Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Namna gani ya kuangalia beti yako kwenye biko sport
Ukishaingia kwenye tovuti ya bikosports.co.tz na ku log in bonyeza kwenye betslip juu kabisa kama unatumia simu. Kwa watumiaji wa komyuta inakuwepo upande wa kulia wa tovuti
Ukishaingia kwenye tovuti ya bikosports.co.tz na ku log in bonyeza kwenye betslip juu kabisa kama unatumia simu. Kwa watumiaji wa komyuta inakuwepo upande wa kulia wa tovuti
See lessNahitaji kubashiri mpira wa miguu je nifanyeje?
Unahitaji kubashiri mpira wa miguu, basi usihangaike ni rahisi sana. Cha kwanza ni kuchagua kampuni utakayoitumia kwa ajili ya kubashiri. Kampuni ziko nyingi sana lakini napendekeza utumie Pemierbet.
Unahitaji kubashiri mpira wa miguu, basi usihangaike ni rahisi sana. Cha kwanza ni kuchagua kampuni utakayoitumia kwa ajili ya kubashiri. Kampuni ziko nyingi sana lakini napendekeza utumie Pemierbet.
See lessUnajua app za kubet Tanzania?
Apps za kubet Tanzania ziko nyingi tu. Ukihitaji app ya kampuni unayotaka unaenda katika website ya kampuni husika (Kumbuka apps zote za kubashiri hazipatikani playstore) Unaweza jaribu hizi pia. BetWinner BetWay 1xBet Wasafibet
Apps za kubet Tanzania ziko nyingi tu. Ukihitaji app ya kampuni unayotaka unaenda katika website ya kampuni husika (Kumbuka apps zote za kubashiri hazipatikani playstore)
Unaweza jaribu hizi pia.
BetWinner
BetWay
1xBet
Wasafibet
See lessNitafanyaje ili nishinde M Bet?
Zingatia haya ili kushinda M Bet Usiwe na papara kwenye kuchagua timu, chagua kwa umakini Weka mkeka wa timu chache, wingi wa mechi unapunguza nafasi ya kushinda Fuatilia habari na mienendo ya ligi au timu unazozitumia kubet Kumbuka mikeka iliyopita ili kufahamu unapatia wapi au unakosea wapi UsichaRead more
Zingatia haya ili kushinda M Bet
- Usiwe na papara kwenye kuchagua timu, chagua kwa umakini
- Weka mkeka wa timu chache, wingi wa mechi unapunguza nafasi ya kushinda
- Fuatilia habari na mienendo ya ligi au timu unazozitumia kubet
- Kumbuka mikeka iliyopita ili kufahamu unapatia wapi au unakosea wapi
- Usichague timu kwa kuangalia matokeo ya muda mfupi
- Usichague timu kwa sababu unaishabikia/unaikubali bora usiweke hiyo mechi kwenye mkeka
- Kuwa na kiasi katika kucheza. Cheza kwa kujifurahisha, usigeuze kuwa ajira
See lessKampuni yenye odds nzuri za kubet ni ipi?
kampuni zenye odds nzuri zaidi ni hizi BetWinner BetWay 1xBet Wasafibet
kampuni zenye odds nzuri zaidi ni hizi
BetWinner
BetWay
1xBet
Wasafibet
See lessKampuni ya kubet wanaolipa hela haraka zaidi baada ya kushinda ni ipi?
kampuni zinazoongoza ni hizi BetWinner BetWay 1xBet Wasafibet
kampuni zinazoongoza ni hizi
BetWinner
BetWay
1xBet
Wasafibet
See lessApp gani unaweza kubet no redcard?
1xBet Hapa utapata ata zaidi ya no redcard. Nadhani hii kampuni ndio inaongoza kwa kuwa na option nyingi.
1xBet
Hapa utapata ata zaidi ya no redcard. Nadhani hii kampuni ndio inaongoza kwa kuwa na option nyingi.
See lessMkekabet ni kampuni bora ya kubet?
Kikubwa zaidi ni urahisi wa kucheza. Unaweza kucheza kuanzia sh 200. Utapata ofa kibao kama free bet ukikosea mchezo mmoja. Pia kuna price boosts ambayo inaongeza uwezekano wa kushinda pesa nyingi zaidi na unaweza kutoa hela katika baadhi ya bet hata kama mechi haijaisha. Baadhi ya ofa zinazopatikanRead more
Kikubwa zaidi ni urahisi wa kucheza. Unaweza kucheza kuanzia sh 200. Utapata ofa kibao kama free bet ukikosea mchezo mmoja. Pia kuna price boosts ambayo inaongeza uwezekano wa kushinda pesa nyingi zaidi na unaweza kutoa hela katika baadhi ya bet hata kama mechi haijaisha.
Baadhi ya ofa zinazopatikana Mkekabet ni kama
- Champions League Winner Special. Chagua timu moja inayoshiriki Champions League na utapata %10 ya free bet kama timuliyoichagua itashinda.
- One Out Money Back. Utarudishiwa hela yako kama utafeli mechi moja katika mkeka wako.
- Money back. Unarudishiwa hela yako kama bet yako ya kwanza itafeli.
- Cash Out. Unaweza kutoa hela yako hata kama mechi haijaisha.
See lessTaja makampuni ambayo unapata bonasi ukifeli mechi moja?
BetWinner BetWay 1xBet Wasafibet
BetWinner
BetWay
1xBet
Wasafibet
See lessSehemu za kubet Tanzania ni zipi?
Sehemu za kubet ziko nyingi unaweza kubet katika maduka ya mawakala husika yaliyo karibu, kwa kutumia simu au mitandao ya simu au kwa kutumia app Njia nyingine ni hii kwa kutumia mtandao. Unaweza kutumia kampuni hizi BetWinner BetWay 1xBet Wasafibet M-bet Sportpesa Princessbet Mojabet Mkekabet SokabRead more
Sehemu za kubet ziko nyingi unaweza kubet katika maduka ya mawakala husika yaliyo karibu, kwa kutumia simu au mitandao ya simu au kwa kutumia app
Njia nyingine ni hii kwa kutumia mtandao. Unaweza kutumia kampuni hizi
na nyingine nyingi
See less