Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
Home»Bet1»Answers
  • About
    1. Asked: February 4, 2020In: Betting, PremierBet

      Premier bet ni kampuni bora ya kubet?

      Bet1
      Bet1
      Added an answer on May 6, 2020 at 10:49 am
      This answer was edited.

      Ndio Premierbet ni kampuni bora sana kwa ajili ya kubet. Ni kwa sababu zifuatazo Kuna michezo mingi, una machaguo mengi katika kubashiri kwako Kuna ofa ukijiunga kwa mara ya kwanza Kuna jackpot ya mamilioni Unaweza kutoa pesa hata kama mechi haijaisha Namba ya huduma kwa wateja ni bure (0800 75 0032Read more

      Ndio Premierbet ni kampuni bora sana kwa ajili ya kubet. Ni kwa sababu zifuatazo

      • Kuna michezo mingi, una machaguo mengi katika kubashiri kwako
      • Kuna ofa ukijiunga kwa mara ya kwanza
      • Kuna jackpot ya mamilioni
      • Unaweza kutoa pesa hata kama mechi haijaisha
      • Namba ya huduma kwa wateja ni bure (0800 75 0032)
      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    2. Asked: February 6, 2019In: Betting, Tatu Mzuka

      Unachezaje Tatu Mzuka kwa Airtel?

      Bet1
      Bet1
      Added an answer on April 8, 2020 at 9:15 am

      HATUA YA 1: Bonyeza *150*60# HATUA YA 2 : Chagua namba 5 (Lipia Bili) HATUA YA 3 : Chagua 4 kisha weka namba ya Biashara (555111) HATUA YA 4 : Weka kiasi (kuanzia shilingi 500 hadi 30,000) HATUA YA 5 : Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati) zikifuatiwa na neno “WEB”, mfano 637 WEB HATUARead more

      HATUA YA 1: Bonyeza *150*60#
      HATUA YA 2 : Chagua namba 5 (Lipia Bili)
      HATUA YA 3 : Chagua 4 kisha weka namba ya Biashara (555111)
      HATUA YA 4 : Weka kiasi (kuanzia shilingi 500 hadi 30,000)
      HATUA YA 5 : Ingiza namba ya kumbukumbu (namba zako 3 za bahati) zikifuatiwa na neno “WEB”, mfano 637 WEB
      HATUA YA 6: Ingiza namba yako ya Siri
      HATUA YA 7: Bonyeza OK kuthibitisha muamala wako.

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    3. Asked: April 15, 2019In: Betting

      Unajua jinsi ya kubeti?

      Bet1
      Bet1
      Added an answer on March 18, 2020 at 1:53 pm
      This answer was edited.

      Kubet ni rahisi sana. Mimi huwa natumia zaidi Premierbet kwa sababu ina ofa nyingi na ni rahisi kutumia. Mfano unapata ofa ya kurudishiwa pesa yako kama beti yako ya kwanza itafeli. Kama unataka kupata mwongozo wa kubashiri kwa kutumia Premierbet soma hii Mwongozo wa kubashiri kupitia Mkekabet

      Kubet ni rahisi sana. Mimi huwa natumia zaidi Premierbet kwa sababu ina ofa nyingi na ni rahisi kutumia. Mfano unapata ofa ya kurudishiwa pesa yako kama beti yako ya kwanza itafeli.

      Kama unataka kupata mwongozo wa kubashiri kwa kutumia Premierbet soma hii Mwongozo wa kubashiri kupitia Mkekabet

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    4. Asked: May 1, 2019In: Betting, MkekaBet

      Unachezaje Mkekabet?

      Bet1
      Bet1
      Added an answer on March 18, 2020 at 1:48 pm
      This answer was edited.

      Mchezo wa kubashiri wa Mkekabet unachezwa kwa njia mbalimbali. Njia nyingine ni kwa kubet mtandaoni tu kwa kutumia browser. Kwa njia hii lazima unaingia katika internet unadungua mkekabet.com kisha unaanza kucheza. Njia nyingine ni kwa kutumia USSD. Njia hii unabet kwa kutumia menyu unayopiga katikaRead more

      Mchezo wa kubashiri wa Mkekabet unachezwa kwa njia mbalimbali.

      Njia nyingine ni kwa kubet mtandaoni tu kwa kutumia browser. Kwa njia hii lazima unaingia katika internet unadungua mkekabet.com kisha unaanza kucheza.

      Njia nyingine ni kwa kutumia USSD. Njia hii unabet kwa kutumia menyu unayopiga katika simu yako. Menyu yenyewe ni *149*87#.

      Na njia ya mwishoni kwa kutumia SMS. Njia hii unacheza kwa kutuma ujumbe kwa namba maalumu kama unachat na namba hiyo. Namba ni 15739.

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    5. Asked: April 3, 2019In: Betting

      Kampuni gani za kubet Tanzania?

      Bet1
      Bet1
      Added an answer on February 29, 2020 at 1:48 pm
      This answer was edited.

      Premier Bet  Meridianbet WinPrincess M-bet Mkekabet SportPesa Princess Bet PariMatch MojaBet  Sokabet Throne Bet PlayMaster Bet

      Premier Bet 

      Meridianbet

      WinPrincess

      M-bet

      Mkekabet

      SportPesa

      Princess Bet

      PariMatch

      MojaBet 

      Sokabet

      Throne Bet

      PlayMaster Bet

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    6. Asked: December 21, 2019In: Betting, MkekaBet

      Mkekabet ni nini?

      Bet1
      Bet1
      Added an answer on February 29, 2020 at 1:36 pm
      This answer was edited.

