Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Code ya kubetia Biko Sport ni ipi?
Code ya USSD ya BikoSports ni *149*89# Unaweza kutumia Vodacom, Tigo au Airtel
Code ya USSD ya BikoSports ni *149*89#
Unaweza kutumia Vodacom, Tigo au Airtel
See lessKampuni ya kubet inayotoa ofa siku ya kwanza ya kubet ni ipi?
Kampuni inayotoa ofa mara ya kwanza ukibet ni Premierbet. Ofa yenyewe ni kwamba ukifeli katika mkeka wa kwanza unarudishiwa hela yako kama free bet, kwaiyo utaweza kubet tena kwa kutumia pesa ileile.
Kampuni inayotoa ofa mara ya kwanza ukibet ni Premierbet. Ofa yenyewe ni kwamba ukifeli katika mkeka wa kwanza unarudishiwa hela yako kama free bet, kwaiyo utaweza kubet tena kwa kutumia pesa ileile.
See lessNamba ya kucheza BikoSport bila bando ni ipi?
Namba ya kucheza bikosports bila mb au bando ni *149*89#. Lakini pia ukiingia bikosport.co.tz kwa sasa unaweza kucheza hata kama haujajiunga internet
Namba ya kucheza bikosports bila mb au bando ni *149*89#. Lakini pia ukiingia bikosport.co.tz kwa sasa unaweza kucheza hata kama haujajiunga internet
See lessNitajuaje namna ya kubet na kushinda?
Zingatia haya ili kubet na kushinda Usiwe na papara kwenye kuchagua timu, chagua kwa umakini Weka mkeka wa timu chache, wingi wa mechi unapunguza nafasi ya kushinda Fuatilia habari na mienendo ya ligi au timu unazozitumia kubet Kumbuka mikeka iliyopita ili kufahamu unapatia wapi au unakosea wapi UsiRead more
Zingatia haya ili kubet na kushinda
- Usiwe na papara kwenye kuchagua timu, chagua kwa umakini
- Weka mkeka wa timu chache, wingi wa mechi unapunguza nafasi ya kushinda
- Fuatilia habari na mienendo ya ligi au timu unazozitumia kubet
- Kumbuka mikeka iliyopita ili kufahamu unapatia wapi au unakosea wapi
- Usichague timu kwa kuangalia matokeo ya muda mfupi
- Usichague timu kwa sababu unaishabikia/unaikubali bora usiweke hiyo mechi kwenye mkeka
- Kuwa na kiasi katika kucheza. Cheza kwa kujifurahisha, usigeuze kuwa ajira
See lessNitajuaje jinsi ya kucheza insta moja
Jinsi ya kucheza Insta Moja TIGO PIGA *150*01# CHAGUA LIPA BILI INGIZA NAMBA YA KAMPUNI 123255 INGIZA KUMBUKUMBU NAMBA 6652 WEKA KIASI VODACOM PIGA *150*00# CHAGUA LIPA KWA MPESA INGIZA NAMBA YA KAMPUNI 123255 INGIZA KUMBUKUMBU NAMBA 6652 WEKA KIASI WEKA NAMBA YA SIRI BONYEZA 1 KUTHIBITISHA AIRTEL PRead more
Jinsi ya kucheza Insta Moja
TIGO
VODACOM
AIRTEL
HALOTEL
- PIGA *150*88#
- CHAGUA LIPA KWA HALOPESA
- INGIZA NAMBA YA KAMPUNI 123255
- INGIZA KUMBUKUMBU NAMBA 6652
- WEKA KIASI
- WEKA NAMBA YA SIRI KUTHIBITISHA
See lessNawezaje kurudisha file la SportPesa?
Ukisema file la sportpesa unamaanisha nini? Kama ni app ya sportpesa kwenye simu yako unaweza kuipata kupitia link hii https://sportpesa.co.tz/app?_locale=sw
Ukisema file la sportpesa unamaanisha nini? Kama ni app ya sportpesa kwenye simu yako unaweza kuipata kupitia link hii https://sportpesa.co.tz/app?_locale=sw
See lessNamba za Bikosport ni zipi?
Namba ya simu - 0746811190 Namba ya kumbukumbu - 101010
Namba ya simu – 0746811190
Namba ya kumbukumbu – 101010
See lessNahitaji kubashiri mpira wa miguu je nifanyeje?
Unahitaji kubashiri mpira wa miguu, basi usihangaike ni rahisi sana. Cha kwanza ni kuchagua kampuni utakayoitumia kwa ajili ya kubashiri. Kampuni ziko nyingi sana lakini napendekeza utumie Pemierbet.
Unahitaji kubashiri mpira wa miguu, basi usihangaike ni rahisi sana. Cha kwanza ni kuchagua kampuni utakayoitumia kwa ajili ya kubashiri. Kampuni ziko nyingi sana lakini napendekeza utumie Pemierbet.
See lessUnajua app za kubet Tanzania?
Apps za kubet Tanzania ziko nyingi tu. Ukihitaji app ya kampuni unayotaka unaenda katika website ya kampuni husika (Kumbuka apps zote za kubashiri hazipatikani playstore) Unaweza jaribu hizi pia. BetWinner BetWay 1xBet Wasafibet
Apps za kubet Tanzania ziko nyingi tu. Ukihitaji app ya kampuni unayotaka unaenda katika website ya kampuni husika (Kumbuka apps zote za kubashiri hazipatikani playstore)
Unaweza jaribu hizi pia.
BetWinner
BetWay
1xBet
Wasafibet
See lessNitafanyaje ili nishinde M Bet?
Zingatia haya ili kushinda M Bet Usiwe na papara kwenye kuchagua timu, chagua kwa umakini Weka mkeka wa timu chache, wingi wa mechi unapunguza nafasi ya kushinda Fuatilia habari na mienendo ya ligi au timu unazozitumia kubet Kumbuka mikeka iliyopita ili kufahamu unapatia wapi au unakosea wapi UsichaRead more
Zingatia haya ili kushinda M Bet

See less