Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
Home»Musa Adam»Answers
  • About
    1. Asked: January 11, 2020In: Betting, SportPesa

      Nawezaje kujisajili SportPesa?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 11, 2020 at 6:49 am
      This answer was edited.

      Kujisajili mtandaoni, fuata hatua hizi nyepesi: Hatua ya 1 Tafadhali tembelea www.sportpesa.co.tz na bofya kwenye "Jisajili Sasa!" Link ipo kwenye kona ya upande wa juu KULIA wa tovuti(Kama tovuti ipo katika lugha ya kiingereza na unataka kutumia kiswahili bonyeza kwenye 'language' juu upande wa kulRead more

      Kujisajili mtandaoni, fuata hatua hizi nyepesi:

      Hatua ya 1

      Tafadhali tembelea http://www.sportpesa.co.tz na bofya kwenye “Jisajili Sasa!” Link ipo kwenye kona ya upande wa juu KULIA wa tovuti(Kama tovuti ipo katika lugha ya kiingereza na unataka kutumia kiswahili bonyeza kwenye ‘language’ juu upande wa kulia)

      Tafadhali soma Vigezo na Masharti na ujaze maeneo yote kisha bofya kitufe cha “Pata namba ya usajili” au vinginevyo “Je, una namba tayari?” Kama umeshapokea NAMBA YA USAJILI

      Hatua ya 2

      Jaza namba yako ya Simu na Namba ya Usajili ILIYOTUMWA KWENYE NAMBA YAKO YA SIMU, na bofya kitufe cha “Maliza Kikamilifu”

      Hatua ya 3

      Ujumbe wa uthibitisho utatokea, utakao thibitisha usajili wako kikamilifu.

      Furahia Mchezo!

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    2. Asked: January 10, 2020In: BetPawa, Betting

      Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 10, 2020 at 8:39 am

      1. Ingia: betpawa.co.tz 2. Chagua 'login'. 3. Weka namba yako na password kuingia katika akaunti yako. 4. Chagua 'Menu' upande wa juu kulia. 5. Bonyeza ‘Withdrawal’ 6. Kama ukiulizwa jaza jina la kwanza na la mwisho kwenye first name na last name. 7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kutoa (kiwango cRead more

      1. Ingia: betpawa.co.tz
      2. Chagua ‘login’.
      3. Weka namba yako na password kuingia katika akaunti yako.
      4. Chagua ‘Menu’ upande wa juu kulia.
      5. Bonyeza ‘Withdrawal’
      6. Kama ukiulizwa jaza jina la kwanza na la mwisho kwenye first name na last name.
      7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kutoa (kiwango cha chini ni 1,000/=)
      8. Bonyeza ‘Request Payout’

      Utapata pesa yako ndani ya dakika 10

      See less
        • 3
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    3. Asked: January 10, 2020In: Betting, MkekaBet

      Namba ya kubet Mkekabet kwa USSD ni ipi?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 10, 2020 at 8:29 am

      USSD code ya Mkekabet ni *149*87#

      USSD code ya Mkekabet ni *149*87#

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    4. Asked: January 9, 2020In: BetPawa, Betting

      Nimesahau password yangu ya BetPawa, nitaipataje?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 9, 2020 at 4:50 pm

      Fuata hatua hizi kutengeneza neno jipya la siri kwa ajili ya BetPawa. 1. Ingia: betpawa.co.tz 2. Ikifunguka bonyeza palipoandikwa 'login'. 3. Weka namba yako ya simu(uliyotumia wakati wa kujiunga)Ethen bonyeza kwenye  ‘forgot password’ 4. Utapokea SMS katika simu yako yenye PIN. 5. Weka pin uliyotumRead more

      Fuata hatua hizi kutengeneza neno jipya la siri kwa ajili ya BetPawa.

