Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
Home»Musa Adam»Answers
  • About
    1. Asked: December 24, 2019In: Betting, MkekaBet

      Kiwango cha chini cha kutoa pesa Mkekabet ni sh ngapi?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 24, 2019 at 1:54 pm

      Kiwango cha chini cha kutoa katika Mkekabet ni Tsh. 2000

      Kiwango cha chini cha kutoa katika Mkekabet ni Tsh. 2000

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    2. Asked: December 24, 2019In: Betting, M-Bet

      Viwango vya kuweka na kutoa pesa M Bet vikoje?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 24, 2019 at 12:26 pm
      This answer was edited.

      Katika tovuti yao wameandika. M-Pesa kiwango cha kuweka kikomo Kiwango cha chini: 1,000 Tsh Kiwango cha juu: 100,000 Tsh   M-Pesa kiwango cha kutoa kikomo Kiwango cha chini: 1,000 Tsh Kiwango cha juu: 100,000 Tsh   Tigo Pesa kiwango cha kuweka kikomo Kiwango cha chini: 1,000 Tsh Kiwango chRead more

      Katika tovuti yao wameandika. M-Pesa kiwango cha kuweka kikomo

      • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
      • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

       
      M-Pesa kiwango cha kutoa kikomo

      • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
      • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

       
      Tigo Pesa kiwango cha kuweka kikomo

      • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
      • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

       
      Tigo Pesa kiwango cha kutoa kikomo

      • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
      • Kiwango cha juu: 3,000,000 Tsh

       
      Airtel Money kiwango cha kuweka kikomo

      • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
      • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

       
      Airtel Money kiwango cha kutoa kikomo

      • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
      • Kiwango cha juu: 1,000,000 Tsh

       
      HaloPesa kiwango cha kuweka kikomo

      • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
      • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh

       
      HaloPesa kiwango cha kutoa kikomo

      • Kiwango cha chini: 1,000 Tsh
      • Kiwango cha juu: 100,000 Tsh
      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    3. Asked: December 24, 2019In: Betting

      Nitajuaje kama nimeathiriwa na michezo ya kubeti?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 24, 2019 at 11:15 am

      Endapo una wasiwasi kuwa kucheza michezo ya kubashiri kunaweza kuwa kumeteka maisha yako (au ya mtu mwingine) basi maswali yafuatayo yanaweza kukusaidia kutambua hilo: Je, watu wengine wameshawahi kukukosoa kuhusu uchezaji wako wa michezo ya kubashiri? Umeshawahi kusema uongo ili kuficha kiasi ulichRead more

      Endapo una wasiwasi kuwa kucheza michezo ya kubashiri kunaweza kuwa kumeteka maisha yako (au ya mtu mwingine) basi maswali yafuatayo yanaweza kukusaidia kutambua hilo:

      • Je, watu wengine wameshawahi kukukosoa kuhusu uchezaji wako wa michezo ya kubashiri?
      • Umeshawahi kusema uongo ili kuficha kiasi ulichochezea michezo ya kubashiri au muda uliotumia kucheza michezo ya kubashiri?
      • Je, mabishano, kuchanganyikiwa au kukatishwa tamaa kunakufanya utake kucheza michezo ya kubashiri?
      • Unacheza michezo ya kubashiri ukiwa peke yako kwa muda mrefu?
      • Huendi kazini au chuo kwasababu ya kucheza michezo ya kubashiri?
      • Unacheza michezo ya kubashiri kuepuka maisha yanayochosha au yasiyo na furaha?
      • Unajishauri kutumia hela kwa kitu kingine isipokuwa kucheza michezo ya kubashiri?
      • Umepoteza hamu kwa familia yako, marafiki au muda wa awali kutokana na michezo ya kubashiri?
      • Baada ya kupoteza, unajisikia ujaribu haraka iwezekanavyo ili ushinde kiasi ulichopoteza?
      • Unapocheza michezo ya kubashiri na kuishiwa pesa, je huwa unajihisi umekosa muelekeo na kujihisi mnyonge, na kuwa na haja ya kubashiri haraka iwezekanavyo?
      • Je, unacheza michezo ya kubashiri hadi hela yako ya mwisho inakwisha?
      • Umewahi kusema uongo, kuiba au kukopa ili upate pesa ya kucheza michezo ya kubashiri au pesa ya kulipa deni la michezo ya kubashiri?
      • Unajihisi kuwa na mfadhaiko au hata kutamani kujiua kwasababu ya kucheza michezo ya kubashiri?

      Kama majibu yako mengi ni Ndio katiak maswali hayo hapo juu, basi wewe ni muathirika wa michezo hii. Unapaswa kutafuta msaada haraka sana.

