Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In


Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here


Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.


Please briefly explain why you feel this question should be reported.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Please briefly explain why you feel this user should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi

Mobile menu

Close
Ask A Question
  • Home
  • Maswali
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
Home»Questions»Q 32381
In Process

1Sky Latest Questions

Poll
Anonymous
Asked: June 17, 20192019-06-17T09:36:52+03:00 2019-06-17T09:36:52+03:00In: Betting

Kucheza kamari ni dhambi?

Poll Results

83.33%Ni dhambi ( 5 voters )
16.67%Si dhambi ( 1 voter )
Based On 6 Votes

Kucheza kamari ni dhambi?

Kucheza kamari ni dhambi?
  • 11
  • 1,364
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
Answer
  • Report

1 Answer

  • Voted
  • Oldest
  • Recent
  1. Emmanuel Magessa
    Emmanuel Magessa
    2021-04-08T20:40:10+03:00Added an answer on April 8, 2021 at 8:40 pm

    Katika Ulimwengu wa Sasa,Kumekuwepo na Wimbi la Michezo Mingi inayojulikana kama MICHEZO YA KAMARI(LOTTERING,BETTING,GAMBLING)iliyofanikiwa Kuchukua Ulimwengu mzima au Inaweza ikawa Taifa zima zima Kuvutiwa Kushiriki Katika Michezo hiyo wakiwa na Shauku ya Kujishindia Mamilioni ya Pesa na Matajiri kwa Ghafla au kwa siku Moja

    Jambo hili limepelekea Kupendwa Sana Na watu wa aina zote hata na watu wanaojiita ni watu wa Mungu au Wakristo wengine ni Maaskofu,Wachungaji au Waumini mbalimbali wa dini zinazojiita za kikristo au zinazomuamini Mungu.Na hasa mijadala hii ipo karibu ulimwenguni pote ikijadiliwa bila kufikia maamuzi

    Katika Nchi Yetu ya Tanzania,Kumekuwepo na Hii Michezo ya Bahati nasibu Kama TATU MZUKA Au BIKO AU MKEKA ambapo mtu atatoa pesa yake kama ni 500 au 1000 n.k kushiriki katika droo mbalimbali za kutafuta mshindi wa kujishindia Kitita cha Pesa Mil 60 mpaka mil 100.Na wakati mwingine hata kushinda pesa hizi ndogo ndogo.Na Matangazo ya biashara ya hii michezo yanatawala kwenye luninga channel zote na redio.Matangazo haya yanashindana na mashirika ya simu!Hii ni ishara kuna PESA nyingi sana zinazalishwa kwenye hii michezo Sasa Je,Tunajiuliza Ushiriki wa Mkristo katika Michezo hii ni halali kibiblia? Kabla Sijaanza Kueleza Ni halali au Si halali.Labda Nianze na Hoja zao kuu wanayokuja nayo hawa wakristo wanaoshiriki Michezo hii (Ni Hoja ya Kibiblia)

    HOJA YA KWANZA HAKUNA ANDIKO LINALOKATAZA KUCHEZA BAHATI NASIBU(LOTTERY) AU KAMARI(GAMBLING) AU KUBETI KWENYE BIBLIA
    Ni kweli hakuna Andiko la moja kwa Moja kama tunavyotaka kuona Kamari au Betting au Bahati nasibu lakini Ipo mifano ya wazi kabisa kwenye biblia inayonyesha Michezo ya Kamari Kufanyika.Nitaeleza mbeleni wakati natoa sababu za sisi kutoshiriki michezo kama hii

    Pia Ni Muhimu Kufahamu,Si kweli Kwamba Kwa kuwa Neno Lottery au Gambling halipo direct kama neno lilivyo kwenye biblia basi tuseme hicho kitu hakipo au hatuwezi Kukiamini kama Maana yake inaelekea na Makatazo yaliyopo kwenye Biblia

      • 2
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report

Leave an answer
Cancel reply

You must login to add an answer.


Forgot Password?

Need An Account, Sign Up Here

Sidebar

Promo

  • Related Questions

    • Namna gani ya kuangalia beti yako kwenye biko sport

    • Nahitaji kubashiri mpira wa miguu je nifanyeje?

    • Mkekabet ni kampuni bora ya kubet?

    • Premier bet ni kampuni bora ya kubet?

    • Kwa nini nitumie Mkekabet kubet?

    • Kampuni bora ya kubashiri mpira ni ipi?

    • Namba ya simu ya SportPesa ni ipi?

    Popular Questions

    • Ni kampuni gani za kubet TZ?

    • Nawezaje kutoa pesa SportPesa kwa njia ya SMS?

    • Unajua app za kubet Tanzania?

    • Nawezaje kuweka pesa BetPawa?

    • Nawezaje kujisajili Mkekabet?

    • Nawezaje kuweka pesa SportPesa wakati wa kucheza kwa njia ya SMS?

    • Namba ya kampuni ya Premier bet ni ipi?

    • Nawezaje kutoa pesa BetPawa?

    • Nitajuaje jinsi ya kufungua account ya Betpawa?

    • Nawezaje kufuta bet kwa njia ya SMS kwenye SportPesa?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Miongozo

    MojaSky

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.