Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
First goal kwenye Princessbet ina maana gani?
Hii maana yake ni timu ya kwanza kufunga goli. Magoli ya kujifunga hayahesabiwi. Magoli yatakayofungwa katika dakika za nyongeza yatahesabiwa. Ila magoli ambayo hayatahesabiwa ni yote yatakayofungwa katika dakika za ziada, yani 30 zinazoongezwa kama dakika tisini zikiisha bila mshindi na magoli ya pRead more
Hii maana yake ni timu ya kwanza kufunga goli. Magoli ya kujifunga hayahesabiwi. Magoli yatakayofungwa katika dakika za nyongeza yatahesabiwa. Ila magoli ambayo hayatahesabiwa ni yote yatakayofungwa katika dakika za ziada, yani 30 zinazoongezwa kama dakika tisini zikiisha bila mshindi na magoli ya penati.
See lessKubet ndo nini?
Kubet ni kucheza kamari. Maana yake ni unaweka pesa katika kile unachokiamini kitatokea au unatabiri kuwa kitu fulani kitatokea na unakiwekea pesa juu yake. Kama utabiri wako utakua sahihi unashinda kiasi kulingana na makubaliano. Kuna namna nyingi za kubet, unaweza kubetia matukio ya mpira yani magRead more
Kubet ni kucheza kamari. Maana yake ni unaweka pesa katika kile unachokiamini kitatokea au unatabiri kuwa kitu fulani kitatokea na unakiwekea pesa juu yake. Kama utabiri wako utakua sahihi unashinda kiasi kulingana na makubaliano.
Kuna namna nyingi za kubet, unaweza kubetia matukio ya mpira yani magoli, matokeo, na matukio mengine. Pia unaweza kubet kwa kuchagua namba za bahati, na nyingine ni kama jackpot ambazo zinafanyika vipindi kwa vipindi na kila moja ina utofauti wake.
Kama unataka kubetia matokeo ya mechi napendekeza uanzie hapa BetWinner
Kwa michezo ya namba za bahati unaweza jaribu Biko au Tatu Mzuka
See less