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    4. Asked: December 23, 2019In: Betting, SportPesa

      Ofisi za Sportpesa ziko wapi?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 23, 2019 at 6:25 am

      Ofisi za Sportpesa nchini Tanzania zipo Peninsula House, Plot 251, Toure Drive, Dar es Salaam, Tanzania.

      Ofisi za Sportpesa nchini Tanzania zipo Peninsula House, Plot 251, Toure Drive, Dar es Salaam, Tanzania.

      See less
        • 1
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    5. Asked: December 21, 2019In: Betting, PrincessBet

      Contacts za Princess Bet ni zipi?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 21, 2019 at 9:52 am
      This answer was edited.

      Kam unataka kuwasiliana na Princessbet, njia rahisi zaidi ni Live chat iliyopo katika tovuti yao ya princessbet.co.tz bonyeza kwenye 'CHAT NOW' kuanzisha chat. Namba ya simu +255768987888 Mitandao ya Kijamii Facebook: Princess Bet Tanzania Instagram: @princessbet.africa Twitter: @PrincessBetTz

      Kam unataka kuwasiliana na Princessbet, njia rahisi zaidi ni Live chat iliyopo katika tovuti yao ya princessbet.co.tz bonyeza kwenye ‘CHAT NOW’ kuanzisha chat.

      Namba ya simu

      +255768987888

      Mitandao ya Kijamii

      Facebook: Princess Bet Tanzania

      Instagram: @princessbet.africa

      Twitter: @PrincessBetTz

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    6. Asked: December 20, 2019In: Betting, SportPesa

      SportPesa ni nini?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 21, 2019 at 5:43 am
      This answer was edited.

      Umeiona katika jezi za Simba na Yanga. Umeona mabango mengi yaliyoandikwa Sportpesa, lakini hiyo ni nini hasa mpaka inaandikwa sehemu nyingi. SportPesa ni mtandao wa kubashiri. Na unafanya matangazo mengi sana ili kuzidi kujulikana na watu wengine waweze kujiunga nao katika kubashiri michezo. Kwa kuRead more

      Umeiona katika jezi za Simba na Yanga. Umeona mabango mengi yaliyoandikwa Sportpesa, lakini hiyo ni nini hasa mpaka inaandikwa sehemu nyingi.

      SportPesa ni mtandao wa kubashiri. Na unafanya matangazo mengi sana ili kuzidi kujulikana na watu wengine waweze kujiunga nao katika kubashiri michezo.

      Kwa kutumia Sportpesa unaweza kuweka pesa na kisha kutabiri matokeo na matukio ya michezo yenye uwezekano wa kutokea na kama ubashiri wako utakuwa sahihi utashinda pesa nyingi zaidi na ukikosea utapoteza kiasi cha pesa ulichoweka. Dau la kuchezea linaanzia Sh 500. Unaweza kubashiri mechi kila siku tena kwenye michezo kibao kama vile Soka, Masumbwi, Tennis, Volleyball, Cricket, Raga na mingine mingi.

      Kujiunga na Sportpesa unaweza tumia njia ya simu yako ya kawaida au kwa kutumia app yao au tovuti yao iliyopo mtandaoni.

      See less
        • 1
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    7. Asked: December 20, 2019In: Betting, M-Bet

      M Bet ni nini?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 21, 2019 at 5:26 am

      M Bet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya ligi nyingi bora duniani. Maana yake ni kwamba unaweka pesa juu ya ushindi wa timu au matukio mengine yanayoweza kutokea katika mchezo husika. Baadhi ya michezo inayopatikana ni mpira kawaida yani unasema kama timu itashiRead more

      M Bet ni kampuni ya michezo ya kubahatisha inayokuwezesha kubashiri matokeo ya ligi nyingi bora duniani. Maana yake ni kwamba unaweka pesa juu ya ushindi wa timu au matukio mengine yanayoweza kutokea katika mchezo husika.

      Baadhi ya michezo inayopatikana ni mpira kawaida yani unasema kama timu itashinda itafungwa au droo , kubashiri michezo mchanganyiko hapa unachanganya matokeo ya michezo mingi, unaweza pia kutabiri kama timu ipi itaanza kufunga ama timu zote zitapata magoli na nyingine nyingi

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    8. Asked: December 20, 2019In: Betting, M-Bet

      Nawezaje kubet kwa kutumia M bet online?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 20, 2019 at 9:43 am

      Kubet kwa kutumia m bet katika mtandao ama tovuti yao ya m-bet.co.tz unapaswa kufuata hatua hizi. 1.Bonyeza kwenye kitufe cha bashiri za michezo. 2.Itapo funguka itakuonesha michezo yote ya kusisimua ya siku pamoja na pointi nzuri za ushindi, bonyeza/bofya kwenye pointi za michezo kuchagua ubashiriRead more

      Kubet kwa kutumia m bet katika mtandao ama tovuti yao ya m-bet.co.tz unapaswa kufuata hatua hizi.
      1.Bonyeza kwenye kitufe cha bashiri za michezo.
      Step 1.
      2.Itapo funguka itakuonesha michezo yote ya kusisimua ya siku pamoja na pointi nzuri za ushindi, bonyeza/bofya kwenye pointi za michezo kuchagua ubashiri wako.

