Mbinu mpya za kutabiri matokeo ya mpira wa miguu ni zipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Amna mbinu zozote mpya nnazozijua ila nachofahamu ni kwamba ukifatilia timu kwa umakini ukaondoa ushabiki na kubet mechi chache unakuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda kila siku.
Soma mwongozo wa kubeti hapa kama hujawahi kubashiri -> Bonyeza hapa kuisoma