Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Nawezaje kutoa pesa Bikosports?
Nenda sehemu iliyoandikwa My Account Bonyeza Withdraw Chagua njia ya malipo Andika kiasi Toa pesa
Nenda sehemu iliyoandikwa My Account
Bonyeza Withdraw
Chagua njia ya malipo
Andika kiasi
Toa pesa
See lessJinsi gani ya kucheza mchezo wa Biko?
BIKO ni mchezo wa kubahatisha unaokuwezesha kushinda mpaka milioni 100. Unaweza kucheza kwa MPesa, TigoPesa, na AirtelMoney. Huu ni mchezo ambao mwenye bahati ndio atashinda, ni tofauti na BikoSport, ambayo ni kwa ajili ya kubahiri matokeo ya michezo Jinsi ya kucheza biko 1.Amua mtandao utakaotumiaRead more
BIKO ni mchezo wa kubahatisha unaokuwezesha kushinda mpaka milioni 100. Unaweza kucheza kwa MPesa, TigoPesa, na AirtelMoney. Huu ni mchezo ambao mwenye bahati ndio atashinda, ni tofauti na BikoSport, ambayo ni kwa ajili ya kubahiri matokeo ya michezo
Jinsi ya kucheza biko
1.Amua mtandao utakaotumia kati ya Vodacom,Tigo au Airtel
See less2.Piga menu ya mtandao wako kama inavyoonekaana katika picha chini.
3.Chagua lipa bili kisha weka namba ya kampuni 505050
4.Weka kumbukumbu ya malipo 2456
5.Weka kiasi unachotaka kuchezea (kiasi ni kuanzia 1000 kwenda juu)
Code ya kubetia Biko Sport ni ipi?
Code ya USSD ya BikoSports ni *149*89# Unaweza kutumia Vodacom, Tigo au Airtel
Code ya USSD ya BikoSports ni *149*89#
Unaweza kutumia Vodacom, Tigo au Airtel
See lessNamba ya kucheza BikoSport bila bando ni ipi?
Namba ya kucheza bikosports bila mb au bando ni *149*89#. Lakini pia ukiingia bikosport.co.tz kwa sasa unaweza kucheza hata kama haujajiunga internet
Namba ya kucheza bikosports bila mb au bando ni *149*89#. Lakini pia ukiingia bikosport.co.tz kwa sasa unaweza kucheza hata kama haujajiunga internet
See lessNamba za Bikosport ni zipi?
Namba ya simu - 0746811190 Namba ya kumbukumbu - 101010
Namba ya simu – 0746811190
Namba ya kumbukumbu – 101010
See lessNamna gani ya kuangalia beti yako kwenye biko sport
Ukishaingia kwenye tovuti ya bikosports.co.tz na ku log in bonyeza kwenye betslip juu kabisa kama unatumia simu. Kwa watumiaji wa komyuta inakuwepo upande wa kulia wa tovuti
Ukishaingia kwenye tovuti ya bikosports.co.tz na ku log in bonyeza kwenye betslip juu kabisa kama unatumia simu. Kwa watumiaji wa komyuta inakuwepo upande wa kulia wa tovuti
See less