Majibu ni sentensi au maelezo zenye jawabu au suluhisho la maswali yaliyoulizwa. Watu wengi huwa na maswali wasiyokua na majibu. Tunaweza kusaidiana kwa kujibu kutokana na uzoefu na kile tunachokifahamu.
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nilijiandikisha nida wilaya ya kyela kata ya kajunjumele kijiji lupaso tokea mwez wa kumi na saiz niko mbali kimasomo siwezi kufatilia tarifa zangu kwasababu namba zangu za nida bado azionekani naomba msaada