      Step 2.

      3.Ukimaliza utapelekwa kwenye kalkuleta ya m bet. Hapa utachagua kiasi cha pesa unachotaka kutumia na mtandao wa simu kama ni M-Pesa au Tigo Pesa au Airtel Money au HaloPesa.

      Ukimaliza hayo yote  bonyeza  SUBMIT BETTING SLIP (MALIZA) ili uende kwenye hatua nyingine.

      Step3.

      4. Kulipia Tiketi unatakiwa kwenda  M-Pesa au Tigo Pesa au Airtel Money au HaloPesa na kufuata maelekezo kama ilivyoandikwa hapa chini:

      • M-Pesa piga *150*00# kisha weka 300300 kama namba ya kampuni na 10333 kama namba ya kumbukumbu.
      •  Tigo Pesa piga *150*01# kisha weka 300300 kama namba ya kampuni na 87760kama namba ya kumbukumbu.
      • Airtel Money piga *150*60# kisha weka 300300 kama namba ya kampuni na 10333 kama namba ya kumbukumbu.
      • HaloPesa piga *150*88# kisha weka 300300 kama namba ya kampuni na 10333 kama namba ya kumbukumbu.

      Ni hivyo tu. Jaribu bahati yako

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    9. Asked: December 20, 2019In: Betting, SportPesa

      Nawezaje kujisajili SportPesa kwa njia ya SMS?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 20, 2019 at 8:23 am
      This answer was edited.

      Kujisajili kwa njia ya SMS, fuata hatua hizi tatu rahisi: Hatua ya 1 Kujisajili kwa njia ya sms tuma "Mchezo" kwenda 15888. Utapokea ujumbe wa uthibitisho wenye link itakayokupeleka kusoma Vigezo na Masharti kwenye tovuti ya SportPesa. Mara baada ya kusoma na kuelewa Vigezo na Masharti, tuma "KUBALIRead more

      Kujisajili kwa njia ya SMS, fuata hatua hizi tatu rahisi:
      Hatua ya 1
      Kujisajili kwa njia ya sms tuma “Mchezo” kwenda 15888. Utapokea ujumbe wa uthibitisho wenye link itakayokupeleka kusoma Vigezo na Masharti kwenye tovuti ya SportPesa. Mara baada ya kusoma na kuelewa Vigezo na Masharti, tuma “KUBALI” kwenda 15888 kukamilisha usajli.
      Hatua ya 2
      Baada ya kutuma “Kubali” kwenda 15888, utapokea ujumbe wa uthibitisho utakaokupa jina la mtumiaji, ambayo ni namba yako ya simu, namba ya siri yenye tarakimu 4 na namba ya Pay bill.

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    10. Asked: December 20, 2019In: Betting, SportPesa

      Kuna njia gani za kuweka bet SportPesa?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on December 20, 2019 at 8:18 am

      SportPesa inakuwezesha kutabiri na kuweka bet kwenye mechi unayoipenda. Wanatoa nafasi ya kutabiri kwa michezo ya kitaifa na kimataifa. Unaweza kuweka bet zako kwa njia ya sms kwenda 15888, au kupitia Programu ya android ya SportPesa, au mtandaoni kwenye www.sportpesa.co.tz au kupitia USSD kwa kupigRead more

      SportPesa inakuwezesha kutabiri na kuweka bet kwenye mechi unayoipenda. Wanatoa nafasi ya kutabiri kwa michezo ya kitaifa na kimataifa.

      Unaweza kuweka bet zako kwa njia ya sms kwenda 15888, au kupitia Programu ya android ya SportPesa, au mtandaoni kwenye http://www.sportpesa.co.tz au kupitia USSD kwa kupiga *150*87#. Unaweza kuweka bet zako ukiwa mahali popote, kabla ya filimbi ya kwanza ya mwamuzi kwa ajili ya masoko ya kabla ya mechi au kucheza moja kwa moja kwenye masoko ya kubet mubashara.

      Cheza pia kwenye Jackpot kwa TZS 2000 tu. Sasa, TZS 2000 ni DONGE NONO kwani unaweza kushinda angalau TZS 200,000,000 unapocheza kwenye Jackpot.

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    1 … 4 5 6 7

    Sidebar

    Promo

  • Popular Questions

    • Ni kampuni gani za kubet TZ?

    • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

    • Unajua app za kubet Tanzania?

    • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

    • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

    • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

    • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

    • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

    • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

    • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Miongozo

    MojaSky