First goal kwenye Princessbet ina maana gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Hii maana yake ni timu ya kwanza kufunga goli. Magoli ya kujifunga hayahesabiwi. Magoli yatakayofungwa katika dakika za nyongeza yatahesabiwa. Ila magoli ambayo hayatahesabiwa ni yote yatakayofungwa katika dakika za ziada, yani 30 zinazoongezwa kama dakika tisini zikiisha bila mshindi na magoli ya penati.