Nawezaje kujisajili SportPesa kwa njia ya SMS?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Kujisajili kwa njia ya SMS, fuata hatua hizi tatu rahisi:
Hatua ya 1
Kujisajili kwa njia ya sms tuma “Mchezo” kwenda 15888. Utapokea ujumbe wa uthibitisho wenye link itakayokupeleka kusoma Vigezo na Masharti kwenye tovuti ya SportPesa. Mara baada ya kusoma na kuelewa Vigezo na Masharti, tuma “KUBALI” kwenda 15888 kukamilisha usajli.
Hatua ya 2
Baada ya kutuma “Kubali” kwenda 15888, utapokea ujumbe wa uthibitisho utakaokupa jina la mtumiaji, ambayo ni namba yako ya simu, namba ya siri yenye tarakimu 4 na namba ya Pay bill.