Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
Home»Betting»MkekaBet»Page 3
  • Recent Questions
  • Answers
  • No Answers
  • Most Visited
  1. Asked: December 25, 2019In: Betting, MkekaBet

    Nini maana ya first goal na last goal kwenye Mkekabet?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 25, 2019 at 9:51 am

    First Goal: Mshindi ni atakae tabiri timu itakayofunga goli la kwanza ndani ya muda wa kawaida. Magoli ya kujifunga yanahesabiwa. Beti zinakuwa batili endapo mechi haikamiliki , isipokuwa goli lakwanza liwe limeshafungwa. Last Goal: Beti kwa timu itakayofunga goli la mwisho, magoli ya kujifunga piaRead more

    First Goal:

    Mshindi ni atakae tabiri timu itakayofunga goli la kwanza ndani ya muda wa kawaida. Magoli ya kujifunga yanahesabiwa. Beti zinakuwa batili endapo mechi haikamiliki , isipokuwa goli lakwanza liwe limeshafungwa.

    Last Goal:

    Beti kwa timu itakayofunga goli la mwisho, magoli ya kujifunga pia yanahesabika.
    Beti inakuwa batili kama muda wa kawaida wa mechi haukamiliki.

    Muda kwa ajili ya First goal/Last goal:

    • Unahitaji kutabiri goli litapatikana katika muda gani wa pambano.
    • Muda utakao tumika ni sawa naa ule unao tumika na watangazajiwa mechi hiyo.
    • Goli likifungwa dakika ya 19 na sekunde 5 basi muda wa goli utahesabika kuwa dakika ya 20.
    • Mechi ikikatitshwa kabla ya dakika ya 90 lakini muda wko uliowekea bet umeshafika basi beti itaendelea. Mfano, Mechi ikatishwe dakika ya 25, waliobet dakika 1-10 and 11-20 watakuwa wameshapata matokeo yao.
    • Mechi ikikatishwa baada ya goli la kwanza kufungwa basi beti zitaendelea.
    • Ukitokea mgogoro wowote basi taarifa kutoka watngazaji wa mchezo huo zitatumika.
    • Ikshindikana kupata mshindi kutoka kwa mtangazaji basi taarifa tutatoa kwa UK Data Provider.
    See less
      • 2
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  2. Asked: December 25, 2019In: Betting, MkekaBet

    First goal scorer na Last goal scorer kwenye Mkekabet inamaanisha nini?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 25, 2019 at 9:44 am
    This answer was edited.

    First Goalscorer: Kushinda tabiri mfungaji wa kwanza wa goli . Magoli ya kujifunga hayahesabiki kwenye hili soko . Bet inakuwa batili kwa wachezaji ambao hawahusiki kwenye mchezo. Mchezaji husika akitolewa kwa kadi nyekundu au kwa substitution basi beti inaendelea na utakuwa umekosa. Beti itakuwa baRead more

    First Goalscorer:

    • Kushinda tabiri mfungaji wa kwanza wa goli .
    • Magoli ya kujifunga hayahesabiki kwenye hili soko .
    • Bet inakuwa batili kwa wachezaji ambao hawahusiki kwenye mchezo.
    • Mchezaji husika akitolewa kwa kadi nyekundu au kwa substitution basi beti inaendelea na utakuwa umekosa.
    • Beti itakuwa batili kama mchezaji husika anaingia uwanjani na kukuta goli limeshafungwa, labda goli la kwanza liwe la kujifunga, kama ni hivyo basi beti itaendelea
    • Mechi ikimalizika kabla dakika za kawaida kutimia na goli la kwanza bado halijapatikana basi beti inakuwa batili.
    • Mechi ikimalizika baada ya goli la kwanza kufungwa basi beti itakuwa imekamilika.
    • beti za First Goalscorer zinatumia taarifa kutoka mashirika husika wa mchezo kupata washindi baada ya mechi kukamilika.
    • Matokeo ya mechi au matukio yoyote unayohitaji kuhusiana na mchezo yanapatikana kwa kupigia namba yeu ya huduma kwa wateja.
    • Machuguo kwenye kwenye first goal scorer yanakuwa mengi lakini siyo wachezaji wote kwenye timu atakuwepo kwenye orodha na hao tu ndo utaweza kuchagua kama chaguo lako.

