Unachezaje Mkekabet?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Bet1
Mchezo wa kubashiri wa Mkekabet unachezwa kwa njia mbalimbali.
Njia ya kwanza ni kwa kutumia mtandao. Hapa unaingia katika tovuti ya Mkekabet unafungua akaunti kwa kutumia namba yako ya simu alafu unacheza kwa kuweka mkeka wako. Tumia link hii Jisajili Mkekabet
Kama hauna uhakika kuhusu uwezo wako wa kubashiri soma mwongozo wa kubashiri kupitia mkekabet katika post hii Mwongozo wa kubashiri kupitia Mkekabet
Njia nyingine ni kwa kutumia App. Kwa njia hii lazima umiliki simu janja yani smartphone. Utahitajia application ya Mkekabet kuweza kutumia njia hii. Download app hiyo HAPA
Njia nyingine ni kwa kutumia USSD. Njia hii unabet kwa kutumia menyu unayopiga katika simu yako. Menyu yenyewe ni *149*87#.
Na njia ya mwishoni kwa kutumia SMS. Njia hii unacheza kwa kutuma ujumbe kwa namba maalumu kama unachat na namba hiyo. Namba ni 15739.