Nawezaje kucheza handicap kwenye M Bet?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Kwanza handicap ni nini.
Handicap inakupa nafasi ya kuipa timu moja goli la faida. Hii inatumika sana sana kama zinacheza timu moja kubwa zaidi na ndogo
Mfano:Manchester City Vs Fulham (+1)
Hapa handcap inaongeza 1 kwenye magoli ya Fulham, maanake ni kwamba Fulham ni underdogs kwa kuwa wamepewa goli moja kuanzia mwanzo.
Kama hakuna goli litakalofungwa na mechi itaisha (0-0) matokeo ya handicap yatakuwa (0-1) na itakuwa Fulham imeshinda
Kama Manchester City itashinda goli moja katika hio mechi (1-0), hapo matokeo ya handicap yatakua (1-1) maana yake ni droo
Kama Manchester City itafunga magoli mawili katika hiyo mechi yani (2-0), kwenye handicap itakuwa (2-1) na matokeo yatakuwa Manchester City imeshinda
Fuata hatua hizi kucheza