Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Nawezaje kupata namba ya kitambulisho cha taifa NIDA?
Calvin Mlay
Kama taarifa zako hazipo usijaribu tena. Jaribu kuangalia katika link hii -> LINK YA KUPATA NAMBA weka taarifa zako kwa usahihi. Kama ikishindikana hapa, suluhisho pekee ni kwenda ofisi za NIDA zilizopo karibu.
Kama taarifa zako hazipo usijaribu tena. Jaribu kuangalia katika link hii -> LINK YA KUPATA NAMBA weka taarifa zako kwa usahihi. Kama ikishindikana hapa, suluhisho pekee ni kwenda ofisi za NIDA zilizopo karibu.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaJinsi gani ya kufungua account store?
Calvin Mlay
Sijui unamaanisha nini haswa lakini ntajaribu kukupa jibu kwa kadri nilivyoelewa. Kama unazungumzia kufungua akaunti ya PlayStore au Ios store kama mtumiaji yani kwa ajili ya kudownload apps games na movie basi ni rahisi. Kwa Playstore ukiwa na email ya gmail kwenye simu yakop basi na store inafunguRead more
Sijui unamaanisha nini haswa lakini ntajaribu kukupa jibu kwa kadri nilivyoelewa.
Kama unazungumzia kufungua akaunti ya PlayStore au Ios store kama mtumiaji yani kwa ajili ya kudownload apps games na movie basi ni rahisi. Kwa Playstore ukiwa na email ya gmail kwenye simu yakop basi na store inafunguka. Kwenye ios unaingia kwenye app store unaenda sign in una create Apple id alafu unafuata maelekezo.
Kuhusu kufungua akaunti kwa ajili ya kuweka au kuuza apps na vitu vingine link hizi apa
PlayStore – https://play.google.com/apps/publish
AppStore – https://appstoreconnect.apple.com/
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNitapata wapi nyimbo za Kristo za SDA church?
Calvin Mlay
Kwa watumiaji wa simu za android, nenda tu katika PlayStore alafu andika Nyimbo za Kristo katika sehemu ya kutafuta alafu chagua app utakayoipenda. kumbuka: App yenye nyota nyingi ndiyo app yenyeuwezekano wa kuwa nzuri kulingana na maoni ya watumiaji. Au Pitia link hii https://docplayer.net/21133102Read more
Kwa watumiaji wa simu za android, nenda tu katika PlayStore alafu andika Nyimbo za Kristo katika sehemu ya kutafuta alafu chagua app utakayoipenda.
kumbuka: App yenye nyota nyingi ndiyo app yenyeuwezekano wa kuwa nzuri kulingana na maoni ya watumiaji.
Au Pitia link hii https://docplayer.net/21133102-Sda-church-nyimbo-za-kristo.html then bonyeza kwenye download kuiweka kwenye kifaa chako
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kudownliad vidmate kwenye pc
Calvin Mlay
Vidmate haipatikani katika mfumo wa kompyuta. Kama unataka kudownload video bonteza Hapa kujua zaidi
Vidmate haipatikani katika mfumo wa kompyuta.
Kama unataka kudownload video bonteza Hapa kujua zaidi
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaYouTube wanalipa views ngapi?
Calvin Mlay
Youtube wanalipa kwa kuonesha matangazo katika video husika hivyo kwa makadirio ni kwamba video yenye views nyingi itaweza kukuongezea pesa zaidi kwa sababu kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kuwafikia watu wengi. Chanzo kimoja kinasema kwa wastani unaweza kupata $4.18 ~ Tsh 10,000 kwa kila views 1,000Read more
Youtube wanalipa kwa kuonesha matangazo katika video husika hivyo kwa makadirio ni kwamba video yenye views nyingi itaweza kukuongezea pesa zaidi kwa sababu kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kuwafikia watu wengi.
Chanzo kimoja kinasema kwa wastani unaweza kupata $4.18 ~ Tsh 10,000 kwa kila views 1,000 za matangazo yaliyooneshwa kwenye video yako.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNaweza ku Google kwa Kiswahili?
Calvin Mlay
Ndio unaweza. Ni kitendo cha wewe kuandika chochote unachohitaji kwa Kiswahili na utapata matokeo kwa ajili yako. Ukiandika google.co.tz inakuja google itakayozingatia majibu yanayohusiana na lugha ya kiswahili zaidi kuliko yale ya kiingereza. Lakini hata hivyo google imetengenezwa vema kwa hiyo ukiRead more
Ndio unaweza. Ni kitendo cha wewe kuandika chochote unachohitaji kwa Kiswahili na utapata matokeo kwa ajili yako.
Ukiandika google.co.tz inakuja google itakayozingatia majibu yanayohusiana na lugha ya kiswahili zaidi kuliko yale ya kiingereza. Lakini hata hivyo google imetengenezwa vema kwa hiyo ukiingia google tu kwa browser yako ya kawaida ita detect nchi na itakupeleka moja kwa moja katika lugha ya kiswahili.
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaUnakifahamu Chuo cha Ualimu Kasulu?
