Nimesahau password yangu ya BetPawa, nitaipataje?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Fuata hatua hizi kutengeneza neno jipya la siri kwa ajili ya BetPawa.
1. Ingia: betpawa.co.tz
2. Ikifunguka bonyeza palipoandikwa ‘login’.
3. Weka namba yako ya simu(uliyotumia wakati wa kujiunga)Ethen bonyeza kwenye ‘forgot password’
4. Utapokea SMS katika simu yako yenye PIN.
5. Weka pin uliyotumiwa katika website ya BetPawa kisha chagua password yako mpya.