Nawezaje kuweka bet moja SportPesa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Kwanza kabisa inabidi ujisajili au uingie katika akaunti yako kama ulishajisajili. Soma jinsi ya kujisajili
Tovuti ya Sportpesa ni rahisi kuitumia, unachohitaji kufanya ni kubofya kwenye mchezo unaokuvutia yaani Mpira wa Miguu, Mpira wa Kikapu, Tennis, Kriketi au Raga ili kupata mechi ambazo unataka kuwekea bet.
Kuweka bet moja, bofya kwenye timu unayotabiri kushinda. Bofya ama kwenye timu ya Nyumbani (timu iliyowekwa kwanza) au timu ya Ugenini (timu iliyowekwa ya pili).
Kama ungependa kutabiri matokeo ya mchezo kuwa suluhu, bofya katikati ya timu mbili kuchagua X (SULUHU).
Kama ungependa kutabiri masoko ya ziada, bofya kwenye chaguo la masoko zaidi ambalo huoneshwa kama (+12, +2, +8 nk) mbali na mchezo unaotaka kuwekea bet, ili kupata chaguzi za kubet zilizopo.
Mara baada ya kuchagua utabiri wako, Mkeka utajitokeza kukuonesha utabiri uliochagua, Odds za utabiri wako, na kiasi cha kubet chini ya mkeka, ambayo inaweza kurekebishwa kulingana na kiasi unachopenda kufanyia bet.
Kumbuka kwamba unaweza kuhariri bet yako iliyopo kwenye kikapu ili kujithibitishia kuwa umefanya uchaguzi unaotaka.
Kama unataka kuondoa bet yote na kuanza upya, bonyeza “ONDOA ZOTE”
Bonyeza kwenye “WEKA BET” ili kuweka bet.
Ujumbe wa kukuomba ku “THIBITISHA BET YAKO” utaonekana. Unaweza ku “FUTA” na kurudi nyuma kwenye mkeka wako, au kubofya “SAWA”.
Baada ya kubofya “SAWA” ujumbe wa uthibitisho utatokea kwenye skrini yako ukikuonyesha:
Kumbuka: Kutoka kwenye ujumbe huu wa uthibitisho, unaweza kwenda moja kwa moja kwenye Historia ya Kubet kwa kubofya kwenye “Tazama Historia”. Pia utapokea ujumbe wa uthibitisho kwenye simu yako ya kiganjani kutoka 15888 kuthibitisha bet ile ile.