Calvin Mlay
Sikifahamu vizuri Chuo cha Ualimu cha Kasulu lakini kwa zama hizi taarifa zote zinapatikana mtandaoni. Cheki website yao kasulutc.ac.tz
Sikifahamu vizuri Chuo cha Ualimu cha Kasulu lakini kwa zama hizi taarifa zote zinapatikana mtandaoni. Cheki website yao kasulutc.ac.tz
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaGame la mpira bora zaidi kwa ajili ya simu ni lipi?
Calvin Mlay
Gemu la mpira bora zaidi ni lipi?, linapatikana wapi?, kwa nini ni bora zaidi?. Endelea kusoma na utapata majibu ya maswali yote hayo kadri unavyoendelea. Game la mpira bora zaidi ni lipi? Dream League Soccer(DLS). Kati ya magemu yote ya mpira niliyowahi kucheza katika simu yangu Dream League SocceRead more
Gemu la mpira bora zaidi ni lipi?, linapatikana wapi?, kwa nini ni bora zaidi?. Endelea kusoma na utapata majibu ya maswali yote hayo kadri unavyoendelea.
Game la mpira bora zaidi ni lipi?
Dream League Soccer(DLS). Kati ya magemu yote ya mpira niliyowahi kucheza katika simu yangu Dream League Soccer ndio game bora zaidi kwa vigezo nilivyokua nimeviweka.
Kwa nini DLS ndio game bora zaidi?
Kuna sababu nyingi zinazosababisha nitoe nafasi hii kwa DLS licha ya uwepo wa magemu mengine
Game hili linapatikana wapi?
Sehemu bora zaidi ya kulipata game ili ni kwenye Google PlayStore. Lakini unaweza kulipata kwa kusearch tu internet au sehemu kama uptodown softonic au mobogenie store
Kwa nini Google PlayStore?
Kwa sababu unakuwa na uhakika wa kudownload game halisi likiwa full na usalama wa kifaa chako pia ni uhakika. Kwa kutumia njia nyingine unaweza kudownload game nusu na usijue jinsi ya ku install baadae.
Nifanyeje ili kupata coins nyingi zaidi?
Njia ya kwanza ni kununua coins hizo kwa pesa halali ndani ya game hilo. Lakini pia kuna njia rahisi ya kufanya hivyo bila kutumia pesa lakini sio halali, kuitumia angalia hapa.
Game hili lina udhaifu gani?
KIla kizuri hakikosi udhaifu. Graphics katika game hili ni za kuridhisha lakini zinazidiwa sana na game kama PES. Na pia katika swala la uhalisia wa wachezaji apo FIFA ipo juu zaidi ya DLS. KAtika gemu hili pia ni ngumu sana kutafuta hela kwa njia ya kawaida ya game.
Sipendi DLS game gani zuri zaidi?
Kama hutopenda chaguo hili napendekeza uchukue FIFA Football au PES Mobile
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kuroot simu yangu?
Calvin Mlay
Nini maana ya kuroot?? Kuroot simu ni kitendo cha kuifanya simu iweze kufanya mambo ambayo hayawezi kufanyika katika mfumo wa kawaida wa android. Nini faida ya kuroot simu yako? Kubadili mwandiko Kuweka custom ROM Kununua vitu bure katika apps Kufuta app zilizokuja na simu Kuondoa matangazo KuongezaRead more
Nini maana ya kuroot??
Kuroot simu ni kitendo cha kuifanya simu iweze kufanya mambo ambayo hayawezi kufanyika katika mfumo wa kawaida wa android.
Nini faida ya kuroot simu yako?
Hasara za kuroot
JINSI YA KUROOT
Kuna njia nyingi za kuroot lakini njia hii nayoenda kukufundisha ndio njia nzuri zaidi!
HATUA:
Hongera, umefanikiwa kuroot simu yakoEndapo umekutana na ugumu wowote, nijulishe katika sehemu ya maoni
See lessPromo – MeridianBet
Kubet kumerahisishwa
Jipatie Tsh 3,500 ya kuanzia kama zawadi ya kujiunga.
Jiunge SasaNawezaje kuangalia status ya mtu bila ya yeye kujua?
Calvin Mlay
1.Ingia katika application ya File Manager/File Explorer 2.Tafuta file lenye jina >WhatsApp< kisha ingia >Media< (file la WhatsApp liunaweza kuwa katika Phone Storage au SD card) Phone Storage/SD card>>WhatsApp>>Media 3.Bonyeza alama ya ‘dot tatu’ kisha bonyeza >Show HRead more
1.Ingia katika application ya File Manager/File Explorer
2.Tafuta file lenye jina >WhatsApp< kisha ingia >Media< (file la WhatsApp liunaweza kuwa katika Phone Storage au SD card)
Phone Storage/SD card>>WhatsApp>>Media
3.Bonyeza alama ya ‘dot tatu’ kisha bonyeza >Show Hidden Files< (sio simu zote zitakua na alama hii unachotakiwa kufanya ni kutafuta suhemu inayosema Show Hidden Files)
4.Ingia katika file la >Statusses< hapo utaona status zote yaani video na picha.
See less