Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Musa Adam
Kutoa pesa zako ni rahisi kama kuweka pesa zako ndani.
Kwa mfano kama unataka kutoa TZS 1200 kutoka kwenye akaunti yako ya SportPesa, uta:
Inakuaje kama nilifua sms yakwanza hvyo sina ile namba ya siri