     
    Last Goalscorer:

    • Kushinda beti hii inabidi utabiri mfungaji wa goli la mwisho kwenye mchezo ndani ya muda wa kawaida .
    • Wachezaji wote waliopo uwanjani wanahesabika kama washiriki kwenye kinyanganyiro cha last goal scorer hata kama hawatakuwa uwanjani muda wa goli la mwisho.
    • Beti zote zitakuwa batili kama muda wa kawaida wa mechi haukamiliki labda itanganzwa hapo awali.
    • Beti zitakuwa batili kwa wachezaji ambao hawatashiriki kwenye mchezo.
    • Ukibet kwa mchezaji alietolewa sub au kwa kadi nyekundu kabla ya goli la mwisho basi utakuwa umekosa.
    • Beti itakuwa batili kama goli la mwisho limeshafungwa na mchezaji ndo anaingia uwanjani, Labda goli la mwisho liwe la kujifunga ambapo beti zote zitaendelea..
    • Beti za Last Goalscorer zinaamuliwa kulingana na sheria za shirika kuu la mchezo huo.
    • Ukihitaji matokeo muda wowote tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja.
    • Machuguo kwenye kwenye first goal scorer yanakuwa mengi lakini siyo wachezaji wote kwenye timu atakuwepo kwenye orodha na hao tu ndo utaweza kuchagua kama chaguo lako.
    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  3. Asked: December 25, 2019In: Betting, MkekaBet

    Kiwango cha juu cha kushinda kwenye Mkekabet ni sh ngapi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 25, 2019 at 9:37 am

    Kiasi cha juu unachoweza kushinda ndani ya muda wa masaa 24 ni <20,000,000 Tsh> (au kiwango kulingana na kiasi hiki).

    Kiasi cha juu unachoweza kushinda ndani ya muda wa masaa 24 ni <20,000,000 Tsh> (au kiwango kulingana na kiasi hiki).

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  4. Asked: December 25, 2019In: Betting, MkekaBet

    Mkekabet wana haki gani juu ya bet yangu?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 25, 2019 at 9:35 am

    Wameandika hivi  Wana haki ya kukataa au kukubali bet yako yote au kipanda cha beti hiyo. Hawawezi kulaumiwa kwa makosa yakuandika iwe computer au binadamu inayosababisha makosa kwenye mtandao wao. Wana haki ya kubatilisha bet zozote zinazochukuliwa kwa bei isiyosahihi. Hawawezi kulaumiwa kwa ukosefRead more

    Wameandika hivi

    •  Wana haki ya kukataa au kukubali bet yako yote au kipanda cha beti hiyo.
    • Hawawezi kulaumiwa kwa makosa yakuandika iwe computer au binadamu inayosababisha makosa kwenye mtandao wao. Wana haki ya kubatilisha bet zozote zinazochukuliwa kwa bei isiyosahihi.
    • Hawawezi kulaumiwa kwa ukosefu kwenye ofa, bei au taarifa zozote zingine zinazotokana na website zingine na hawatahusika na kufidia taarifa hizo.
    • Ni jukumu lako kuelewa misemo ya betting inayotumukia kwenye mtandao wao na njia nyingine yoyote unayotumia kubet na kama una maswali yoyote kuhusiana na betting wasiliana na huduma kwa wateja kabla hujabashiri. Hawatachukua lawama yoyote kam uliweka bet bila ya kuelewa.
    • Wakipata bet nyingi za wateja wengi la tukio moja ndani ya muda mfupi mmoja wana haki ya kubatilisha beti hizo hata kama tukio limeshakamilika.
    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
  5. Asked: December 24, 2019In: Betting, MkekaBet

    Kiwango cha chini cha kutoa pesa Mkekabet ni sh ngapi?

    Musa Adam
    Musa Adam
    Added an answer on December 24, 2019 at 1:54 pm

    Kiwango cha chini cha kutoa katika Mkekabet ni Tsh. 2000

    Kiwango cha chini cha kutoa katika Mkekabet ni Tsh. 2000

    See less
      • 0
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report

Sidebar

ChuiTec

Contact us for Website Design, Ads, SEO and Digital Marketing

Popular Questions

  • Ni kampuni gani za kubet TZ?

  • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

  • Unajua app za kubet Tanzania?

  • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

  • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

  • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

  • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

  • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

  • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

  • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

Explore

  • Home
  • Maswali
  • Miongozo

MojaSky