Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Unarekodi vipi screen ya simu?
1sky
Pale unapotaka kurekodi screen yako ya simu na usijue la kufanya unaweza kuwa katika wakati mgumu. Hii ndio njia rahisi ya kuweza kurekodi screen yako bila shida yoyote. Njia hii ni kwa kutumia screen recorder Hatua za kufata Ingia katika app ya Google Playstore kisha tafuta app “Lollipop Screen RecRead more
Pale unapotaka kurekodi screen yako ya simu na usijue la kufanya unaweza kuwa katika wakati mgumu. Hii ndio njia rahisi ya kuweza kurekodi screen yako bila shida yoyote. Njia hii ni kwa kutumia screen recorder
Hatua za kufata
Ingia katika app ya Google Playstore kisha tafuta app “Lollipop Screen Recorder kisha install” (Unaweza kusoma njia nyingine za ku install apps hapa)
Baada ya kudownload fungua app yako kisha bonyeza “START RECORDING”
Endelea kurekodi kwa muda unaotaka halafu angalia katika eneo la notification halafu bonyeza STOP kwa ajili ya kusimamisha/kusave video yako
Baada ya kurekodi video hizo zinapatikana katika faili la ‘ScreenRecordings’
Kupiga screenshot soma hii Njia 3 rahisi za kupiga picha screen yako (screenshot)
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kufuta message niliyoituma WhatsApp?
1sky
Mtandao maarufu wenye watumiaji wengi duniani unaojulikana kama Whatsapp siku za nyuma uliongeza chaguo linalokuwezesha kufuta ujumbe uliokwishautuma. Hii inaweza kukusaidia katika nyakati mbalimbali mfano kama ulikosea au usingependa uendelee kuonekana kwa mtu au kundi(group) ulilotuma. Jinsi ya kuRead more
Mtandao maarufu wenye watumiaji wengi duniani unaojulikana kama Whatsapp siku za nyuma uliongeza chaguo linalokuwezesha kufuta ujumbe uliokwishautuma. Hii inaweza kukusaidia katika nyakati mbalimbali mfano kama ulikosea au usingependa uendelee kuonekana kwa mtu au kundi(group) ulilotuma.
Jinsi ya kufuta.
1.Ingia katika sehemu yenye ujumbe unaotaka kuufuta.
2.Shikilia kwa muda kdogo ujumbe unaotaka kuufuta mpaka uwe na kivuli(highlited).
3.Bonyeza alama ya kufuta inayoonekana upande wa juu.
4.Yatakuja machaguo matatu chagua DELETE FOR ME kama utataka ifutike kwako tu, chagua CANCEL kuahirisha au DELETE FOR EVERYONE ili kufuta kwako na kwa aliyetumiwa kama maneno yanavyojieleza katika lugha ya kiingereza.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kutuma vitu kutoka kwenye kompyuta kwenda katika simu?
1sky
KUTUMA VITU KWENYE KOMPYUTA NA SIMU YAKO. KWA KUFUATA HATUA CHACHE UTAKUA UMEWEZA KUTUMA VITU KATIKA KOMPYUTA YAKO NA SIMU YAKO. Fungua bluetooth kwenye simu yako na hakikisha inaweza kuonekana. Kisha fungua bluetooth ya kompyuta yako. Baada ya hapo bonyeza window button kisha chagua control panel.Read more
KUTUMA VITU KWENYE KOMPYUTA NA SIMU YAKO.
KWA KUFUATA HATUA CHACHE UTAKUA UMEWEZA KUTUMA VITU KATIKA KOMPYUTA YAKO NA SIMU YAKO.
KUMBUKA:SPEED YA KUTUMA AU KUPOKEA VITU KATIKA KOMPYUTA INATEGEMEA NA AINA YA SIMU NA KOMPYUTA YENYEWE.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNawezaje kufunga tatizo la “unfortunately app has stopped”?
1sky
Umewahi kukutana na ujumbe unaosema unfortunately app has stopped?. Najua ni wengi mliokutana na hili tatizo la unfortunately app has stopped katika simu zenu za mkononi[smartphone]. Kwa kufuata njia kama zilivyoelekezwa hapo chini utakua umetibu tatizo hilo la simu. Fungua SETTINGS>APPLICATION MRead more
Umewahi kukutana na ujumbe unaosema unfortunately app has stopped?. Najua ni wengi mliokutana na hili tatizo la unfortunately app has stopped katika simu zenu za mkononi[smartphone]. Kwa kufuata njia kama zilivyoelekezwa hapo chini utakua umetibu tatizo hilo la simu.