      1. Ingia: betpawa.co.tz
      2. Ikifunguka bonyeza palipoandikwa ‘login’.
      3. Weka namba yako ya simu(uliyotumia wakati wa kujiunga)Ethen bonyeza kwenye  ‘forgot password’
      4. Utapokea SMS katika simu yako yenye PIN.
      5. Weka pin uliyotumiwa katika website ya BetPawa kisha chagua password yako mpya.

      See less
        • -2
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    5. Asked: January 9, 2020In: Betting, MkekaBet

      Bonasi ya kubet zaidi ya mchezo mmoja Mkekabet inafanyaje kazi?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 9, 2020 at 4:24 pm

      Unapocheza michezo kuanzia mitano (5) na kuendelea kwenye tiketi moja una nafasi ya kupata bonasi ya kuanzia 10% hadi 25% kwenye ushindi wako. Unaweza kuona kiasi cha ushindi wa bonasi kwa asilimia baada ya kuweka dau lako na kabla hujatuma beti yako. Mgawanyo wa hesabu za Asilimia za Bonasi kwa idaRead more

      Unapocheza michezo kuanzia mitano (5) na kuendelea kwenye tiketi moja una nafasi ya kupata bonasi ya kuanzia 10% hadi 25% kwenye ushindi wako.

      Unaweza kuona kiasi cha ushindi wa bonasi kwa asilimia baada ya kuweka dau lako na kabla hujatuma beti yako.

      Mgawanyo wa hesabu za Asilimia za Bonasi kwa idadi ya michezo;

       

      Idadi ya MechiBonasi
      510%
      7-815%
      9-1020%
      11-1325%
      13-1525%
      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    6. Asked: January 9, 2020In: Betting, SportPesa

      Nawezaje kuangalia salio langu la SportPesa kwa njia ya SMS?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 9, 2020 at 4:22 pm

      Kuangalia salio tuma SMS neno "SALIO" kwenda 15888 kuona una kiasi gani kwenye akaunti yako ya SportPesa. Utapokea ujumbe unaoonyesha salio la akaunti yako. Mfano. Salio lako la S-PESA ni: TZS 2000/= Kumbuka: Kama una muamala unaosubiri, salio la akaunti yako ya SportPesa halitojumuisha kiasi unachoRead more

      Kuangalia salio tuma SMS neno “SALIO” kwenda 15888 kuona una kiasi gani kwenye akaunti yako ya SportPesa. Utapokea ujumbe unaoonyesha salio la akaunti yako.

      Mfano. Salio lako la S-PESA ni: TZS 2000/=

      Kumbuka: Kama una muamala unaosubiri, salio la akaunti yako ya SportPesa halitojumuisha kiasi unachotaka kutoa.

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    7. Asked: December 25, 2019In: BetPawa, Betting

      Nawezaje kudownload app ya BetPawa?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 8, 2020 at 11:23 pm
      This answer was edited.

      Unaweza kuipata app ya betpawa kupitia tovuti yao. Au tumia link hii https://www.betpawa.co.tz/android-app

      Unaweza kuipata app ya betpawa kupitia tovuti yao.

      Au tumia link hii https://www.betpawa.co.tz/android-app

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    8. Asked: January 8, 2020In: BetPawa, Betting

      Nawezaje kuweka bet katika tovuti ya BetPawa?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 8, 2020 at 11:14 pm

      Kubet kwa kutumia BetPawa mtandaoni tumia hatua hizi. 1.  Fungua browser yako kisha andika : betpawa.co.tz 2. Ukurasa wa betpawa ukishafunguka bonyeza 'login'. 3. Weka namba yako na password/neno la siri kuendelea katika akaunti yako. 4. Chagua mchezo katika menyu mfano 'football'. 5. Tumia menyu yaRead more

      Kubet kwa kutumia BetPawa mtandaoni tumia hatua hizi.

