Una swali lolote na unahitaji jibu?. Ungependa kuwasaidia wengine kwa kujibu maswali yao kutokana na kile unachokifahamu?. App ya MojaSky inakupa urahisi zaidi wa kuyafanya hayo kiganjani mwako.
Uliza swali muda wowote(unaweza kuuliza hata bila kujiunga na ukaokoa muda). Angalia topics/mada unazozifahamu, soma majibu bora kutoka kwa watu sahihi.
App inapatikana katika mfumo wa android katika soko la Google yani Google Playstore.
Leave a comment