150*00#) au Airtel Money (*150*60#)

    Namba ya Kampuni : 238844

    Namba ya kumbukumbu : 12345/MKEKA.

    Utapokea PIN kwa njia ya ujumbe mfupi (SMS)

    Ukipokea ujumbe utaingia kwenye tovuti yetu http://www.mkekabet.com sehemu ya log in utaweka namba ya simu (bila kuanza na sifuri) kisha weka PIN namba yako.

    Namna ya pili

    Tuma ujumbe wa neno PIN kwenda 15739

    Utapokea PIN kwa njia ya ujumbe mfupi (SMS)

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  10. Asked: January 5, 2020In: Betting, SportPesa

    Nawezaje kuweka multi bet kwenye SportPesa kwa njia ya ujumbe?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 5, 2020 at 9:18 am

    Fuata hatua hapo chini ili kuweka Multi Bet kwa njia ya sms Hatua ya 1 Tuma Game ID uliyochagua kwa njia ya SMS kwenda 15888, utabiri wako kwa ajili ya michezo hii, na kiasi unachotaka kubet. (Kumbuka kwamba Multi bet ina kiwango cha chini cha michezo miwili na kiwango cha juu cha michezo 20). Mfn.Read more

    Fuata hatua hapo chini ili kuweka Multi Bet kwa njia ya sms

    Hatua ya 1

    Tuma Game ID uliyochagua kwa njia ya SMS kwenda 15888, utabiri wako kwa ajili ya michezo hii, na kiasi unachotaka kubet. (Kumbuka kwamba Multi bet ina kiwango cha chini cha michezo miwili na kiwango cha juu cha michezo 20).

    Mfn. 1234 # 2 # 4534 # 1 # 7180 # X # 1350 ambapo 1,234 ni Game ID ya kwanza, 2 ni utabiri, 4534 ni Game ID ya pili, 1 ni utabiri, 7180 ni Game ID ya tatu na X ni utabiri. TZS 1350 ni kiasi cha bet kwa Multi bet.

    Hatua ya 2

    Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka 15888 kuonyesha namba ya Multi Bet, kiasi cha kushinda na salio la akaunti yako ya SportPesa. Kiasi cha kushinda kinahesabiwa kwa kuzidisha jumla ya Odds zako kwa kiasi cha kubet. (E.g.2.36 * 1.22 * 3.12 * 2000 = TZS 8980)

    Mfn: Umeweka namba Multi bet 6955, Kiasi TZS 2000. Kiasi cha KUSHINDA: TZS 8980 Salio lako la S-PESA ni: TZS37958

    Hatua ya 3

    Bet yako imefanikiwa kuwekwa, unachotakiwa kufanya ni kukaa na kufurahia mchezo!

    Kumbuka:

    Ili kufuta bet, tuma neno “FUTA” ikifuatiwa na “#” na utapokea Bet namba ambayo ni tarakimu ya namba 4 katika ujumbe wa kuthibitisha, kwenda 15888. Kumbuka kwamba unaweza tu kufuta bet ndani ya dakika 10 baada ya kuiweka na kabla mchezo wowote wa bet yako kuanza.

    Mfano: FUTA#2345 (ambapo 2345 ni Bet namba)

    See less
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Load More Answers

Sidebar

Promo

  • Popular Questions

    • Ni kampuni gani za kubet TZ?

    • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

    • Unajua app za kubet Tanzania?

    • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

    • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

    • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

    • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

    • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

    • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

    • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Miongozo

    MojaSky