Fungua
SETTINGS>APPLICATION MANAGER>ALL APPS>OPTIONS>RESET APP PREFERENCES. Baada ya kubonyeza kwa kufuata mfululizo ulioonekana hapo juu itatokea kama hivi. Bonyeza reset apps.
Baada ya kufungua kama ilivyo hapo juu utachagua iyo application iliyokua stopped kwa kuibonyeza itafunguka alafu utabonyeza CLEAR CACHE>CLEAR DATA. Hapo application yako iliyokua inasumbua itakaa vizuri na kurudi kama ilivyokua mwanzo. Baada kubonyeza kama inavyoonekana hapo juu kwa kuanza na clear cache alafu ikifatiwa na clear data itaonekana kama hapo chini kwenye picha. Kisha bonyeza OK.

KUMBUKA:Hakuna application itakayofutwa zote zinabaki sawa sawa.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppUchumba nini
1sky
Jibu liko https://mojasky.com/uchumba-ni-nini/
Jibu liko https://mojasky.com/uchumba-ni-nini/
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppMfano wa Swali?
1sky
Aliquam consequat, risus ut aliquam gravida, ex turpis lacinia velit, in suscipit est quam eget nibh. Fusce blandit at risus non tempus. Aliquam eu imperdiet lacus. Duis at vestibulum risus. Nullam tincidunt sem ac nisl porttitor, vitae egestas magna hendrerit. Ut pellentesque nisi vel est euismod,Read more
Aliquam consequat, risus ut aliquam gravida, ex turpis lacinia velit, in suscipit est quam eget nibh. Fusce blandit at risus non tempus. Aliquam eu imperdiet lacus. Duis at vestibulum risus. Nullam tincidunt sem ac nisl porttitor, vitae egestas magna hendrerit. Ut pellentesque nisi vel est euismod, vel aliquam felis aliquet. Etiam mollis mollis odio, in convallis urna dictum vitae. In fermentum tempus sagittis.
Morbi tincidunt ultrices mi a laoreet. Maecenas congue erat et laoreet lobortis. Nunc ut lectus augue. Mauris faucibus mauris eget nulla cursus maximus. Integer egestas metus sed leo aliquet, nec posuere est elementum. Praesent dolor ligula, ultricies cursus dapibus id, viverra vitae eros. In viverra sed enim quis rhoncus. Duis dapibus eu mauris ut varius.
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppMfano wa Swali?
1sky
Aliquam consequat, risus ut aliquam gravida, ex turpis lacinia velit, in suscipit est quam eget nibh. Fusce blandit at risus non tempus. Aliquam eu imperdiet lacus. Duis at vestibulum risus. Nullam tincidunt sem ac nisl porttitor, vitae egestas magna hendrerit. Ut pellentesque nisi vel est euismod,Read more
Aliquam consequat, risus ut aliquam gravida, ex turpis lacinia velit, in suscipit est quam eget nibh. Fusce blandit at risus non tempus. Aliquam eu imperdiet lacus. Duis at vestibulum risus. Nullam tincidunt sem ac nisl porttitor, vitae egestas magna hendrerit. Ut pellentesque nisi vel est euismod, vel aliquam felis aliquet. Etiam mollis mollis odio, in convallis urna dictum vitae. In fermentum tempus sagittis. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Suspendisse potenti. Cras id consequat tortor. Nullam gravida sagittis libero et aliquet. Proin maximus aliquam eros, at placerat dui tempus eget. Morbi suscipit mollis nisl sed rhoncus. Nunc non diam nibh. Aliquam vitae aliquam turpis.
Morbi tincidunt ultrices mi a laoreet. Maecenas congue erat et laoreet lobortis. N
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppNitapata wapi fomu ya NIDA katika mfumo wa PDF?
1sky
Kupata fomu ya Kitambulisho cha Taifa NIDA tumia link hii NIDA PDF
Kupata fomu ya Kitambulisho cha Taifa NIDA tumia link hii NIDA PDF
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppSaikolojia ni nini?
1sky
SAIKOLOJIA ni neno lililotoholewa kutoka neno la kiingereza psychology, si elimu inayoeleweka sana katika jamii yetu. Asili ya 'psychology' ni neno 'psyche' lenye maana ya nafsi. Neno kuu linalobeba dhana ya saikolojia ni tabia. Tunapozungumzia tabia, tuna maana ya matendo, miitikio au mienendo inayRead more
SAIKOLOJIA ni neno lililotoholewa kutoka neno la kiingereza psychology, si elimu inayoeleweka sana katika jamii yetu. Asili ya ‘psychology’ ni neno ‘psyche’ lenye maana ya nafsi.
