Nawezaje kubet jackpot ya SportPesa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Hatua ya 1
Ingia kwenye akaunti yako ya SportPesa na bofya kwenye bango lililopo juu ya skrini yako.
Hatua ya 2
Ili kuweka bet ya Jackpot, bofya kwenye timu unayotabiri ishinde. Bofya kwenye ama timu ya Nyumbani (timu iliyotajwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyotajwa ya pili).
Kama unataka kutabiri kuwa matokeo ya mchezo yatakuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili na chagua X (SULUHU).
Chagua utabiri wako kwa michezo yote 13 ya Jackpot.
Mkeka utatokea ukiwa na utabiri wako wote.
Kwenye mkeka, utaweza pia kuona namba za mchanganyiko uliofanyika. Kama haujaweka bet ya mchanganyiko, idadi ya mchanganyiko itakuwa 1.
Hatua ya 3
Bofya kwenye weka bet
Hatua ya 4
Bofya SAWA kuthibitisha au Futa kukataa.
Ujumbe utatokea kwenye skrini yako kuthibitisha uwekwaji wa bet yako ya Jackpot.
Kumb 1: Utashinda endapo utabiri wako wote 13 utalingana na matokeo ya michezo. Jackpot hugawiwa sawa sawa kwa washindi wote.
Kwa njia ya SMS fuata hatua hizi
Hatua ya 1
Jackpot ina mechi 13 zilizochaguliwa awali ambazo huchezwa katikati ya wiki
Zawadi ya fedha kwa Jackpot huanzia TZS 200,000,000 na kiwango huendelea kuongezeka kila wiki endapo mshindi hajapatikana.
Kuweka bet kwenye Jackpot, tuma SMS kwenda 15888 “JP” ikifuatiwa na ‘#’ kisha tabiri 13 za michezo ya Jackpot iliyochaguliwa awali.
e.g. JP#12121XX1212X1
Kumbuka: Hulazimiki kuweka dau kwasababu kiasi cha Jackpot ni TZS 2000.
Hatua ya 2
Utapokea ujumbe wa kuthibitisha kutoka 15888 ukionyesha Bet namba ya Jackpot, tabiri zote 13 ulizofanya, kiasi na salio la akaunti yako ya SportPesa.
Kumbuka: Unashinda endapo tabiri zako zote 13 zitalingana na matokeo ya michezo
Jackpot hugawanywa sawa sawa kwa washindi wote.
Bonasi zinatolewa kwa tabiri sahihi 10, 11 na 12
Unaweza kuweka bet nyingi kwenye Jackpot kadri utakavyo na kila bet itagharimu TZS 2000
Hatua ya 3
Bet za mchanganyiko mara mbili hufanya urahisi kuweka bet nyingi wakati mmoja badala ya kurudia mlolongo ule ule mara nyingi endapo utataka kuweka bet za Jackpot (JP) zaidi ya moja kwa njia ya sms.
Hii inakuruhusu kuweka bet yenye tabiri mbili kwenye mchezo mmoja, kwa mpaka michezo 7 iliyopo kwenye orodha ya michezo 13 ya Jackpot katika bet moja!
Kwa mfano: kama unataka kuweka tabiri 2 kwenye michezo 3 ya JP, utakuwa umeweka bet 8 kwa ujumla, yani 2^3 (2*2*2 = bet 8 za JP)
Mfano JP#1X#X#2#12#2#X#X#X#X#1#1#2X#1
Katika mfano hapo juu, tabiri 2 zipo katika mchezo wa kwanza, wa nne na wa kumi na mbili
Bet hii ni sawa na bet 8 za JP:
JP#1X212XXXX1121
JP#1X222XXXX1121
JP#1X222XXXX11X1
JP#1X212XXXX11X1
JP#XX212XXXX1121
JP#XX222XXXX1121
JP#XX212XXXX11X1
JP#XX222XXXX11X1