Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nitajuaje jinsi ya kufungua akaunti Facebook?
Rickyllobbe
Fuatilia vipengele vifuatavyo na utaelewa zaidi
Fuatilia vipengele vifuatavyo na utaelewa zaidi

See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNamba ya bure ya kupiga kwa ajili ya virusi vya corona ni ipi?
Rickyllobbe
Kwasasa namba ni 199
Kwasasa namba ni 199
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppPicha gani ya Diamond ya zamani uliyonayo katika simu yako?
Rickyllobbe
Dai Domo huyoo
Dai Domo huyoo

See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNi namna gani unaweza kumteka msichana asikuache?
Rickyllobbe
kuna baadhi ya vitu mvulana au mwanaume akisha kuwanavyo basi mwanamke hawezikuchomoka na akisepa basi ni uzembe wako tu; 1.Pesa 2.Six pack(sixipaki) kama Diamond 3.Nyumba nzuri 4.Nguvu za kiume 😅😅 haya kazi ni kwako sasa
kuna baadhi ya vitu mvulana au mwanaume akisha kuwanavyo basi mwanamke hawezikuchomoka na akisepa basi ni uzembe wako tu;
1.Pesa
2.Six pack(sixipaki) kama Diamond
3.Nyumba nzuri
4.Nguvu za kiume 😅😅
haya kazi ni kwako sasa
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppVAT Tanzania ni asilimia ngapi?
Rickyllobbe
kwa Tanzania bei ya makato ya VAT ni alimia 18% tu
kwa Tanzania bei ya makato ya VAT ni alimia 18% tu
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNini maana ya mwananchi?
Rickyllobbe
Mwananchi ni mtu anayetambulika kisheria au kitaifa katika serikali au jimbo la kawaida, iwe kuomba au kuzaliwa
Mwananchi ni mtu anayetambulika kisheria au kitaifa katika serikali au jimbo la kawaida, iwe kuomba au kuzaliwa
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kuangalia salio la umeme wa LUKU?
Rickyllobbe
Katika kuangalia umeme(luku) kunabaadhi ya watu huwa namba zina tofautiana kuliangana na mitabox yake 1.07 alafu bonyeza kitufe cha Kijani (ok) 2.000 alafu bonyeza kitufe cha Kijani (ok) 3.003 alafu bonyeza kitufe cha Kijani (ok) Kwa maelezo zaidi tembelea >>www.tanesco.co.tz
Katika kuangalia umeme(luku) kunabaadhi ya watu huwa namba zina tofautiana kuliangana na mitabox yake
1.07 alafu bonyeza kitufe cha Kijani (ok)
2.000 alafu bonyeza kitufe cha Kijani (ok)
3.003 alafu bonyeza kitufe cha Kijani (ok)
Kwa maelezo zaidi tembelea >>www.tanesco.co.tz
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppUnaweza kutaja madhara ya pombe?
Rickyllobbe
Kunywa pombe si vyema kwa Afya ya mwanadamu lakini watu wengi hupenda kunywa pombe kama kiburudisho wakidhani hakuna madhara yoyote katika vinywaji hivyo.Yafuatayo ni Madhara ya kunywa pombe katika mwili wa mwanadamu(ke/me) 1.Husababisha Shinikizo la damu 2.Husababisha Msongo wa mawazo 3.Huathiri miRead more
Kunywa pombe si vyema kwa Afya ya mwanadamu lakini watu wengi hupenda kunywa pombe kama kiburudisho wakidhani hakuna madhara yoyote katika vinywaji hivyo.Yafuatayo ni Madhara ya kunywa pombe katika mwili wa mwanadamu(ke/me)
1.Husababisha Shinikizo la damu
2.Husababisha Msongo wa mawazo
3.Huathiri mifumo ya uzazi
4.Husababisha Magonjwa ambukizi
5.Husababisha Tatizo la ini
6.Kusinyaa kwa ubongo
7.Kusinyaa kwa uso na macho
8.Husababisha Uharibifu wa mfumo wa fahamu
9.Husababisha Saratani
10.Husababisha Matatizo ya moyo
11.Husababisha Ugonjwa wa Anemia
12.Husababisha Maumivu ya miguu (gout/jongo)
13.Husababisha Mimba kuharibika kwa wanawake
14.Husababisha magonjwa kama vile Kongosho na Blood Pressure
15.Huathiri Hisia za tendo la ndoa(upungufu wa nguvu za kiume)
Unywaji pombe kupitakiasi si salama kwa Afya yako.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppAlbum ya Harmonize inaitwaje?
Rickyllobbe
Album ya Harmonize inaitwa "AFRO EAST"
Album ya Harmonize inaitwa “AFRO EAST”
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNamba za Startimes mkoa wa Dar es salaam ni zipi?
Rickyllobbe
Kwa mkoa wa Dar es salaam unawaza kupata huduma hii katika sehemu zifuatazo National Service Hotline 0764700800 0677700800 TBC1 Shop 0758828233 Msimbazi Shop 0758828237 Buguruni Shop 0758828236 Samora Shop 0758828234 Rock city mall shop 0758828230 Makumbusho Min Shop 0768779846 Vingunguti shop 07588Read more
Kwa mkoa wa Dar es salaam unawaza kupata huduma hii katika sehemu zifuatazo
National Service Hotline
0764700800
0677700800
TBC1 Shop
0758828233
Msimbazi Shop
0758828237
Buguruni Shop
0758828236
Samora Shop
0758828234
Rock city mall shop
0758828230
Makumbusho Min Shop
0768779846
Vingunguti shop
0758828226
Friends corner shop
0758828228
Mbagala shop
0714213125
nukuu kutoka>>startimestv.com
See less