Nawezaje kuweka bet katika tovuti ya BetPawa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Kubet kwa kutumia BetPawa mtandaoni tumia hatua hizi.
1. Fungua browser yako kisha andika : betpawa.co.tz
2. Ukurasa wa betpawa ukishafunguka bonyeza ‘login’.
3. Weka namba yako na password/neno la siri kuendelea katika akaunti yako.
4. Chagua mchezo katika menyu mfano ‘football’.
5. Tumia menyu ya michezo iliyopo upande wa kushoto wa screen yako kutafuta ligi na nchi unayopenda.
6. Chagua mechi zako. Kiwango cha mwisho cha mechi ni 30.
7. Weka kiasi cha pesa unachohitaji kubetia.
8. Bonyeza kwenye “place bet”
Kumbuka: Kama itaandika ‘price has changed’, bonyeza kwenye ‘proceed’ kukubali na bet yako itakuwa tayari au unaweza kuondoa kwa ku bonyeza ‘remove’.