Unachezaje Mkekabet?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Mchezo wa kubashiri wa Mkekabet unachezwa kwa njia mbalimbali.
Njia nyingine ni kwa kubet mtandaoni tu kwa kutumia browser. Kwa njia hii lazima unaingia katika internet unadungua mkekabet.com kisha unaanza kucheza.
Njia nyingine ni kwa kutumia USSD. Njia hii unabet kwa kutumia menyu unayopiga katika simu yako. Menyu yenyewe ni *149*87#.
Na njia ya mwishoni kwa kutumia SMS. Njia hii unacheza kwa kutuma ujumbe kwa namba maalumu kama unachat na namba hiyo. Namba ni 15739.