Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
Home»Betting»M-Bet
  • Recent Questions
  • Answers
  • No Answers
  • Most Visited
  1. Asked: May 1, 2019In: Betting, M-Bet

    Nitafanyaje ili nishinde M Bet?

    Bet1
    Bet1
    Added an answer on October 24, 2020 at 4:08 pm

    Zingatia haya ili kushinda M Bet Usiwe na papara kwenye kuchagua timu, chagua kwa umakini Weka mkeka wa timu chache, wingi wa mechi unapunguza nafasi ya kushinda Fuatilia habari na mienendo ya ligi au timu unazozitumia kubet Kumbuka mikeka iliyopita ili kufahamu unapatia wapi au unakosea wapi UsichaRead more

    Zingatia haya ili kushinda M Bet

    • Usiwe na papara kwenye kuchagua timu, chagua kwa umakini
    • Weka mkeka wa timu chache, wingi wa mechi unapunguza nafasi ya kushinda
    • Fuatilia habari na mienendo ya ligi au timu unazozitumia kubet
    • Kumbuka mikeka iliyopita ili kufahamu unapatia wapi au unakosea wapi
    • Usichague timu kwa kuangalia matokeo ya muda mfupi
    • Usichague timu kwa sababu unaishabikia/unaikubali bora usiweke hiyo mechi kwenye mkeka
    • Kuwa na kiasi katika kucheza. Cheza kwa kujifurahisha, usigeuze kuwa ajira
    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Asked: December 24, 2019In: Betting, M-Bet

    App ya M bet inapatikana wapi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on January 5, 2020 at 9:46 am

    Download App ya M Bet HAPA

    Download App ya M Bet HAPA

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  3. Asked: December 31, 2019In: Betting, M-Bet

    Nawezaje kucheza handicap kwenye M Bet?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 31, 2019 at 2:05 pm

    Kwanza handicap ni nini. Handicap inakupa nafasi ya kuipa timu moja goli la faida. Hii inatumika sana sana kama zinacheza timu moja kubwa zaidi na ndogo Mfano:Manchester City Vs Fulham (+1) Hapa handcap inaongeza 1 kwenye magoli ya Fulham, maanake ni kwamba  Fulham ni underdogs kwa kuwa  wamepewa goRead more

    Kwanza handicap ni nini.

    Handicap inakupa nafasi ya kuipa timu moja goli la faida. Hii inatumika sana sana kama zinacheza timu moja kubwa zaidi na ndogo

    Mfano:Manchester City Vs Fulham (+1)

    Hapa handcap inaongeza 1 kwenye magoli ya Fulham, maanake ni kwamba  Fulham ni underdogs kwa kuwa  wamepewa goli moja kuanzia mwanzo.

    Kama hakuna goli litakalofungwa na mechi itaisha (0-0) matokeo ya handicap yatakuwa (0-1) na itakuwa Fulham imeshinda

    Kama Manchester City itashinda goli moja katika hio mechi (1-0), hapo matokeo ya handicap yatakua (1-1) maana yake ni droo

    Kama Manchester City itafunga magoli mawili katika hiyo mechi yani (2-0), kwenye handicap itakuwa (2-1) na matokeo yatakuwa Manchester City imeshinda

    Fuata hatua hizi kucheza

    caja1
    caja2
    caja3
    caja4
    caja5
    caja6
    caja7
    caja8
    caja7
    caja8
    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Asked: December 25, 2019In: Betting, M-Bet

    Nawezaje kucheza M Bet kawaida kwa kutumia SMS au USSD?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 25, 2019 at 9:26 am

    Fuata hatua hizi

    Fuata hatua hizi

    caja1
    caja2
    caja3
    caja4
    caja5
    caja6
    caja7
    caja8
    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  5. Asked: December 24, 2019In: Betting, M-Bet

    Viwango vya kuweka na kutoa pesa M Bet vikoje?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 24, 2019 at 12:26 pm
    This answer was edited.

