Nitafanyaje nishinde Mkekabet?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Katika kupitapita kwenye internet nikaona hii imeandikwa na mwandishi wa tandikamikeka kuhusu vitu vya kuzingatia ili ushinde
1. Usiweke mechi nyingi kwa mkeka mmoja/ticket. Hii ni kwa sababu unapoweka mechi nyingi katika mkeka mmoja unapunguza uwezekano wa wewe kushinda. Japo kuwa wengi wanawaza kupata hela nyingi lakini wanasahau kuangalia uwezekano wa kushinda. Ni kweli kwamba ukiweka mechi nyingi ndio hela inaongezeka ila uwezekano wakushinda unapungua, ndiyo maana wenye makampuni hawaruhusu kubeti/kutandika mkeka wa mechi moja.
2. Zijue timu unazozibetia / ambazo unazitabiria : kujua timu kabla ya kubeti ni jambo muhimu sana kwa sababu kuna timu ni mahasimu sana katika ligi fulani. Kwa mfano ligi kuu vodacom wakicheza Simba na Yanga, hata kama Simba akiwa anashika nafasi za mwishoni katika ligi hatakubali kufungwa kirahisi na Yanga kwa hiyo mechi itakua naupinzani mkali. Mara nyingi zikikutana timu kama hizi matokeo huishia kuwa droo/draw au utofauti mdogo wa magoli kwa mfano mechi inaweza kuisha 0-0, 1-1, 2-2, na sare nyinine au 1-0, 0-1, 2-1, 3-2. Kwa hiyo kwa timu kama hizi usibeti kwamba timu fulani itashinda kwa tofauti ya magoli mawili au zaidi. Pia kingine atika kuzijua timu jaribu kuangalia kama kuna timu ni kibonde wa mwingine. Kwa mfano Arsenal ni mteja wa Man United mara kwa mara, kwahiyo jaribu kuangalia nani anamfunga mwenzake mara kwa mara kisha mpe.
3.Usibetie timu kwa sababu ya ushabiki: hiki ni kitu cha kuzingatia kwani wengi wamekua wakibet kwa sababu tu ya mapenzi ya katika timu fulani. Ushauri ni bora usibetie timu unayoipenda kama uwezi kazuia hisia zako, kwani hisia zinamzuia mtu kuichambua timu anayo ishabikia
4.Angalia goal differences/ tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa: ni vizuri kuangalia tofauti ya magoli kwa zile timu ambazo unataka kuzibetia na hii ni nzuri hususani kwa wale ambao watakua wanabeti kama timu zote zitafunga. Kwa mfano kama timu inamagoli mengi ya kufunga kuliko ya kufungwa ni wazi kwamba timu hii haifungwi mara kwa mara kwa hiyo ikikikutana/kucheza na timu ambayo ina magoli mengi sana ya kufugwa kuliko ya kufunga, hii inaonyesha kuwa hii timu itafungwa bila yenyewe kufunga kwahiyo kama uliweka both team will score “yes” huo mkeka utakua umechanika.
NB: hii haimanishi kwamba itakua hivyo kwa mechi zote ila ni kwamba uwezekano mkubwa / possibility ipo hivyo
5. Cheza kwa kiasi mchezo huu. Usiwe na tamaa kwamba unaweza pata pesa nyingi kwa mara moja kwahiyo ukacheza hovyo bila mpangilio, utaumia. Jaribu kuweka mikakati na mipangilio juu ya uchezaji wako, hakika hutajuta. Cheza mechi chache kwa siku unazoamini zinaweza kukupatia ushindi sio lazima ubashiri mechi nyingi kwa mkupuo. Hii itakusaidia wewe kukupa ushindi mara nyingi
6. Usibashiri kwa mapenzi ama ushabiki, eti kwa kuwa mimi ni mshabiki wa Liverpool Fc basi ndo nakuwa naitabiria ushindi kila mara, angalia uwezo wa timu yako dhidi ya timu pinzani kama inaweza shinda na hii itakuwa rahisi endapo utakuwa mfuatiliaji mzuri pia wa ligi ama mchezo unaobashiri.
Anza kubeti sasa kwa kutumia BetWinner , BetWay au MeridianBet