      Mkekabet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali. Baadhi ya michezo inayopatikana ni American Football, Baseball, Mpira wa kikapu, Ndondi, Cricket, Mpira wa Miguu, Golf, Handball, Ice Hockey, Tennis na Volleyball.

      Mkekabet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali. Baadhi ya michezo inayopatikana ni American Football, Baseball, Mpira wa kikapu, Ndondi, Cricket, Mpira wa Miguu, Golf, Handball, Ice Hockey, Tennis na Volleyball.

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    7. Asked: February 19, 2019In: Betting, MkekaBet

      Nitafanyaje nishinde Mkekabet?

      Bet1
      Bet1
      Added an answer on February 22, 2020 at 12:46 pm
      This answer was edited.

      Katika kupitapita kwenye internet nikaona hii imeandikwa na mwandishi wa tandikamikeka kuhusu vitu vya kuzingatia ili ushinde 1. Usiweke mechi nyingi kwa mkeka mmoja/ticket. Hii ni kwa sababu unapoweka mechi nyingi katika mkeka mmoja unapunguza uwezekano wa wewe kushinda. Japo kuwa wengi wanawaza kuRead more

      Katika kupitapita kwenye internet nikaona hii imeandikwa na mwandishi wa tandikamikeka kuhusu vitu vya kuzingatia ili ushinde

      1. Usiweke mechi nyingi kwa mkeka mmoja/ticket. Hii ni kwa sababu unapoweka mechi nyingi katika mkeka mmoja unapunguza uwezekano wa wewe kushinda. Japo kuwa wengi wanawaza kupata hela nyingi lakini wanasahau kuangalia uwezekano wa kushinda. Ni kweli kwamba ukiweka mechi nyingi ndio hela inaongezeka ila uwezekano wakushinda unapungua, ndiyo maana wenye makampuni hawaruhusu kubeti/kutandika mkeka wa mechi moja.

      2. Zijue timu unazozibetia / ambazo unazitabiria : kujua timu kabla ya kubeti ni jambo muhimu sana kwa sababu kuna timu ni mahasimu sana katika ligi fulani. Kwa mfano ligi kuu vodacom wakicheza Simba na Yanga, hata kama Simba akiwa anashika nafasi za mwishoni katika ligi hatakubali kufungwa kirahisi na Yanga kwa hiyo mechi itakua naupinzani mkali. Mara nyingi zikikutana timu kama hizi matokeo huishia kuwa droo/draw au utofauti mdogo wa magoli kwa mfano mechi inaweza kuisha 0-0, 1-1, 2-2, na sare nyinine au 1-0, 0-1, 2-1, 3-2. Kwa hiyo kwa timu kama hizi usibeti kwamba timu fulani itashinda kwa tofauti ya magoli mawili au zaidi. Pia kingine atika kuzijua timu jaribu kuangalia kama kuna timu ni kibonde wa mwingine. Kwa mfano Arsenal ni mteja wa Man United mara kwa mara, kwahiyo jaribu kuangalia nani anamfunga mwenzake mara kwa mara kisha mpe.

      3.Usibetie timu kwa sababu ya ushabiki: hiki ni kitu cha kuzingatia kwani wengi wamekua wakibet kwa sababu tu ya mapenzi ya katika timu fulani. Ushauri ni bora usibetie timu unayoipenda kama uwezi kazuia hisia zako, kwani hisia zinamzuia mtu kuichambua timu anayo ishabikia

      4.Angalia goal differences/ tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa: ni vizuri kuangalia tofauti ya magoli kwa zile timu ambazo unataka kuzibetia na hii ni nzuri hususani kwa wale ambao watakua wanabeti kama timu zote zitafunga. Kwa mfano kama timu inamagoli mengi ya kufunga kuliko ya kufungwa ni wazi kwamba timu hii haifungwi mara kwa mara kwa hiyo ikikikutana/kucheza na timu ambayo ina magoli mengi sana ya kufugwa kuliko ya kufunga, hii inaonyesha kuwa hii timu itafungwa bila yenyewe kufunga kwahiyo kama uliweka both team will score “yes” huo mkeka utakua umechanika.

      NB: hii haimanishi kwamba itakua hivyo kwa mechi zote ila ni kwamba uwezekano mkubwa / possibility ipo hivyo

      5. Cheza kwa kiasi mchezo huu. Usiwe na tamaa kwamba unaweza pata pesa nyingi kwa mara moja kwahiyo ukacheza hovyo bila mpangilio, utaumia. Jaribu kuweka mikakati na mipangilio juu ya uchezaji wako, hakika hutajuta. Cheza mechi chache kwa siku unazoamini zinaweza kukupatia ushindi sio lazima ubashiri mechi nyingi kwa mkupuo. Hii itakusaidia wewe kukupa ushindi mara nyingi

      6. Usibashiri kwa mapenzi ama ushabiki, eti kwa kuwa mimi ni mshabiki wa Liverpool Fc basi ndo nakuwa naitabiria ushindi kila mara, angalia uwezo wa timu yako dhidi ya timu pinzani kama inaweza shinda na hii itakuwa rahisi endapo utakuwa mfuatiliaji mzuri pia wa ligi ama mchezo unaobashiri.

      Anza kubeti sasa kwa kutumia BetWinner , BetWay au MeridianBet

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    1 2 3 4

    Sidebar

    ChuiTec

    Contact us for Website Design, Ads, SEO and Digital Marketing

    Popular Questions

    • Ni kampuni gani za kubet TZ?

    • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

    • Unajua app za kubet Tanzania?

    • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

    • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

    • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

    • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

    • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

    • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

    • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Miongozo

    MojaSky