Kama umewahi kujaza fomu mbalimbali mtandaoni unaweza kuwa ulikukutana na sehemu inayokutaka kujaza zip code au postal code hususa ni shughuli zinazohitaji malipo mtandaoni kama kununua ‘domain name’ na baadhi ya huduma za kusajili akaunti za email. Zip/Postal Codes ni ...