Kubet ndo nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Kubet ni kucheza kamari. Maana yake ni unaweka pesa katika kile unachokiamini kitatokea au unatabiri kuwa kitu fulani kitatokea na unakiwekea pesa juu yake. Kama utabiri wako utakua sahihi unashinda kiasi kulingana na makubaliano.
Kuna namna nyingi za kubet, unaweza kubetia matukio ya mpira yani magoli, matokeo, na matukio mengine. Pia unaweza kubet kwa kuchagua namba za bahati, na nyingine ni kama jackpot ambazo zinafanyika vipindi kwa vipindi na kila moja ina utofauti wake.
Kama unataka kubetia matokeo ya mechi napendekeza uanzie hapa BetWinner
Kwa michezo ya namba za bahati unaweza jaribu Biko au Tatu Mzuka
Kubeti ni kubashiri au kuotea jibu au kitu mfano kucheza biko,tatumzuka nanyinginezo nyingi