    Katika tovuti yao wameandika. M-Pesa kiwango cha kuweka kikomo Kiwango cha chini: 1,000 Tsh Kiwango cha juu: 100,000 Tsh   M-Pesa kiwango cha kutoa kikomo Kiwango cha chini: 1,000 Tsh Kiwango cha juu: 100,000 Tsh   Tigo Pesa kiwango cha kuweka kikomo Kiwango cha chini: 1,000 Tsh Kiwango chRead more

    Katika tovuti yao wameandika. M-Pesa kiwango cha kuweka kikomo

    • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
    • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

     
    M-Pesa kiwango cha kutoa kikomo

    • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
    • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

     
    Tigo Pesa kiwango cha kuweka kikomo

    • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
    • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

     
    Tigo Pesa kiwango cha kutoa kikomo

    • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
    • Kiwango cha juu: 3,000,000 Tsh

     
    Airtel Money kiwango cha kuweka kikomo

    • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
    • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

     
    Airtel Money kiwango cha kutoa kikomo

    • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
    • Kiwango cha juu: 1,000,000 Tsh

     
    HaloPesa kiwango cha kuweka kikomo

    • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
    • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

     
    HaloPesa kiwango cha kutoa kikomo

    • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
    • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh
    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  6. Asked: December 20, 2019In: Betting, M-Bet

    M Bet ni nini?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 21, 2019 at 5:26 am

    M Bet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya ligi nyingi bora duniani. Maana yake ni kwamba unaweka pesa juu ya ushindi wa timu au matukio mengine yanayoweza kutokea katika mchezo husika. Baadhi ya michezo inayopatikana ni mpira kawaida yani unasema kama timu itashiRead more

    M Bet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya ligi nyingi bora duniani. Maana yake ni kwamba unaweka pesa juu ya ushindi wa timu au matukio mengine yanayoweza kutokea katika mchezo husika.

    Baadhi ya michezo inayopatikana ni mpira kawaida yani unasema kama timu itashinda itafungwa au droo , kubashiri michezo mchanganyiko hapa unachanganya matokeo ya michezo mingi, unaweza pia kutabiri kama timu ipi itaanza kufunga ama timu zote zitapata magoli na nyingine nyingi

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  7. Asked: December 20, 2019In: Betting, M-Bet

    Nawezaje kubet kwa kutumia M bet online?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 20, 2019 at 9:43 am

    Kubet kwa kutumia m bet katika mtandao ama tovuti yao ya m-bet.co.tz unapaswa kufuata hatua hizi. 1.Bonyeza kwenye kitufe cha bashiri za michezo. 2.Itapo funguka itakuonesha michezo yote ya kusisimua ya siku pamoja na pointi nzuri za ushindi, bonyeza/bofya kwenye pointi za michezo kuchagua ubashiriRead more

    Kubet kwa kutumia m bet katika mtandao ama tovuti yao ya m-bet.co.tz unapaswa kufuata hatua hizi.
    1.Bonyeza kwenye kitufe cha bashiri za michezo.
    Step 1.
    2.Itapo funguka itakuonesha michezo yote ya kusisimua ya siku pamoja na pointi nzuri za ushindi, bonyeza/bofya kwenye pointi za michezo kuchagua ubashiri wako.

    Step 2.

    3.Ukimaliza utapelekwa kwenye kalkuleta ya m bet. Hapa utachagua kiasi cha pesa unachotaka kutumia na mtandao wa simu kama ni M-Pesa au Tigo Pesa au Airtel Money au HaloPesa.

    Ukimaliza hayo yote  bonyeza  SUBMIT BETTING SLIP (MALIZA) ili uende kwenye hatua nyingine.

    Step3.

    4. Kulipia Tiketi unatakiwa kwenda  M-Pesa au Tigo Pesa au Airtel Money au HaloPesa na kufuata maelekezo kama ilivyoandikwa hapa chini:

    • M-Pesa piga *150*00# kisha weka 300300 kama namba ya kampuni na 10333 kama namba ya kumbukumbu.
    •  Tigo Pesa piga *150*01# kisha weka 300300 kama namba ya kampuni na 87760kama namba ya kumbukumbu.
    • Airtel Money piga *150*60# kisha weka 300300 kama namba ya kampuni na 10333 kama namba ya kumbukumbu.
    • HaloPesa piga *150*88# kisha weka 300300 kama namba ya kampuni na 10333 kama namba ya kumbukumbu.

    Ni hivyo tu. Jaribu bahati yako

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report

Sidebar

Promo

  • Popular Questions

    • Ni kampuni gani za kubet TZ?

    • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

    • Unajua app za kubet Tanzania?

    • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

    • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

    • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

    • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

    • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

    • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

    • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Miongozo

    MojaSky