Neno kuu linalobeba dhana ya saikolojia ni tabia. Tunapozungumzia tabia, tuna maana ya matendo, miitikio au mienendo inayoweza kuonekana wazi, kupimwa na hata kuchunguzika kwa kufuata misingi ya kisayansi. Kwa maana hiyo, saikolojia ni sayansi ya kuchunguza tabia, mitazamo, imani walizonazo watu na namna inavyoathiri wayatendayo.
Kwa hiyo, tunapozungumzia saikolojia, kimsingi tunazungumzia msingi wa tabia zetu na jinsi tabia hizo zinavyojiumba kwa maana ya namna zinavyoanzia mbali kwenye ufahamu kisha kuhamia kwenye mitazamo ambayo ndiyo huzaa matendo yanayoonekana na ambayo tunayaita tabia.Tabia hii, kama tulivyoona, huchunguzwa kwa kutumia majaribio ya kisayansi na wala sio hisia, maoni au bashiri za kimazoea.
chanzo – Bwaya blog
See lessPromo – AjiraSearch
Ajira ya Ndoto Yako
Sasa kutafuta ajira ni rahisi zaidi kwa kutumia app hii.
Tazama AppMojaSky ni nini na inafanya kazi gani?
1sky
MojaSky ni tovuti ya maswali na majibu yenye malengo ya kuhakikisha taarifa na maarifa sahihi yanasambaa kiurahisi kutoka kwa watu wenye nayo kwenda kwa wale wenye uhitaji. Lengo ni kuhakikisha maarifa yanakuwa wazi kwa ajili ya kila mmoja. MojaSky inapatikana kupitia anuani hii mojasky.com UtumiajiRead more
MojaSky ni tovuti ya maswali na majibu yenye malengo ya kuhakikisha taarifa na maarifa sahihi yanasambaa kiurahisi kutoka kwa watu wenye nayo kwenda kwa wale wenye uhitaji. Lengo ni kuhakikisha maarifa yanakuwa wazi kwa ajili ya kila mmoja.
MojaSky inapatikana kupitia anuani hii mojasky.com
Utumiaji wa MojaSky unaweza kuwekwa katika makundi matatu muhimu. Makundi hayo ni
1. Kuuliza Maswali
Hapa mtumiaji yoyote(hata kama hajajiunga) anaweza kuuliza swali lolote. Kuuliza swali unapaswa kubonyeza kitufe kilichoandikwa Uliza swali katika menyu ya kushoto kwa watumiaji wa simu na upande wa kulia kwa watumiaji wa kompyuta. Ukurasa kwa ajili ya kuuliza swali unapatikana hapa Uliza Swali
2. Kujibu Maswali
Mtu yoyote pia anaweza kujibu swali lolote bila hata kujiunga. Kupata maswali kwa ajili ya kujibu unaweza ku sachi katika sehemu ya kutafuta inayoonekana katika menyu au unaweza kutembelea ukurasa wa maswali HAPA. Tunashauri watu kujibu maswali yaliyo katika mada walizo na utaalamu nazo mfano fundi ujenzi ajibu maswali kuhusu ujenzi(Inaweza kumsaidia pia kukutana na wateja ambao wanatafuta taarifa kuhusu maswala ya kiufundi).
3. Kuandika makala(post). Unaweza pia kuandika makala kupitia tovuti ya MojaSky. Hii inakurahisishia wewe kama ni mpenzi wa kuandika na unakosa sehemu kwa ajili ya kutimiza hilo. Kuchapisha makala yako tumia link HII
Zaidi pia kuna mfumo wa zawadi za pointi kila utakapofanya moja ya vitu vilivyoorodheshwa hapo juu na vingine kama ku-vote up au down majibu ya watu wengine, kuweka link zako za mitandao ya kijamii na ku-follow watumiaji wengine.
Link nyingine muhimu ni kama zifuatazo
Nyumbani(MojaSky)
Kujiunga
Ku-Login
Kuuliza Swali
Ukurasa wa Maswali
Mchanganuo wa pointi
Kuandika Post
Watumiaji wengine
Kuwasiliana nasi
Posts
Ukurasa wa Majibu
Maswali ya kura(polls)
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Mwisho kabisa ni vyema ukapitia Sera na Sheria zetu kabla ya kutumia MojaSky. Ungana nasi katika misheni yetu ya kuweka wazi taarifa. Karibu sana.
See less