M Bet ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
M Bet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya ligi nyingi bora duniani. Maana yake ni kwamba unaweka pesa juu ya ushindi wa timu au matukio mengine yanayoweza kutokea katika mchezo husika.
Baadhi ya michezo inayopatikana ni mpira kawaida yani unasema kama timu itashinda itafungwa au droo , kubashiri michezo mchanganyiko hapa unachanganya matokeo ya michezo mingi, unaweza pia kutabiri kama timu ipi itaanza kufunga ama timu zote zitapata magoli na nyingine nyingi