SportPesa ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Umeiona katika jezi za Simba na Yanga. Umeona mabango mengi yaliyoandikwa Sportpesa, lakini hiyo ni nini hasa mpaka inaandikwa sehemu nyingi.
SportPesa ni mtandao wa kubashiri. Na unafanya matangazo mengi sana ili kuzidi kujulikana na watu wengine waweze kujiunga nao katika kubashiri michezo.
Kwa kutumia Sportpesa unaweza kuweka pesa na kisha kutabiri matokeo na matukio ya michezo yenye uwezekano wa kutokea na kama ubashiri wako utakuwa sahihi utashinda pesa nyingi zaidi na ukikosea utapoteza kiasi cha pesa ulichoweka. Dau la kuchezea linaanzia Sh 500. Unaweza kubashiri mechi kila siku tena kwenye michezo kibao kama vile Soka, Masumbwi, Tennis, Volleyball, Cricket, Raga na mingine mingi.
Kujiunga na Sportpesa unaweza tumia njia ya simu yako ya kawaida au kwa kutumia app yao au tovuti yao iliyopo mtandaoni.
Zaidi kuhusu SportPesa