Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In


Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa


Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 33825
In Process
Poll
Anonymous
Asked: December 3, 20192019-12-03T12:20:43+03:00 2019-12-03T12:20:43+03:00Kubashiri

Kubet na kushinda ni kujua au ni bahati tu?

Poll Results

50%Kujua ( 2 )
50%Bahati ( 2 )
Based On 4 Votes

Kubet na kushinda ni kujua au ni bahati tu?

Kubet na kushinda ni kujua au ni bahati tu?
  • 1
  • 579
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Bet1

    Bet1

    • Tanzania
    • 0 Questions
    • 41 Answers
    • 0 Best Answers
    • 110 Points
    View Profile
    Bet1 Intermediate
    2021-10-26T15:50:45+03:00Jibu - October 26, 2021 saa 3:50 pm
    Jibu hili limerekebishwa.

    Kubet ni kubashiri, maana yake ni kama kutabiri kwa iyo lolote linaweza kutokea matokeo yakawa sawa na utabiri au yasiwe sawa.

    Kwa hiyo kubet na kushinda ni bahati tu lakini ukiweka umakini na kuzingatia mambo muhimu katika kubashiri unaongeza nafasi yako ya kuwa na bahati

    Mambo ya kuzingatia ili kuongeza bahati/nafasi ya ushindi ni kama

    • Usiwe na papara kwenye kuchagua timu, chagua kwa umakini
    • Weka mkeka wa timu chache, wingi wa mechi unapunguza nafasi ya kushinda
    • Fuatilia habari na mienendo ya ligi au timu unazozitumia kubet
    • Kumbuka mikeka iliyopita ili kufahamu unapatia wapi au unakosea wapi
    • Usichague timu kwa kuangalia matokeo ya muda mfupi
    • Usichague timu kwa sababu unaishabikia/unaikubali bora usiweke hiyo mechi kwenye mkeka
    • Kuwa na kiasi katika kucheza. Cheza kwa kujifurahisha, usigeuze kuwa ajira

    Kama unajiona uko tayari nakushauri upitie hii >>Mwongozo. Mkekabet imetumika kama mfano

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua

Sidebar

Promo

  • Gugo kwa Kiswahili, Jaribu Sasa

  • Nafasi zote mpya za kazi zipo hapa

  • Tafuta vitu mtandaoni kwa lugha ya Kiswahili

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Maswali Mengine

    • Kampuni ipi bora kati ya Mkekabet na Premier bet katika kubeti?

      • Majibu 0
    • Kampuni za ku bet Tanzania online ni zipi?

      • Majibu 0
    • Kampuni bora ya kubashiri mpira ni ipi?

      • Jibu 1
    • Kampuni za kubeti soka Tanzania ni zipi?

      • Jibu 1
    • Kampuni gani ya kubet ambayo haina kodi?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kupata timu za kuaminika kwenye kubeti?

      • Majibu 0
    • Kiasi cha juu zaidi cha kushinda Mkekabet ni shilingi ngapi?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kujisajili SportPesa?

      • Jibu 1
    • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

      • Jibu 1
    • Namba ya kubet Mkekabet kwa USSD ni ipi?

      • Jibu 1

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.