      1.  Fungua browser yako kisha andika : betpawa.co.tz
      2. Ukurasa wa betpawa ukishafunguka bonyeza ‘login’.
      3. Weka namba yako na password/neno la siri kuendelea katika akaunti yako.
      4. Chagua mchezo katika menyu mfano ‘football’.
      5. Tumia menyu ya michezo iliyopo upande wa kushoto wa screen yako kutafuta ligi na nchi unayopenda.
      6. Chagua mechi zako. Kiwango cha mwisho cha mechi ni 30.
      7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kubetia.
      8. Bonyeza kwenye  “place bet”

      Kumbuka: Kama itaandika ‘price has changed’, bonyeza kwenye ‘proceed’ kukubali na bet yako itakuwa tayari au unaweza kuondoa kwa ku bonyeza ‘remove’.

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    9. Asked: January 8, 2020In: Betting, SportPesa

      Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 8, 2020 at 11:01 pm

      Kutoa pesa zako ni rahisi kama kuweka pesa zako ndani. Kwa mfano kama unataka kutoa TZS 1200 kutoka kwenye akaunti yako ya SportPesa, uta: Tuma sms kwenda 15888: W#1200#8888 - ambapo W inasimama kama Kutoa; 1200 ni kiasi cha pesa unachotaka kutoa na 8888 ni namba yako ya siri ya SportPesa uliyopokeaRead more

      Kutoa pesa zako ni rahisi kama kuweka pesa zako ndani.

      Kwa mfano kama unataka kutoa TZS 1200 kutoka kwenye akaunti yako ya SportPesa, uta:

      1. Tuma sms kwenda 15888: W#1200#8888 – ambapo W inasimama kama Kutoa; 1200 ni kiasi cha pesa unachotaka kutoa na 8888 ni namba yako ya siri ya SportPesa uliyopokea wakati wa kujisajili. Kumbuka: Mfumo wa kutoa ni ule ule kwa mitandao ya watoa huduma wote wa simu, yaani, Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa.
      2. Utapokea ujumbe wenye uthibitisho kutoka 15888 na Akaunti yako ya simu (Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa, etc) itaingiziwa pesa, utatumiwa ujumbe wa pili wenye uthibitisho kutoka kwa mtoa huduma wako.
      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    10. Asked: January 8, 2020In: Betting, MkekaBet

      Nawezaje kubet mchezo zaidi ya mmoja kwa njia ya SMS katika Mkekabet?

      Musa Adam
      Musa Adam
      Added an answer on January 8, 2020 at 6:04 pm

      Event Code Event 1 X 2 5555 Liverpool vs Chelsea 2.00 3.00 3.20 6666 Man Utd vs Arsenal 3.2 3.1 2 Timu ya nyumbani kushinda = (1), Sare = (X), Timu ya ugenini = (2) Mfano: Liverpool na Arsenal Washinde; Andika Neno Bet(AchaNafasi)Code ya Mechi#Ubashiri+Code ya Mechi#Ubashiri*kiasi cha pesa kisha TUMRead more

      Event CodeEvent1X2
      5555Liverpool vs Chelsea2.003.003.20
      6666Man Utd vs Arsenal3.23.12

      Timu ya nyumbani kushinda = (1), Sare = (X), Timu ya ugenini = (2)

      Mfano: Liverpool na Arsenal Washinde;
      Andika Neno Bet(AchaNafasi)Code ya Mechi#Ubashiri+Code ya Mechi#Ubashiri*kiasi cha pesa kisha TUMA KWENDA 15739

      Mfano :Bet 5555#1+6666#2*1000 TUMA KWENDA 15739

      “5555” na “6666” = Ni Code za Mechi, “1” na “2” = Ubashiri, “1000” = kiasi cha pesa.

      Idadi ya mwisho kucheza ni michezo 15 kwa tiketi moja

      See less
        • 0
      • Share
        Share
        • Share on WhatsApp
        • Share on Facebook
        • Share on Twitter
        • Report
    1 2 3 4 … 7

    Sidebar

    ChuiTec

    Contact us for Website Design, Ads, SEO and Digital Marketing

    Popular Questions

    • Ni kampuni gani za kubet TZ?

    • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

    • Unajua app za kubet Tanzania?

    • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

    • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

    • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

    • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

    • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

    • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

    • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Miongozo

    MojaSky