Nawezaje kuweka pesa Mkekabet kwa kutumia MPesa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
– Ingia katika menyu ya MPesa *150*00#
– Chagua Lipa kwa Mpesa
– Weka namba ya kampuni 238844
– Weka namba ya kumbukumbu MKEKA/12345
– Chagua kiasi unachotaka kuweka
– Weka PIN yako kuthibitisha
– Utapokea ujumbe mfupi kutoka M-pesa na Mkekabet kuthibitisha muamala